Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni Propaganda na chumvi nyingi ila msingi wa mgogoro wa Moscow na Kyiv sio huu!

Hakuna anaeichukia Marekani kwa kiasi hicho ila watu wanaichukia Marekani kutokana na Sera zake za mambo ya nje, Marekani yuko tayari kutumia rasimali fedha au kukuvamia kijeshi ili ukubaliane na sera zake na ikibidi uwe tayari kutumika kwaajili ya maslahi yake kuwaangamiza wengine!

Hapa chini nakuwekea link ya tweeter ambapo Barack Obama alikuwa kwenye kampeni juzi yakumuombea kura Joseph biden, angalia Wamarekani walimwambia nini.


Unaweza kumuona Mrusi hana haki ya kuivamia Ukraine ila unapaswa kujua kuwa Urusi imembidi kuivamia Ukraine kwasasa Marekani alikuwa anaitumia Ukraine kama nyenzo ya kesho kuja kuingamiza Urusi na ndiyo maana unawasikia katibu mkuu wa NATO akisema hawatakubali Urusi iishinde Ukraine maana Urusi kuishinda Ukraine na kushindwa kwa NATO, sijui kama unaelewa Logic ya hii Statement?

Marekani alikuwa Ukraine mda mrefu sana ila tu Mrusi alikuwa mpole mpaka alipokuja kuona kuna kitisho cha moja kwa moja juu ya usalama wa nchi yake, unaweza ukapuuza hii Logic lakini nitakuambia ukweli kuwa Marekani anatamani Mataifa yote ayatawale yeye. Nenda Asia pale ambapo Marekani anaitaja China kama tishio dhidi ya Taifa lake then jiulize China ana Military Base ngapi America? Je Marekani ana Military Base ngapi maeneo yanayoizunguka China? Kwanin tusimseme Marekani kama ni tishio dhidi ya mataifa ambayo anaona hayaendi sambasamba na siasa zake?

mwisho nakuibia siri kuwa sio kama asia hawana technology nzuri ila hawauzi kutokana na tabia ya Marekani kutopenda ushindani! hapa chini nakupa orodho ya makampuni yaliyodhoroteshwa na Marekani kwa kisingizio yanatumika kwa Ujasusi.

1. Huawei:- Hii kampuni ilishinda tenda ya kufunga 5G Germany na Ulaya ila figisu za Marekani zilifanya ile tender ife kwa kisingizio kuwa Huawei inatumika na Serikali ya China kufanya ujasusi hivo akawapiga Marufuku Ulaya wasije wakafanyanayo kazi.
View attachment 2402200
Miaka ya 2015 -2017 kampuni ya Huawei ilikuwa inashika nafasi ya tatu kwa mauzo ya simu Duniani, 2019 alimshusha Apple kutoka nafasi ya pili akakaa yeye juu Samsung akishikilia usukuna, ila 2020 Huawei akaa nafasi ya kwanza, unajua kitu gani kilitokea mpaka ika drop tena? ni propaganda za marekani kuwa inatumika kijeshi, kuwawekea vikwazo Huawei kuwa ata atakaofanyanao biashara basi atawekewa vikwazo, kupiga marufuku mpaka kuuziwa chip, Vioo na makampuni mengine yaliyoko Ulaya ambayo yakifanya biashara na Huawe. Huyu ndiyo Mmarekani asietaka kupitwa.
2. Kaspersky Antivirus:- Hii ni Software maarufu na bora duniani kwaajili ya kujikinga Virus, mwaka 2017 walikutana na vikwazo vya Mmarekani


3. Tiktok:- https://www.google.com/url?sa=t&rct...ari-54207030&usg=AOvVaw0wS5eFxa3qxxXMstzpRjGM
Asome vyema hapa aelewe nanajua ataelewa ila atataka kuamini!!!??
 
Crimea imetandikwa vibaya mandonga analia lia drone za kujitos mhanga siyo iran anazo pekee hata ukraine wameshapewa

Shocking video shows 'massive' attack by drone boats targeting Russia's Black Sea Fleet​

Kenneth Niemeyer
Sat, October 29, 2022,

VIDEO: 'I feel ashamed': Russians speak out against the war

That seemed to be the only quick way to get out of st.
Russian Black Sea Fleet ships are anchored in one of the bays of Sevastopol, Crimea, March 31, 2014.

