Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama mnataka kujua kwanini ni halali Russia kuzichukua Yale maeneo kuna makala RT yanayoeleza kwamba ilikuwa ni suala la muda Yale maeneo kurudi Russia na yatakuwa maeneo ya Russia milele yaani ni maeneo ya Russia ya Kihalali kabisa.kuna makala RT lakini sijapata namna ya kuyaleta hapa.
RT tena? ..... hicho ni chombo Cha propaganda za Kremlin.
 
Kama mnataka kujua kwanini ni halali Russia kuzichukua Yale maeneo kuna makala RT yanayoeleza kwamba ilikuwa ni suala la muda Yale maeneo kurudi Russia na yatakuwa maeneo ya Russia milele yaani ni maeneo ya Russia ya Kihalali kabisa.kuna makala RT lakini sijapata namna ya kuyaleta hapa.
RT siyo chanzo cha kuaminika kwenye hoja nyingi kuhusu Russia. Ndiyo TBC yao.
 
Urusi yaukama mji wa povlivka
img_1_1667158705465.jpg
 
Kasome makala utaelewa vizuri Sana.Russia hawajakurupuka wala hawana Tamaaa ya maeneo lakini kutokana na Mambo yanayotokea kwenye hayo Maeneo ndo Sababu ya yote hayo.
Maana yake hata Rwanda na Burundi zililkuwa sehemu ya Tanganyika. Sasa Tanganyika ipi?

Makala zisizoakisi historia za kweli hupotosha watanzania wengi sana.
 
Tafsirini kwenye kiswahili - kuna kitu watu watajifunza - loh, Putin kichwa sana - a man who sees tomorrow!!! Leo ndio nimejifunza kwamba kumbe chuki zote za viongozi wa magharibi zinatokana na yeye kuwazidi akili,maarifa na kikubwa zaidi busara. Putin ananikumbusha sana busara za the late John F. Kennedy.
aliyevamia Crimea ni yeye hao magharibi wala hawakuwa na muda nae , hakuridhika akapandikiza waasi huko mashariki ya ukraine , magharibu wakamchunia hakuridhika still akaivamia kabisa Ukraine , SASA SIJUI NAN MWENYE CHUKI HAPA , ALIEVAMIA NCHI YA WATU AU WANAOWASAIDIA WENYEJ KUJILINDA , CHUNGENI MSIWE VICHAA TU , TUNAWAZOOM TU
 
Urusi anaendelea kuchukua Maeneo yote yaliyobaki hayo Maeneo hayatarudi milele Ukraine na Sasa hivi kila sehemu warusi wanaendelea kwenda mbele yaani ni uhakika asilimia 100 hayo maeneo hayatarudi milele nakupa kazi ya kufuatilia mambo Gani yanaendelea huko urusi anaendelea kusonga mbele.
Wapi huko ambako Mrusi anaendelea kuchukua maeneo wakati hapo Bakhmut tu panamshinda,yupo hapo anapigana miezi karibu mitatu sasa anashindwa kuchukua huo mji Licha ya kua na lundo la wanajeshi wakiongozwa na wale Wagner
 
Na Sababu maalum ya Maeneo haya kurudi urusi yameandikwa kwenye hayo makala nakushauri kama unataka maarifa ili usiendelee kujiaibisha kasome Kwa nini yamerudishwa.Unasema Alaska Alaska iliuzwa kihalali.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani nijiaibishe kisa kukataa kulishwa propaganda?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom