Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza nikukumbushe tu Yale mazungumzo yalihusisha wajumbe kutoka pande mbili,yaani urusi na Ukraine..alafu naona unataka kupinga ukweli kwamba zelensiky hakumuomba Putin asitishe kumshambulia na Ukraine haitajiunga NATO?? Wenzako akina sikilimimimasikini.., walikuwa Wanaleta habari Kwa mbwembe humu wakikejeri kitendo Cha rais zelensiky kukiri wazi hatojiunga NATO na kumuomba Putin aache kumshambulia..,alafu kitu kingine unachojaribu kupotosha kwa makusudi kabisa ni kwamba Yale mazungumzo yalikwama Kwa sababu urusi alitoa masharit yasiyotekelezeka..,masharit yenyewe ni kama ifuatavyo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1, Ukraine ayatambue majimbo ya
Ya donestk na luhansik kama
Jamhuri zenye uhuru kamili

2, katiba ya Ukraine ibadilishwe
Na Ukraine asijiunge NATO
Milele
3, kumbuka Yale majimbo ya
Donestk na luhansik baada ya
Kujitenga yangeendelea kuwa
Tegemezi kwa serikali kuu

Kwa akili yako unadhani zelensiky angekubali huo upuuzi? Alafu unapata faida gani unapoamua kupotosha kwa makusudi kwamba UK na US walimshawishi rais zelensiky aachane na Yale mazungumzo?


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba unieleweshe ukichokiandika hapa. Baada ya Donestk na luhansik kujitenga na kuwa jamuhuri kamili zingeendelea vipi kuwa tegemezi kwa Ukraine? Si zingekuwa nchi huru zinazojitegemea kwa kila kitu? Mbona Eritria si tegemezi kwa Ethiopia ama South Sudan si tegemezi kwa Sudan?
 
Tatizo wabongo mnafananisha Ukraine na Burundi au Congo kumbukeni hawa ni wazungu Kwa namna yeyote Ile watapata misaada ya kila namna na watavuka salama kipindi hiki cha baridi..
Ni Nani anapicha au video za wakimbizi wa Ukraine wakigombea chakula kwenye kambi za wakimbizi? Au Nani ana picha za kambi za wakimbizi kama ilivyo huku Africa?
Mie[emoji15][emoji15][emoji15]
JamiiForums40746739.jpg
JamiiForums-527178636.jpg
 
Nakukumbusha tu kwamba katika Yale mazungumzo Moja ya sharti la urusi ilikuwa ni kutaka Yale majimbo ya Donetsk na luhansik yawe nchi huru zinazojitegemea ..ni kiongozi gani katika dunia hii anaweza kukubali huu upuuzi,?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu kama Ukraine iliruhusiwa kujitenga kutoka USSR kwanini nao wasiruhusu hayo majimbo kujitenga?
 
Kinachoshangaza ni kwamba urusi Kwa nini haikutumia mbinu ile Ile kama waliyotumia west Ili kusimika utawala wao na badala yake Wakachagua njia hii ya umwagaji damu?
West walitumia akili na ushawishi bila kumwaga damu..,na hatimaye wakapata walichokitaka, Russia alishindwa nini[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia haikupenda haikuziachia hzo nchi zijitenge bali ilimbidi maana kulikuwa na vita za hapa na pale kwenye hayo majimbo ambayo baadae yalijipatia uhuru. Kumbuka vita hzo zilikuwa zinafadhiliwa na West. Kipindi hicho Russia ilikuwa hoi kiuchumi hivyo isingeweza kumudu kuyalinda hayo maeneo na pia ukubwa wa jeshi ulikuwa unaielemea Russia
 
Tell you what Amigo, 'am not an avarage Joe -see! Stop calling me a liar-you're so driven by a rabid hatred and arrogance, unataka jukwaa zima wawe wanakusikiliza wewe tu, members wengine wawe muzzled tu au waunge mkono imani zako - unadhani watu wakiwa huru kutoa maoni yao - wewe as an individual unapoteza nini?? Leta maoni yako mbadala members watakuelewa.