Russian Black Sea Fleet ships are anchored in one of the bays of Sevastopol, Crimea, March 31, 2014.Associated Press
  • Video shows drone boats attacking Russian ships on the coast of Crimea on Saturday.
  • The Russian Defense Ministry said after the attack that it paused its grain deal with Ukraine.
  • The Defense Ministry called the attack a "terrorist act."
Russia on Saturday blamed Ukraine for a "massive drone attack" on naval ships and civilian vessels in Crimea, calling it a "terrorist act."
A video of the attack, posted by an account called Ukraine Weapons Tracker, appears to show the moment drone boats with explosives targeted Russia's Black Sea Fleet ships at a port in Sevastopol, Crimea's largest city.
 
Tatizo linakuja kwamba mwanzoni mwa vita rais zelensiky alimpigia magoti sana Putin akimuomba asitishe kumshambulia na wakae meza ya mazungumzo.., akasema ukraine haitajiunga NATO..,na kuhusu Yale majimbo ya Donetsk na luhansik wangeangalia namna ya kufanya, lakini mwamba hakujari, akaendelea na mashambulizi akiamini atamaliza shughuli ndani ya muda mfupi tu na kusepa

Leo hii lazima tujiulize maswali mengi sana tunapomuona Putin aliyekuwa hataki kusikia kuhusu habari ya mazungumzo ya amani..,anageuka na kuomba usuluhishi kwa njia ya mazungumzo..,hii inaonyesha wazi kwamba amepoteza dira ya vita,haoni mwanga mbele juu ya hii vita, ndio maana anaona njia rahis ni kukaa meza ya mazungumzo na kuyamaliza..,

Binafsi ningekuwa rais zelensiky nisingekataa hii nafasi ya mazungumzo, maana huenda urusi anatafta kufanya kiinimacho cha kufungasha virago..,Ili isionekane kwamba kaishiwa nguvu na kuondoka.., lakini pia hii inaweza kuwa janjanja ya urusi Ili aweze kupanga upya vikosi vyake..,ni vema mazungumzo yafanyike lakini kamwe urusi asipewe nafasi ya kupumua..,hayo mazungumzo yanaweza kuratibiwa na nchi kama uturuki huku vijana wakiendelea na shughuli huko front line kama ilivyokuwa kwa mazungumzo yaliyopita,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unapaswa kumuelewa sana Zelensky . Hakuwa tayari kwa mazungumzo. Zele alikua tu kivuli cha NATO na NATO waliaandaa hii vita muda mrefu . Zele hakuwa anatoa kauli thabiti bali hizo za kidiplomasia nilisema hapo mwanzo . Ndio maana Russia alimwambia waandikishiane wanachokubaliana. Ni vema sana kuelewa lugha za kidiplomasia , Sio KILA kinachosemwa kinamaanishwa bali usipuuze KILA kinachosemwa wapaswa kutafuta tafsiri na sababu ya Upande wa pili kusema KILA anachosema.
 
USA cry for Russia
EU cry for Russia
Ukraine cry for Russia
NATO cry for Russia
UN cry for Russia

But none of them has tried to stop Russia from making them crying everyday.

Then, Who is Russia?
Ndo tunarudi pale pale kwenye msemo wetu wa kihenga; "URUSI SIYO ZIMBABWE NI TAIFA AMBALO DUNIA INALIHITAJI KULIKO LINAVYO IHITAJI" [emoji1269]
Na wanalia kweli kweli yaani safari hii put in asiwape nafasi mpaka wafe njaa
IMG_20221030_170249.jpg
 
Kwenye bandiko lako mwanzoni unaonesha kama vile huwaamini Wamarekani, hapo hapo unaweka "Link" kuonesha nini aliambiwa Barack Obama na wamarekani kuhusu kuhusika kwake kwenye kuchochea vita vya Ukraine. Unatakaje sasa, tuwaamini watu unaosema hawaaminiki?

