Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwenye bandiko lako mwanzoni unaonesha kama vile huwaamini Wamarekani, hapo hapo unaweka "Link" kuonesha nini aliambiwa Barack Obama na wamarekani kuhusu kuhusika kwake kwenye kuchochea vita vya Ukraine. Unatakaje sasa, tuwaamini watu unaosema hawaaminiki?

Ongea yote lakini chanzo cha vita ya sasa ni huo mtizamo wa kina Puttin na wenzake kwamba nchi zote zilizojitenga na Soviet wakati ule, ni lazima sasa ziwe chini ya Russia.

USHAURI: Wamarekani wengi wanaomuunga mkono Trump ambaye ndiye muasisi wa nadharia njama kuwa Biden ama Obama ndiyo wachochezi wa vita vya Ukraine na Russia, ni watu wa maporini na wengi wao hawajui kusoma wala kuandika. USIWAAMINI.
Utachelewa kuujua ukweli ila naamini utakuja kuujua, 1st nilichokosoa kuhusu kuaminika kwa US ni sera yake ya mambo ya nje, inakoelekea itabidi ifanyiwe marekebisho ili angalau kuweka usawa na mataifa mengine, kama umesikia kwenye hiyo clip mtu mmoja anamshutumu Obama kuwa alishaivamia Ukraine since 2014! Unajua 2014 kilitokea nini?

Huu mjadala tunaojadiliana hapa hakuanza leo, ulianza mda mrefu sana since 1995 huko kwenye vikao vyao wenyewe wakijionya kuwa kujitanua kuelekea upande wa Mashariki kutasababisha eneo hilo lisiwe tulivu! unajua sababu ilikuwa nn mpk pande zote 2 yaani Russia na NATO wajiwekee terms za kutojitanua? B'cose kabla ya 1990 USSR ilifika Ujeruman Mashariki hivo baada ya kuanguka USSR ndipo walipoona kujiwekea hizo terms kuwa Russia asijitanue kuelekea Magharibi pia NATO isijitanue kuelekea mashariki kuifata Russia. Wote waijiwekea hizi terms sababu za kiusalama.

Itafika wakati nchi za Ulaya zitajutenga na NATO, Kuthibutisha ili mwaka 2018 Emanuel Macron Rais France alipendekeza Ulaya iwe na jeshi lake la kweli isiwe NATO! Wazo ili liliungwa mkono na aliekuwa kansela wa Ujeruman Bi. Angel Merkel sio kwa bahati mbaya ila kwasababu tu alikuwa anaona anashinikizwa vitu visivyo na msingi kwa maslah ya Marekan na sio Germany.
 
NATO urges Russia to reconsider its decision and urgently renew the grain deal with Ukraine so that food reaches those who need it most
Nope
Kwa nini nato wasimvamie russia na b2 b52 f16 f15 f22 f35 na aircraft carriers zao na kumtembezea kipigo cha mbwa koko kama walivofanya pale libya. Tumechoka na malalamiko yao yaani nchi moja tu yenye weak air defense tena yenye uchumi kama jimbo 1 la marekani ndio iwasumbue ulaya na nato nzima
 
wa magharibi janja janja sana.... wanajifanya kutuhurumia Wafrika et tuna njaa halafu meli zote za chakula zinaenda kwao... wazee wa upinde wapumbafu sana.... acha putin asambaze mwenyewe na sio hao mabepari...
Putin nimepata kumuelewa sasa.Ni mtu anayejitambua sana na ana hoja maridhawa. Ule mkataba ilikuwa awachie nafaka za Ukraine zitoke lakini na mbolea na nafaka zake pia zinunuliwe.Wamagharibi hawajui kula na kipofu. Wamechukua nafaka za Ukraine lakini bidhaa za Urusi wanakataa kuchukua na zaidi ya hapo halafu wanamzomea Urusi kuwa eti vikwazo sasa vimembana sana. Nani atakayekubali milele ujinga huo.
 
Drone Vs Drone

[emoji298]️The Turkish company Baykar plans to soon equip the Bayraktar TB2 and Akıncı drones with air-to-air missiles to combat kamikaze drones such as the Iranian Shaheds.

This was reported by Baykar CEO Haluk Bayraktar in a comment to dpa.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
Vita inakuwa tamu sana.
TB 2 zilipotea sana miezi 4 sasa
 
Pro russia mna habari mmetandikwa na drone meli zenu za kivita zimeharibiwa vibaya?

Russia claims to have identified the drones used in Black Sea Fleet attack​

Russia’s defence ministry said it has recovered and analysed the wreckage of drones used to attack ships of Russia’s Black Sea Fleet in Crimea yesterday.

The ministry said its analysis showed that the drones were equipped with Canadian-made navigation modules for an attack that it said was carried out by Ukraine under British leadership, a claim Britain has denied.

