Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

US baada ya kushinda cold war kwa soviet union kumeguka, bado hawakuridhika kwani waliendelea kuiona Russia ni tishio kwao kwa malengo yao ya kuitawala dunia,, ilitakiwa Russia nayo imeguke ili viwe vinchi vidogo vidogo, ambavyo haviwezi kuwa threat to west,
Ndo maana NATO ilidelea kuwepo na kujiimarisha huku wakiweka military bases arround Russia,, kama wanavyoweka bases arround china na iran,
US na marafiki, walitaka kupata launching pad ambayo itawawezesha kufanya subversive campaign dhidi ya Russia,, so ukraine ikaonekana ndo iko pazuri kwani wakiichukua, kitu cha kwanza watafanya ni kuifunga Russia main navy bases pale crimea, Sebastopol,
So CIA waka initiate color revolution ukraine,, 2014,mchongo mzima alisimamia mwanamma victoria Nuland,
So baada ya mapinduzi,Russia wakawa wamenusa hatari,,Navy base ya Crimea ndo warm water navy base pekee ya Russia,na ni very critical kwa usalama wa Russia,,so hawakua na jinsi wakaichukua crimea,,
Kjpindi hicho West wamepata kibaraka ukraine,wakaanza kuipa silaha ukraine na kutoa mafunzo ya kijeshi,kipindi hicho east ukraine yenye Russia speaking population wakaanzisha movements za kujitenga,so pakawepo civil war,,
Klichotokea february ni Russia baada ya kujaribu diplomacy yote kuzuia ukraine kujiunga NATO na viongozi wa nchi za magharibi wakawa wanampuuza Putin,, so Russia yuko east ukraine kusecure Russians population na pia ku creat buffer zone kwa usalama wa Russia
Mkuu, historia yako ni dhaifu. Umoja wa Kisovyeti haikumegwa na magharibi, ni koloni za Urusi zilizotumia nafasi ya kuvunja utumwa wa miaka mingi na kuachana na Urusi.

Hakuna nchi ya kimagharibi iliyojaribu kudhoofisha Urusi zaidi. Kinyume chake nchi za magharibi ziliunga mkono mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine ambako Ukraine ilikabidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi - kwa ahadi kuwa Urusi italinda daima mipaka ya Ukraine. Leo tunaona maana ya ahadi za Urusi tangu Putin alichukua madaraka. Kama wangetaka kudhoofisha Urusi, ni mantiki gani kuunga mkono Ukraine iachane na silaha za nyuklia na kuzikabidhi kwa Urusi?????

Hakuna nchi ya magharibi iliyopinga mapatano kwamba Urusi iliruhusiwa kuendelea na kituo cha wanamaji kwenye eneo la ukraine huko Krimea. Hata hapa tunaona thamani ya ahadi za Urusi, ilhali mgeni aliamua kuiba yake aliyopanga kwa muda na kujitangaza kuwa bwana.
 
Drone Vs Drone

[emoji298]️The Turkish company Baykar plans to soon equip the Bayraktar TB2 and Akıncı drones with air-to-air missiles to combat kamikaze drones such as the Iranian Shaheds.

This was reported by Baykar CEO Haluk Bayraktar in a comment to dpa.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
 
Lakini hizo condition mwishoni itabidi akubaliane,, sio kitu kigeni,, hata gorbachev ilibidi akubaliane na outrageous conditions ili pawepo amani na ndo asili ya uwepo wa ukraine kama nchi,, kama Russia walikubali kuzitema ukraine, kazakhstan, Turkmenistan, tajikstan, azerbanjain , etc.
Ukraine nayo itabibidi aziteme luhansk, donesca kwanza hizo sehemu zina Russias population, hivyo milele haziwezi kukubali kuwa under ukranians,
Kuhusu Kujiunga NATO,, ni wazi kuwa NATO iliundwa as a military organisation against moscow,, so Russia hawatakubali ukraine iliyopo backyard yake eti ijiunge na NATO
[emoji298]️ The only realistic proposal regarding possible negotiations with Russia should be an immediate end to Putin's war against Ukraine and the withdrawal of Russian troops abroad as of 1991, - the spokesman of the Ministry of Foreign Affairs of Ukraine Oleh Nikolenko.