Ongea yote lakini chanzo cha vita ya sasa ni huo mtizamo wa kina Puttin na wenzake kwamba nchi zote zilizojitenga na Soviet wakati ule, ni lazima sasa ziwe chini ya Russia.

USHAURI: Wamarekani wengi wanaomuunga mkono Trump ambaye ndiye muasisi wa nadharia njama kuwa Biden ama Obama ndiyo wachochezi wa vita vya Ukraine na Russia, ni watu wa maporini na wengi wao hawajui kusoma wala kuandika. USIWAAMINI.
Ila wewe ndio tukuamini

Nyie watu nyie khaa

Suala la kutokuiamini US halijaanzia hapo UKRAINE limeanzia mbali sana

Kwaharaka haraka tukianza na uvamizi wa IRAQ kwasababu ya WMD halaf hizo silaha ziko wapi!!?

Kwahio kesi ya IRAQ na US niwazi kabisa kwamba US sio wakuaminika hata aseme nini

Maana anaweza akadanganya tena zaidi ya ishu ya IRAQ

Tukirejelea mbali mtu kama US aliosababisha maafa kule JAPAN ya NAGASAKI na HIROSHIMA anaaminikaje huyu akikwambia usitengeneze NYUKLIA eti unahatarisha usalama wa DUNIA

Kuna taifa hatari na linalohatarisha usalama wa DUNIA kama US linapokuja suala la NYUKLI hapa DUNIANI

Us haaminiki na hafai kuamini kwawapenda haki wote

Taifa la kwanza DUNIANI linalotakiwa kua bila ya silaha za NYUKLIA na nyengine ni hilo la US

Kasome vita ya IRAN na IRAQ huyo huyo US aliwapa silaha za sumu IRAQ wazitumie dhidi ya IRAN

Us taifa laajabu sana nahamna lakutuambia wala lakumtetea akawa wakuaminika
 
Crimea imetandikwa vibaya mandonga analia lia drone za kujitos mhanga siyo iran anazo pekee hata ukraine wameshapewa

Shocking video shows 'massive' attack by drone boats targeting Russia's Black Sea Fleet​

Kenneth Niemeyer
Sat, October 29, 2022,

VIDEO: 'I feel ashamed': Russians speak out against the war

That seemed to be the only quick way to get out of st.
Russian Black Sea Fleet ships are anchored in one of the bays of Sevastopol, Crimea, March 31, 2014.

Russian Black Sea Fleet ships are anchored in one of the bays of Sevastopol, Crimea, March 31, 2014.Associated Press
  • Video shows drone boats attacking Russian ships on the coast of Crimea on Saturday.
  • The Russian Defense Ministry said after the attack that it paused its grain deal with Ukraine.
  • The Defense Ministry called the attack a "terrorist act."
Russia on Saturday blamed Ukraine for a "massive drone attack" on naval ships and civilian vessels in Crimea, calling it a "terrorist act."
A video of the attack, posted by an account called Ukraine Weapons Tracker, appears to show the moment drone boats with explosives targeted Russia's Black Sea Fleet ships at a port in Sevastopol, Crimea's largest city.
@mtarimbo usihangaike kua unanireply utanisamehe MKUU ila nilisha kuignore
Toka ulipoleta mada zakuanza kutukana nilikutia nyundo
 
SIO ZIMBAMBWE
US Secretary of State Blinken commented on Russia's decision to end the "grain deal": “The United States regrets the suspension of Russia's participation in the UN-brokered Black Sea Grain Initiative operations. We encourage all parties to continue this life-saving, life-saving initiative. The Black Sea Grain Initiative has moved more than 9 million tons of food and significantly reduced prices for low- and middle-income countries. It has been successful and must continue.
 
Drone 9 tu Supapawa wa mchongo analia Lia je zingekua rundo kama anazorushaga yeye kwenye miundombinu ya nishati ya nyuklia si Leo angelipua nyuklia [emoji1782][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️Russian Defense Ministry: Drone attack damages minesweeper, dam in Sevastopol.

