Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi unaakili kweli watu wanapigania nchi Yao isimegwe kihuni unasema ni ujinga,

hivi unajua vita dhidi ya Uganda 1977 Tanzania ingesema ifuate ushauri wako Leo hii kagera ingekua sehemu ya uganda
Huo ni mtazamo wangu tu hutaki acha, ila kikweli vita nyingi ukiziangalia hazina msingi tunasababisha tu vifo na uharibifu. Binafsi navyoona watu wanakufa na nchi zinaharibika kisa kugombea mipaka ya nchi huwa nasikitika sana.
 
Ili Russia awe ameshinda, nn kinatakiwa kitokee? Mfano Russia akiachia majimbo yote kama msingi wa kuonyesha nia ya kumaliza vita kisha akasema ushindi wangu ni kuhakikisha Ukraine haijoin NATO kama mwanzo ilivyokuwa halafu Ukraine ikaamua isijiunge NATO, Russia atakuwa kapoteza au kashinda?
Atakua kapoteza.
1. Majimbo yaliyojiunga na urusi hayatakiwi kurudi Ukraine.
2. Ukraine isijiunge NATO, nahilo liandikwe kwenye Katiba ya Ukrein.
 
Yaani ndugu umeongea bonge la point ambalo naliwaza daily na nashindwa kumwelewa Puttin, mwenzio katumia mbinu zisizo za gharama wala kumwaga damu kuweka pandikizi kwanini yeye na majasusi wake tena wako karibu na Ukrein washindwe kutumia mbinu ile ile kuweka mtu wao? Amenifanya niamini kuwa mtu akikaa sana madarakani na busara zinamkimbia.
US walieka pandikizi gani pale IRAQ bila umwagaji wa damu !!?

US walieka pandikizi lipi AFGHAN bila umwagaji damu

US alieka pandikizi gani UKRAINE bila umwagaji wa damu

Hapa sio nyie mnaolalama kila siku kama BELARUS ni pandikizi wa RUSSIA

Hapa mnalalama kwamba VENEZUELA pandikizi la RUSSIA

Hapa mnalalama kila leo kwamba ASAD pandikizi la RUSSIA

Hapa mnalalama kila leo kua yanayoendelea west afrika nikuekwa mapandikizi ya RUSSIA

Wengine walifika mbali mpaka kwa DT kua pandikizi wa RUSSIA

Mnashida ipi kwan !!!??
 
Huo ni mtazamo wangu tu hutaki acha, ila kikweli vita nyingi ukiziangalia hazina msingi tunasababisha tu vifo na uharibifu. Binafsi navyoona watu wanakufa na nchi zinaharibika kisa kugombea mipaka ya nchi huwa nasikitika sana.
Basi ni mtazamo wa kijinga yaani uache nchi yako ichukuliwe huku unaangalia huo ni uzoba wa kiwango Cha u-professor
 
Yaani ndugu umeongea bonge la point ambalo naliwaza daily na nashindwa kumwelewa Puttin, mwenzio katumia mbinu zisizo za gharama wala kumwaga damu kuweka pandikizi kwanini yeye na majasusi wake tena wako karibu na Ukrein washindwe kutumia mbinu ile ile kuweka mtu wao? Amenifanya niamini kuwa mtu akikaa sana madarakani na busara zinamkimbia.
Unaona ameongea pointi Kwa sababu kuna kitu hukijui
 
Lakini Russia ilikua ikitumia Meli hizohizo kushambulia Ukraine Kwa Makombora,hilo zinafanya hizo Meli kua target halali kabisa kijeshi.

Wamekanusha n hawajasema hilo. Mrussi kafunga njia ya nafaka.

Kuna uwezekano russia kujipiga mwenyewe ili apate sababu ya kufunga njia- Ukraine
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
UK Responds To Russian Accusation Over Nord Stream

The United Kingdom has rebuffed a Russian accusation that it orchestrated an attack on the Nord Stream pipelines in the Baltic Sea. The statement came hours after Moscow claimed that the Royal Navy was involved in the explosions.

Writing on Twitter on Saturday, the UK Ministry of Defence claimed that Moscow “is resorting to peddling false claims of an epic scale” in an effort to detract the global community from “their disastrous handling of the illegal invasion of Ukraine.”

The ministry went on to denounce the accusation as an “invented story” which “says more about arguments going on inside the Russian Government than it does about the West.”

Subscribe to RT
IMG_20221030_222832_173.jpg
 
Kama mnataka kujua kwanini ni halali Russia kuzichukua Yale maeneo kuna makala RT yanayoeleza kwamba ilikuwa ni suala la muda Yale maeneo kurudi Russia na yatakuwa maeneo ya Russia milele yaani ni maeneo ya Russia ya Kihalali kabisa.kuna makala RT lakini sijapata namna ya kuyaleta hapa.
Milele wakati maeneo yanakombolewa karibu kila wiki[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo Donbas anayosema ya kwake hajaikamata yote,Nusu inashikiliwa na Ukraine.
 
Kwa sababu ya historia ya hayo maeneo yalikuwa ni suala la muda Tu kurudi Russia.kuna makala kama unahitaji kuwa na maarifa unatakiwa kuyasoma.kuna haya makala yapo Rt TV inabidi kasome hayo maamuzi watu hawajakurupuka kila siku nakuambia pia nakuambiaga wewe unahitaji maarifa zaidi kuhusu huu mgogoro.View attachment 2402561View attachment 2402562View attachment 2402564View attachment 2402565View attachment 2402567View attachment 2402563View attachment 2402568
Bhas na Kaliningrad irudi Ujerumani. Alaska irudi Urusi.

Urusi bado ina mentality ya Zama za mawe
 
Milele wakati maeneo yanakombolewa karibu kila wiki[emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo Donbas anayosema ya kwake hajaikamata yote,Nusu inashikiliwa na Ukraine.
Urusi anaendelea kuchukua Maeneo yote yaliyobaki hayo Maeneo hayatarudi milele Ukraine na Sasa hivi kila sehemu warusi wanaendelea kwenda mbele yaani ni uhakika asilimia 100 hayo maeneo hayatarudi milele nakupa kazi ya kufuatilia mambo Gani yanaendelea huko urusi anaendelea kusonga mbele.
 
Bhas na Kaliningrad irudi Ujerumani. Alaska irudi Urusi.

Urusi bado ina mentality ya Zama za mawe
Na Sababu maalum ya Maeneo haya kurudi urusi yameandikwa kwenye hayo makala nakushauri kama unataka maarifa ili usiendelee kujiaibisha kasome Kwa nini yamerudishwa.Unasema Alaska Alaska iliuzwa kihalali.
 
Wapuuzi sana hawa,kazi yao kuu ni kichonganisha watu wasielewane na kibaya zaidi kujipa/pachika mamlaka ambayo hawana kabisa juu ya mataifa mengine hapa Duniani - kujiingiza ingiza kwenye internal affairs za mataifa mengine, kero sana kwa ustawi wa Dunia pamoja na amani ya kudumu.
Inafikirisha na kuhuzunisha sana, yaani Marekani na washirika wake wote wameshindwa kutumia nguvu kuendesha mambo kwa jinsi wanavyotaka wao badala yake wanaomba hisani kwa taifa moja ambalo tayari walishalipunguzia uwezo kwa vikwazo visivyo na idadi.
 
Back
Top Bottom