Nikolenko believes that Lavrov's statement about readiness for negotiations is nothing more than another smokescreen to buy time against the backdrop of the defeats of the Russian army.

 
Zamu Yao sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ The Russian military blew up the bridge over the Krasna River near the village of Krasnorichenske in the Luhansk region, because they are afraid that the Armed Forces of Ukraine are already close, - Serhii Haidai, the head of the Luhansk RMA, said.

He also reported that on October 29, the Russians blew up another bridge near Kreminnaia.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua
 
Pro russia mna habari mmetandikwa na drone meli zenu za kivita zimeharibiwa vibaya?

Russia claims to have identified the drones used in Black Sea Fleet attack​

Russia’s defence ministry said it has recovered and analysed the wreckage of drones used to attack ships of Russia’s Black Sea Fleet in Crimea yesterday.

The ministry said its analysis showed that the drones were equipped with Canadian-made navigation modules for an attack that it said was carried out by Ukraine under British leadership, a claim Britain has denied.

Russia annexed Crimea in 2014.
 
#Manipulation #technology
The President Zelensky's office used manipulation technology for a long time already.

For example now the Russian Federation has pulled out of the grain deal due to the "sabotage/terrorist attack" in Sevastopol Bay, the Crimean bridge, and also due to rumours that several ships were used to deliver arms to Ukraine.

Ukraine immediately switch to the manipulation mode: oh, poor children of Africa would go hungry. Although according to statistics, 90% of the ships with grain did not go to the countries that needed food, but to the EU, Britain, Turkey, the USA, etc. The grain in fact was bought by resellers and the entire grain case is a huge corruption track with kickbacks.

Now, it is ironical that out of a dozen blocked ships in Ukrainian ports, the Minister of Infrastructure Kubrakov has decided to highlight only the ship ordered for the UN. And others, which were ordered by transnational dealers, he decided not to highlight. Here's an absolute example of simple manipulation.

It is like if you take 9 of 10 apples for yourself and then donate 1 apple to the hungry ones, but later you will convince everyone that you have given all apples to the "hungry", stressing only that one. Hypocrisy? Yes! Duplicity? Yes! Lying? Yes!
But that is the civilizational approach, where the main goal is the profits of the multinationals, who always hide behind good intentions.



Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.

@Slavyangrad / SLG Spetsnaz Detachment (Inna)
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community
 
@mtarimbo usihangaike kua unanireply utanisamehe MKUU ila nilisha kuignore
Toka ulipoleta mada zakuanza kutukana nilikutia nyundo
Mkuu siwez kukutukana hata siku moja hili jukwaa tunafundishana tuu wote ni binadamu kama kuna sehemu uliona nimetukana tusamehane nakuheshimu broo wala sina tatizo na pro russia hii vita itaisha na maisha yataendelea
 
USA cry for Russia
EU cry for Russia
Ukraine cry for Russia
NATO cry for Russia
UN cry for Russia

But none of them has tried to stop Russia from making them crying everyday.

Then, Who is Russia?
Ndo tunarudi pale pale kwenye msemo wetu wa kihenga; "URUSI SIYO ZIMBABWE NI TAIFA AMBALO DUNIA INALIHITAJI KULIKO LINAVYO IHITAJI" [emoji1269]
Ukifikiri kwa upande mwingine Wanalia kinafiki tu hao kwa Russia. Wangekuwa wanamuhitaji kwa kiwango kikubwa wangemuogopa. Ungeona wote wanajipendekeza kutafuta suluhu badala ya kupeleka silaha.
 
Lithuania called on the West to provide warships for the resumption of the grain deal

The Lithuanian Foreign Ministry called for the organization of military escort for ships leaving Ukrainian ports in connection with Russia's suspension of participation in the implementation of the grain deal.
 
You have got it wrong...Halafu wewe ni mpotoshaji mkubwa...Lakini awali ya yote ngoja nikupongeze kwa jambo moja. Inaelekea umeacha kuweka comment kama robot. Comment yako hii angalau umejadili jambo na kuachana na mambo ya 'dikteta, pimbi, fashisti, kupelekewa moto na kichapo. Kwa andiko hili lako kwa kweli umejitahidi kuachana na tabia hiyo ya kwanza. Lakini ulichokiweka hapa ni upotoshaji mkubwa kwa yaliyotokea mwanzo... Russia mwanzoni mwa vita ilikuwa tayari kwa mazungumzo na hata sasa ipo tayari. Na in fact hata mazungumzo yenyewe yalikuwa yanafanyika huko Belarus na Uturuki. Mazungumzo hayo yalifikia hatua nzuri isipokuwa Ukraine kwa maana ya Zelensky akaambiwa na Uk na USA aaxhane na mazungumzo hayo na kwamba nchi hizo kwa maana ya USA, UK na West zitafadhili gharama zote za vita kwa upande wa uKRAINE. mWANZONI KABISA WA VITA UTAKUMBUKA Borisi Jphn son alikwenda Ukraine kwa lwengo la kum kamkataza Zelensky aachane na mazungumzo ya amani na Russia. Zelensky alifanya hivyo na mpaka sasa msimamo wa Ukraine ni huo huo. Hawataki mazun gumzo na Russia . Ukraine wanasema mazungumzo ni kwenye uwanja wa vita. Wanaoamua mambo huko Ukraine ni West. Zelensky hana nguvu zozote zile za maamuzi. Wanaoumia zaidi ni wananchi wa Ukraine ambao wanakufa kwa maelfu wakiwemo askari.
Kama sijakosea nadhani Zele aliomba mazungumzo na akakubali sharti la kutokujiunga NATO ili Putin asishambulie, Putin akatoa masharti magumu ndo ikashindikana. Wenye kumbukumbu wataweka data sawa.
 
❗️Key points from Russia's MoD on the terrorist attack in the Black Sea:

▪️The results of the examination of marine drones involved in the attack on Sevastopol showed that they were launched from the Odessa region;

▪️Specialists arrived from the Ministry of Defense of the Russian Federation after the attack on the ships of the Black Sea Fleet; they conducted an examination of Canadian–made navigation modules installed on marine UAVs;

▪️After the attack on the ships of the Black Sea fleet and civilian vessels was repelled, the wreckage of the used marine drones was raised to the surface;

▪️The coordinates of the movement of one of the marine drones indicate the starting point in the water area of the security zone of the "grain corridor" in the Black Sea;

▪️During the attack on the Black Sea Fleet, the UAVs moved through the security zone of the "grain corridor", then changed course and went to the ships' base in Sevastopol;

▪️One of the drones involved in the attack on Sevastopol could have been launched from a ship chartered by Kiev for the export of agricultural products.


Intelligence Briefings,
 
Mkuu, historia yako ni dhaifu. Umoja wa Kisovyeti haikumegwa na magharibi, ni koloni za Urusi zilizotumia nafasi ya kuvunja utumwa wa miaka mingi na kuachana na Urusi.

Hakuna nchi ya kimagharibi iliyojaribu kudhoofisha Urusi zaidi. Kinyume chake nchi za magharibi ziliunga mkono mazungumzo kati ya Urusi na Ukraine ambako Ukraine ilikabidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi - kwa ahadi kuwa Urusi italinda daima mipaka ya Ukraine. Leo tunaona maana ya ahadi za Urusi tangu Putin alichukua madaraka. Kama wangetaka kudhoofisha Urusi, ni mantiki gani kuunga mkono Ukraine iachane na silaha za nyuklia na kuzikabidhi kwa Urusi?????

Hakuna nchi ya magharibi iliyopinga mapatano kwamba Urusi iliruhusiwa kuendelea na kituo cha wanamaji kwenye eneo la ukraine huko Krimea. Hata hapa tunaona thamani ya ahadi za Urusi, ilhali mgeni aliamua kuiba yake aliyopanga kwa muda na kujitangaza kuwa bwana.
Kabla sijakujibu naomba kujua umri wako kwanza isije nikawa nabishana na watoto wa miaka ya 90 nikapoteza muda wangu yani kiufupi wewe history imekukalia kushoto
 
Hua nashindwa kuelewa kiherehere cha marekani.. hv nan alimpa mandate ?

Wapuuzi sana hawa,kazi yao kuu ni kichonganisha watu wasielewane na kibaya zaidi kujipa/pachika mamlaka ambayo hawana kabisa juu ya mataifa mengine hapa Duniani - kujiingiza ingiza kwenye internal affairs za mataifa mengine, kero sana kwa ustawi wa Dunia pamoja na amani ya kudumu.
 
Kwa nini kwenye hii mada watu mnaleta mabandiko toka kwenye vyanzo vingine bila ya kutoa sifa kwa vyanzo hivyo? Unaleta bandiko kama wewe ndiyo mwandishi wakati umelinukuu toka mahali kwingine. muwe mnasema mnatoa wapi mabandiko yenu ili tuone kama watowaji wa hayo mabandiko wana viwango vya kimaadili kuaminika.

Mwaka huu ni mwaka wa chaguzi marekani, sasa vita vyao na mitizamo yao kuhusu vita hii, usiifanye ni yako. Taja unaponukuu mabandiko ya watu. huo ndiyo uungwana.
 
Lakini hizo condition mwishoni itabidi akubaliane,, sio kitu kigeni,, hata gorbachev ilibidi akubaliane na outrageous conditions ili pawepo amani na ndo asili ya uwepo wa ukraine kama nchi,, kama Russia walikubali kuzitema ukraine, kazakhstan, Turkmenistan, tajikstan, azerbanjain , etc.
Ukraine nayo itabibidi aziteme luhansk, donesca kwanza hizo sehemu zina Russias population, hivyo milele haziwezi kukubali kuwa under ukranians,
Kuhusu Kujiunga NATO,, ni wazi kuwa NATO iliundwa as a military organisation against moscow,, so Russia hawatakubali ukraine iliyopo backyard yake eti ijiunge na NATO
Ni kweli Urusi haiwezi kukubali na huenda wapo sahihi.

Nadhani hii vita inaendelea si ya kujiunga NATO tena, ni ya kukomboa majimbo...

Kuhusu NATO naamini Ukraine kamuelewa kaka yake ila sasa kaka naye hili la majimbo kuyashikilia ndo sijamuelewa. Tatizo ilikuwa ni kujiunga NATO kweli au ardhi?
 
Naona tunahangaika kujua chanzo ama sababu ya vita. Tuelewe tu kwamba KILA Upande una sababu zake halisi na zile zinazosemwa. Debate ya sababu za vita ndio mjadala wetu wa awali kabisa . Vita ipo uwanjani , hebu basi tuchambue vita Wana historia watakuja kuandika na fact nyingi zitakuja kutolewa juu ya vita hii ya KIJINGA kabisa kuwahi kupiganwa
 
Kwa nini kwenye hii mada watu mnaleta mabandiko toka kwenye vyanzo vingine bila ya kutoa sifa kwa vyanzo hivyo? Unaleta bandiko kama wewe ndiyo mwandishi wakati umelinukuu toka mahali kwingine. muwe mnasema mnatoa wapi mabandiko yenu ili tuone kama watowaji wa hayo mabandiko wana viwango vya kimaadili kuaminika.

Mwaka huu ni mwaka wa chaguzi marekani, sasa vita vyao na mitizamo yao kuhusu vita hii, usiifanye ni yako. Taja unaponukuu mabandiko ya watu. huo ndiyo uungwana.
Shida ya vyanzo vya kina RT BBC namfano wa haya

Hawa wote sio wakuaminika ila tuwasikilize tu

Mana kuna muda hata saa mbovu hua yasema ukweli
 
Back
Top Bottom