Russia’s Defense Ministry blamed Ukraine for sending 9 drones to the Russian-occupied port city of Sevastopol in the morning of Oct. 29. Ukraine’s government hasn't commented on the alleged attack.
Ni huzuni kwa kweli

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
You have got it wrong...Halafu wewe ni mpotoshaji mkubwa...Lakini awali ya yote ngoja nikupongeze kwa jambo moja. Inaelekea umeacha kuweka comment kama robot. Comment yako hii angalau umejadili jambo na kuachana na mambo ya 'dikteta, pimbi, fashisti, kupelekewa moto na kichapo. Kwa andiko hili lako kwa kweli umejitahidi kuachana na tabia hiyo ya kwanza. Lakini ulichokiweka hapa ni upotoshaji mkubwa kwa yaliyotokea mwanzo... Russia mwanzoni mwa vita ilikuwa tayari kwa mazungumzo na hata sasa ipo tayari. Na in fact hata mazungumzo yenyewe yalikuwa yanafanyika huko Belarus na Uturuki. Mazungumzo hayo yalifikia hatua nzuri isipokuwa Ukraine kwa maana ya Zelensky akaambiwa na Uk na USA aaxhane na mazungumzo hayo na kwamba nchi hizo kwa maana ya USA, UK na West zitafadhili gharama zote za vita kwa upande wa uKRAINE. mWANZONI KABISA WA VITA UTAKUMBUKA Borisi Jphn son alikwenda Ukraine kwa lwengo la kum kamkataza Zelensky aachane na mazungumzo ya amani na Russia. Zelensky alifanya hivyo na mpaka sasa msimamo wa Ukraine ni huo huo. Hawataki mazun gumzo na Russia . Ukraine wanasema mazungumzo ni kwenye uwanja wa vita. Wanaoamua mambo huko Ukraine ni West. Zelensky hana nguvu zozote zile za maamuzi. Wanaoumia zaidi ni wananchi wa Ukraine ambao wanakufa kwa maelfu wakiwemo askari.
Kwanza nikukumbushe tu Yale mazungumzo yalihusisha wajumbe kutoka pande mbili,yaani urusi na Ukraine..alafu naona unataka kupinga ukweli kwamba zelensiky hakumuomba Putin asitishe kumshambulia na Ukraine haitajiunga NATO?? Wenzako akina sikilimimimasikini.., walikuwa Wanaleta habari Kwa mbwembe humu wakikejeri kitendo Cha rais zelensiky kukiri wazi hatojiunga NATO na kumuomba Putin aache kumshambulia..,alafu kitu kingine unachojaribu kupotosha kwa makusudi kabisa ni kwamba Yale mazungumzo yalikwama Kwa sababu urusi alitoa masharit yasiyotekelezeka..,masharit yenyewe ni kama ifuatavyo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1, Ukraine ayatambue majimbo ya
Ya donestk na luhansik kama
Jamhuri zenye uhuru kamili

2, katiba ya Ukraine ibadilishwe
Na Ukraine asijiunge NATO
Milele
3, kumbuka Yale majimbo ya
Donestk na luhansik baada ya
Kujitenga yangeendelea kuwa
Tegemezi kwa serikali kuu

Kwa akili yako unadhani zelensiky angekubali huo upuuzi? Alafu unapata faida gani unapoamua kupotosha kwa makusudi kwamba UK na US walimshawishi rais zelensiky aachane na Yale mazungumzo?


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwenye bandiko lako mwanzoni unaonesha kama vile huwaamini Wamarekani, hapo hapo unaweka "Link" kuonesha nini aliambiwa Barack Obama na wamarekani kuhusu kuhusika kwake kwenye kuchochea vita vya Ukraine. Unatakaje sasa, tuwaamini watu unaosema hawaaminiki?

Ongea yote lakini chanzo cha vita ya sasa ni huo mtizamo wa kina Puttin na wenzake kwamba nchi zote zilizojitenga na Soviet wakati ule, ni lazima sasa ziwe chini ya Russia.

