Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hilo linategemeana na reserve yake ya chakula. Lakini binadamu hakosagi alternative, watakufa kufa hapo ila baada ya muda mbadala utapatikana na itawaachia alama kuwa utegemezi wa chakula ni hatari.

Binafsi naamini Putin ana akili kunizidi na anajua anachofanya, ila kwa akili zangu hizi za kitanganyika, sioni sababu ya kushambulia kwa kutumia bidhaa zako zisizo za kijeshi sababu vita vitakwisha ila biashara ipo na ipo siku itaendelea. Mm ningewatwangwa huku nawauzia gesi bei nzuri tu wananchi wao, na chakula nisingezuia ili kuwemaza raia wao waendelee kuwa soko langu.
Point
 
UN Secretary-General Guterres postspones his trip to the Arab League summit due to concerns about the situation with the "grain deal."

The case of the "grain deal", in which there was a new twist-Russia's suspension of participation in it for an indefinite period-forced the UN Secretary General António Guterres to change his plans. He was supposed to fly to Algiers, Algeria for the Arab League summit, but the aggravation of the situation with the agreement forces him to deal with it first of all.

He continues intensive contacts, which are aimed at the full implementation of the grain deal as well as the removal of obstacles to the export of food and fertilisers from Russia.

The day before, it was officially announced that, in connection with the attack of drones on the Black Sea Fleet in the bay of Sevastopol (the drones penetrated the raid through the "grain corridor"), Russia is suspending its participation in the "grain deal" for an indefinite period and can no longer guarantee the safety of dry cargo ships operating within the framework of the agreement.

Intelligence Briefings, Strategy and Analysis
Sasa wao wamemuwekea vikwazo maelfu ....lakini wao grain tu na gesi vilio viiiiingiiiiii. Watulie
 
Ili Russia awe ameshinda, nn kinatakiwa kitokee? Mfano Russia akiachia majimbo yote kama msingi wa kuonyesha nia ya kumaliza vita kisha akasema ushindi wangu ni kuhakikisha Ukraine haijoin NATO kama mwanzo ilivyokuwa halafu Ukraine ikaamua isijiunge NATO, Russia atakuwa kapoteza au kashinda?
Wataleta story Kama za Finland..... Acha achapwe kabisa. Ijulikane 1 Ni 1 sio I.
 
Hilo linategemeana na reserve yake ya chakula. Lakini binadamu hakosagi alternative, watakufa kufa hapo ila baada ya muda mbadala utapatikana na itawaachia alama kuwa utegemezi wa chakula ni hatari.

Binafsi naamini Putin ana akili kunizidi na anajua anachofanya, ila kwa akili zangu hizi za kitanganyika, sioni sababu ya kushambulia kwa kutumia bidhaa zako zisizo za kijeshi sababu vita vitakwisha ila biashara ipo na ipo siku itaendelea. Mm ningewatwangwa huku nawauzia gesi bei nzuri tu wananchi wao, na chakula nisingezuia ili kuwemaza raia wao waendelee kuwa soko langu.
Kumbuka mwamba Putin hajakataa kuwauzia gesi bali wao ndio waliokataa kuinunua. Sasa unamlaumu vipi mwamba?

Kuhusu nafaka aliwaachia mara ya kwanza wapeleke nchi maskini wao wakapeleka kwao.
Juzi wametumia corridor hilo kushambulia meli za mwamba.

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Wewe Akili yako umeshashikiwa lakini uzuri ni kwamba hayo maeneo yamerudi nyumbani
Yapi sasa yaliyorudi?! Si mlisema baada ya Referendums kukamilika hayo maeneo ni sehemu ya RF kwamba mtayalinda hata kwa nyuklia kama ikatokea yameshambuliwa?! Sasa mbona Ukraine inayashambulia na kukomboa vijiji kila uchwao hatuoni reaction yoyote toka Moscow[emoji23][emoji23]
 
Mbona hilo ni jambo la kawaida Howitzers kutoa mihale ya moto na moshi mzito kwenye muzzles zake - hiyo haimanishi kwamba wingi wa Howitzers ndio kutamsaidia clown Zelensky kushida vita - badala yake jeshi la Ukraine litapukutishwa lote na si ajabu mpaka kufikia mwaka kesho halitaliwepo taifa linalo julikana/itwa Ukraine.
Ulisema mpk mwezi November jeshi la Ukraine litakua limefutwa kwa kupata kipigo cha Historia, November ni kesho Mkuu. Nakukumbusha tu.
 

Russian Missiles hit British Operations Center in Ukraine​

30 OCTOBER 2022
Russian Missiles Hit British Operations Center in Ukraine

The Russian Army has struck the base of the Ukrainian Navy in Ochachiv, a city in the Nikolaev Region, with missiles. This particular strike took out the Communications Center and Intelligence Department of the British Naval Operations Service.
We are told by sources in Ukraine that at least one Russian precision missile hit at the actual window sill of the Base Commander Office!
Ochachiv-2.png

Said one knowledgeable source "Britain is responsible for the Kerch bridge attack, the NS1 and NS2 sabotage, sinking the cruiser Moskva and also for yesterdays attack on the Sevastopol Crimea naval base. If you are in UK, I would start thinking to move out. You not gonna like whats gonna happen next...."
 
Karibu tena lula

In Brazil, the president has changed.

The election was won by Lula da Silva, a socialist who was already the head of state from 2003 to 2010.

It was during his presidency that the processes of developing cooperation within the framework of BRIC (since 2011 — BRICS), including cooperation between Brazil and Russia, received active support.

In 2017, the ex-president was found guilty of a corruption crime and sentenced to 9.5 years in prison. He spent 580 days in prison and was released after the Supreme Court declared the sentence illegal and dropped all charges.

Speaking about the situation in Ukraine, Lula da Silva stated that Russia should not have launched a special operation, but this is also the fault of the West, which should not have promised Kiev membership in NATO and the EU.

"The United States and Europe should have said, 'Ukraine will not join NATO.' That would solve the problem."

"But I think they were trying to talk to Russia," the Times journalist told the ex-president.

- No, they didn't t
 
Back
Top Bottom