Chukulia mfano wa mimi kumtaja Generali/msemaji wa jeshi la Ukraine kuhusu counter offensive waliopanga katika harakati zao za kutaka kukomboa eneo la KHERSON na mji wake, sasa wewe unaonekana ni mbobezi wa masuala ya mitandao kama sikosei, sasa unashindwa nini kutumia web search engines ku-check nilicho kisema mimi kama kina substance au la as simple as that. lakini naona kwa bahati mbaya tuseme time hiyo wewe huna kabisa, muda wote ni ku-track ninacho kisema mimi na baadhi ya wenzangu humu na kujaribu by hooks and crooks kutoa kasoro badala ya kutoa maoni mbadala unashambulia watu na kuwabatiza majina ya kila sampuli - why, kwa sanabu unawaona wana maoni tofauti na ya kwako/yenu ni hilo tu!!
Mkuu sijapinga hoja yako ya msing kuwa russia wameweka mtego pale kherson ila ukraine wameshtuka ,nachokupinga unadai ukraine wamejisalimisha huko kherson
 
Ila urusi analambishwa hasara aisee.., mpaka hii vita iishe.., atakuwa hoi,kuja ku-cover hii loses anazopata itachukua miaka,hii ndo ghalama ya vita,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo pia lazima aijenge ukrain aliyobomoa miundo mbinu yote na majengo yote lazma ajenge lasivyo asetts zake zote zilizokua freezed zitatumika kuijenga ukraine
 
Mkuu naomba unieleweshe ukichokiandika hapa. Baada ya Donestk na luhansik kujitenga na kuwa jamuhuri kamili zingeendelea vipi kuwa tegemezi kwa Ukraine? Si zingekuwa nchi huru zinazojitegemea kwa kila kitu? Mbona Eritria si tegemezi kwa Ethiopia ama South Sudan si tegemezi kwa Sudan?
Ni kama unavyoona mapato yanatoka Tanganyika na kughalamia huko Zanzibar.., nafikiri umepata concept

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sorry kuna siku USA alijinisabu kwakusema kwamba atashambulia au kusema atapiga nyuklia?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ndiyo Marekani ilishawahi kujinasibu hivyo na siyo hivyo tu bali ni kweli alizitumia silaha hizo huko Hiroshima na Nagasaki huko Japan na kuua maelfu na/kwa maelfu ya watu wasio na hatia. Marekani ndilo taifa pekee duniani mpaka sasa lililowahi kutumia silaha za nyuklia duniani. Kwa silaha hizo za nyuklia katika miji hiyo miwili ya Japan zaidi ya watu 500,000 waliuawa. Na hata sasa wajapan wanaendelea kufa kwa kansa. na wengine huzaliwa hawana pua, mikono, miguu, sehemu za siri na viungo vingine. Marekani pia ni taifa lililowahi kutumia silaha za sumu
za napalm huko Vietnam . Picha ya chini inaonesha mtoto mdogo wa kike wa Vietnam akikimbia mitaani uchi baada ya kuunguzwa na mabomu ya napalm huko Vitnam mwaka 1972. Marekani ni taifa la kinyama, kishenzi na kifedhuli. Marekani pia imewaua viongozi kadhaa duniani akiwemo Patrice Lumumba wa Kongo, Sadam Hussein wa Iraq na Ghadafi wa Libya na Allende wa Chile.

Utaniambia nini mimi mkongwe kuhusu Marekani???!!! Nyie vijana wa dot.com ndio ambao mmelishwa sumu na propaganda za USA. Marekani ni taifa la kishetani. full stop.

za
1667208132421.png
 
Kwanini hamtaki kuambiwa ukweli?!

Si mnataka turudi kwenye Historia,bhas Alaska irudi kwa Russia. Kaliningrad irudi Ujerumani. Shida iko wapi?!
Ukweli upi uliouongea hapa !!?

ALASKA nisehemu halali kabisa isiotenganishwa na US sababu watu walikaa chini wakafanya biashara yakuiuza ALASKA sasa unatakaje kuifananisha hii ALASKA na KALININGRAD!!?

ukweli utabakia kua ALASKA nisehemu halali ya US lakini ukweli zaidi nikwamba maamuzi yakuiuza ALASKA hayakua ya busara
 
Back
Top Bottom