USHAURI: Wamarekani wengi wanaomuunga mkono Trump ambaye ndiye muasisi wa nadharia njama kuwa Biden ama Obama ndiyo wachochezi wa vita vya Ukraine na Russia, ni watu wa maporini na wengi wao hawajui kusoma wala kuandika. USIWAAMINI.
US baada ya kushinda cold war kwa soviet union kumeguka, bado hawakuridhika kwani waliendelea kuiona Russia ni tishio kwao kwa malengo yao ya kuitawala dunia,, ilitakiwa Russia nayo imeguke ili viwe vinchi vidogo vidogo, ambavyo haviwezi kuwa threat to west,
Ndo maana NATO ilidelea kuwepo na kujiimarisha huku wakiweka military bases arround Russia,, kama wanavyoweka bases arround china na iran,
US na marafiki, walitaka kupata launching pad ambayo itawawezesha kufanya subversive campaign dhidi ya Russia,, so ukraine ikaonekana ndo iko pazuri kwani wakiichukua, kitu cha kwanza watafanya ni kuifunga Russia main navy bases pale crimea, Sebastopol,
So CIA waka initiate color revolution ukraine,, 2014,mchongo mzima alisimamia mwanamma victoria Nuland,
So baada ya mapinduzi,Russia wakawa wamenusa hatari,,Navy base ya Crimea ndo warm water navy base pekee ya Russia,na ni very critical kwa usalama wa Russia,,so hawakua na jinsi wakaichukua crimea,,
Kjpindi hicho West wamepata kibaraka ukraine,wakaanza kuipa silaha ukraine na kutoa mafunzo ya kijeshi,kipindi hicho east ukraine yenye Russia speaking population wakaanzisha movements za kujitenga,so pakawepo civil war,,
Klichotokea february ni Russia baada ya kujaribu diplomacy yote kuzuia ukraine kujiunga NATO na viongozi wa nchi za magharibi wakawa wanampuuza Putin,, so Russia yuko east ukraine kusecure Russians population na pia ku creat buffer zone kwa usalama wa Russia
 
You have got it wrong...Halafu wewe ni mpotoshaji mkubwa...Lakini awali ya yote ngoja nikupongeze kwa jambo moja. Inaelekea umeacha kuweka comment kama robot. Comment yako hii angalau umejadili jambo na kuachana na mambo ya 'dikteta, pimbi, fashisti, kupelekewa moto na kichapo. Kwa andiko hili lako kwa kweli umejitahidi kuachana na tabia hiyo ya kwanza. Lakini ulichokiweka hapa ni upotoshaji mkubwa kwa yaliyotokea mwanzo... Russia mwanzoni mwa vita ilikuwa tayari kwa mazungumzo na hata sasa ipo tayari. Na in fact hata mazungumzo yenyewe yalikuwa yanafanyika huko Belarus na Uturuki. Mazungumzo hayo yalifikia hatua nzuri isipokuwa Ukraine kwa maana ya Zelensky akaambiwa na Uk na USA aaxhane na mazungumzo hayo na kwamba nchi hizo kwa maana ya USA, UK na West zitafadhili gharama zote za vita kwa upande wa uKRAINE. mWANZONI KABISA WA VITA UTAKUMBUKA Borisi Jphn son alikwenda Ukraine kwa lwengo la kum kamkataza Zelensky aachane na mazungumzo ya amani na Russia. Zelensky alifanya hivyo na mpaka sasa msimamo wa Ukraine ni huo huo. Hawataki mazun gumzo na Russia . Ukraine wanasema mazungumzo ni kwenye uwanja wa vita. Wanaoamua mambo huko Ukraine ni West. Zelensky hana nguvu zozote zile za maamuzi. Wanaoumia zaidi ni wananchi wa Ukraine ambao wanakufa kwa maelfu wakiwemo askari.
Mkuu ukiamini kweli unachoandikwa hujajielimisha ipasavyo. Wapi ushuhuda wako Ukraine iliambiwa na yeyote iendelee au isiendelee na mazungumzo???

Kuchechua propaganda haisaidii kitu. Wakati wa mazungumzo kwenye mwezi wa Machi, Urusi ilileta madai yaliyomaanisha Ukraine kusalimisha amri. Ukraine ilikuwa tayari kuahidi hawatatafuta uanachama wa NATO. Urusi ilitaka mengi zaidi.
 