Russia annexed Crimea in 2014.
Basi wakaipige Britain
 
[emoji779]️Key points from Russia's MoD on the terrorist attack in the Black Sea:

[emoji3502]The results of the examination of marine drones involved in the attack on Sevastopol showed that they were launched from the Odessa region;

[emoji3502]Specialists arrived from the Ministry of Defense of the Russian Federation after the attack on the ships of the Black Sea Fleet; they conducted an examination of Canadian–made navigation modules installed on marine UAVs;

[emoji3502]After the attack on the ships of the Black Sea fleet and civilian vessels was repelled, the wreckage of the used marine drones was raised to the surface;

[emoji3502]The coordinates of the movement of one of the marine drones indicate the starting point in the water area of the security zone of the "grain corridor" in the Black Sea;

[emoji3502]During the attack on the Black Sea Fleet, the UAVs moved through the security zone of the "grain corridor", then changed course and went to the ships' base in Sevastopol;

[emoji3502]One of the drones involved in the attack on Sevastopol could have been launched from a ship chartered by Kiev for the export of agricultural products.


Intelligence Briefings,
Ulitegemea majibu tofauti na haya?
 
Kwenye bandiko lako mwanzoni unaonesha kama vile huwaamini Wamarekani, hapo hapo unaweka "Link" kuonesha nini aliambiwa Barack Obama na wamarekani kuhusu kuhusika kwake kwenye kuchochea vita vya Ukraine. Unatakaje sasa, tuwaamini watu unaosema hawaaminiki?

Ongea yote lakini chanzo cha vita ya sasa ni huo mtizamo wa kina Puttin na wenzake kwamba nchi zote zilizojitenga na Soviet wakati ule, ni lazima sasa ziwe chini ya Russia.

USHAURI: Wamarekani wengi wanaomuunga mkono Trump ambaye ndiye muasisi wa nadharia njama kuwa Biden ama Obama ndiyo wachochezi wa vita vya Ukraine na Russia, ni watu wa maporini na wengi wao hawajui kusoma wala kuandika. USIWAAMINI.
Mtazamo wa viongozi wa marekani pamoja na raia wakawaida wamarekani juu ya Russia ni tofauti.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Communist MP Calls For Gay Clubs To Be Closed In Russia

Gay clubs should be banned under a new Russian bill seeking to penalize LGBT ‘propaganda’, Nina Ostanina, a member of the country’s lower house of parliament, has said.

Nina Ostanina is member of the parliamentary opposition Communist Party and has become a prominent voice on "family values" issues. She previously identified as a "progressive."

“Gay clubs are places where one usually can find [LGBT] people… I consider them establishments that promote untraditional sexual relations,” Ostanina, the head of the parliamentary committee on family matters, told news agency RIA Novosti.

Subscribe to RT
 
Katibu wa UN kafanya kazi bure kufanikisha chakula kusafirishwa lakini majitu yasiyo na akili yamevuruga mpango huo MAJITU ..
kama ungekuwa mfuatiliaji mzuri wa nini kinachoendelea huko,yapata mwezi mmoja sasa PUTIN alishasema kuwa huo mpango utakuja kusitishwa kwani chakula kingi hakiendi AFRICA,bali ni kwenye nchi za EU.hivyo inawezeka ikawa kweli limetokea au ni kitu kimetengenzwa ili kupata uhalali wa hilo.kwani kwa kinachoendelea sasa lazima URUSI atumie kama silaha.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The Russian military advanced south of Donetsk and occupied several major enemy strongholds.

More than 100 servicemen of the Armed Forces of Ukraine have been destroyed, the Russian Defense Ministry reports.

The units of the Armed Forces of the Russian Federation were thrown back to the initial positions of the Armed Forces of Ukraine near Kupyansk, 250 personnel were destroyed.

The result of the attack at Krasny Liman is the same — the Ukrainian military lost more than 50 soldiers and one tank.

The Armed Forces of Ukraine again failed to advance on the Southern Front, losing only 180 people killed.

The Russian military repulsed another attempt to land the Ukrainian Armed Forces at the Zaporozhye NPP.

Air defense systems shot down two Mi-8 helicopters and a Su-25 attack aircraft of the Ukrainian Air Force.

By
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The Russian military told about the underwater drones that attacked the ships of the Black Sea Fleet in Sevastopol yesterday.

The Armed Forces of Ukraine confused them from the coast in the Odessa region.

The coordinates of the movement of one of the vehicles indicate the starting point in the sea zone of the grain corridor.

Previously, they were launched from a civilian vessel chartered by Ukraine or Western countries for agricultural products.

The wreckage of underwater vehicles was found and raised to the surface. They are studied by specialists of the Ministry of Defense of the Russian Federation.

Subscribe to
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The Russian military showed a video of the destruction of the Ukrainian Armed Forces saboteurs in Energodar.

Their forces tried to land in the area of the Zaporozhye NPP.

As you can see, it was unsuccessful — the boat was destroyed.

The footage is published by the Russian Ministry of Defense.
 
Lakini hizo condition mwishoni itabidi akubaliane,, sio kitu kigeni,, hata gorbachev ilibidi akubaliane na outrageous conditions ili pawepo amani na ndo asili ya uwepo wa ukraine kama nchi,, kama Russia walikubali kuzitema ukraine, kazakhstan, Turkmenistan, tajikstan, azerbanjain , etc.
Ukraine nayo itabibidi aziteme luhansk, donesca kwanza hizo sehemu zina Russias population, hivyo milele haziwezi kukubali kuwa under ukranians,
Kuhusu Kujiunga NATO,, ni wazi kuwa NATO iliundwa as a military organisation against moscow,, so Russia hawatakubali ukraine iliyopo backyard yake eti ijiunge na NATO
Russia hakuyatema hayo maeneo yake kwa uvamizi wa kjinga kama huu.
 
Back
Top Bottom