Unapaswa kumuelewa sana Zelensky . Hakuwa tayari kwa mazungumzo. Zele alikua tu kivuli cha NATO na NATO waliaandaa hii vita muda mrefu . Zele hakuwa anatoa kauli thabiti bali hizo za kidiplomasia nilisema hapo mwanzo . Ndio maana Russia alimwambia waandikishiane wanachokubaliana. Ni vema sana kuelewa lugha za kidiplomasia , Sio KILA kinachosemwa kinamaanishwa bali usipuuze KILA kinachosemwa wapaswa kutafuta tafsiri na sababu ya Upande wa pili kusema KILA anachosema.
Nakukumbusha tu kwamba katika Yale mazungumzo Moja ya sharti la urusi ilikuwa ni kutaka Yale majimbo ya Donetsk na luhansik yawe nchi huru zinazojitegemea ..ni kiongozi gani katika dunia hii anaweza kukubali huu upuuzi,?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unapaswa kumuelewa sana Zelensky . Hakuwa tayari kwa mazungumzo. Zele alikua tu kivuli cha NATO na NATO waliaandaa hii vita muda mrefu . Zele hakuwa anatoa kauli thabiti bali hizo za kidiplomasia nilisema hapo mwanzo . Ndio maana Russia alimwambia waandikishiane wanachokubaliana. Ni vema sana kuelewa lugha za kidiplomasia , Sio KILA kinachosemwa kinamaanishwa bali usipuuze KILA kinachosemwa wapaswa kutafuta tafsiri na sababu ya Upande wa pili kusema KILA anachosema.
Nakukumbusha tu kwamba katika Yale mazungumzo Moja ya sharti la urusi ilikuwa ni kutaka Yale majimbo ya Donetsk na luhansik yawe nchi huru zinazojitegemea ..ni kiongozi gani katika dunia hii anaweza kukubali huu upuuzi,?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nikukumbushe tu Yale mazungumzo yalihusisha wajumbe kutoka pande mbili,yaani urusi na Ukraine..alafu naona unataka kupinga ukweli kwamba zelensiky hakumuomba Putin asitishe kumshambulia na Ukraine haitajiunga NATO?? Wenzako akina sikilimimimasikini.., walikuwa Wanaleta habari Kwa mbwembe humu wakikejeri kitendo Cha rais zelensiky kukiri wazi hatojiunga NATO na kumuomba Putin aache kumshambulia..,alafu kitu kingine unachojaribu kupotosha kwa makusudi kabisa ni kwamba Yale mazungumzo yalikwama Kwa sababu urusi alitoa masharit yasiyotekelezeka..,masharit yenyewe ni kama ifuatavyo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1, Ukraine ayatambue majimbo ya
Ya donestk na luhansik kama
Jamhuri zenye uhuru kamili

2, katiba ya Ukraine ibadilishwe
Na Ukraine asijiunge NATO
Milele
3, kumbuka Yale majimbo ya
Donestk na luhansik baada ya
Kujitenga yangeendelea kuwa
Tegemezi kwa serikali kuu

Kwa akili yako unadhani zelensiky angekubali huo upuuzi? Alafu unapata faida gani unapoamua kupotosha kwa makusudi kwamba UK na US walimshawishi rais zelensiky aachane na Yale mazungumzo?


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lakini hizo condition mwishoni itabidi akubaliane,, sio kitu kigeni,, hata gorbachev ilibidi akubaliane na outrageous conditions ili pawepo amani na ndo asili ya uwepo wa ukraine kama nchi,, kama Russia walikubali kuzitema ukraine, kazakhstan, Turkmenistan, tajikstan, azerbanjain , etc.
Ukraine nayo itabibidi aziteme luhansk, donesca kwanza hizo sehemu zina Russias population, hivyo milele haziwezi kukubali kuwa under ukranians,
Kuhusu Kujiunga NATO,, ni wazi kuwa NATO iliundwa as a military organisation against moscow,, so Russia hawatakubali ukraine iliyopo backyard yake eti ijiunge na NATO
 
Back
Top Bottom