Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wiki mbili zilizo pita ulisikia Generali wa Ukraine alisema nini? Alirudia maneno yale yale niliyo yasema tangu mwanzo kwamba kumbe jeshi la Russia liliwawekea mtego wa panya jeshi la Zelensky huko KHERSON, waliwasubiri wajae kibaba kwanza halafu wawashushie fundisho la mwaka/zawadi ya Krismas - sasa sijui alishtuliwa na nani aliye mwambia,look here General - uondokaji wa wanajeshi wa Urusi mkoani KHERSON pamoja na jiji na kujifanya wameacha baadhi ya silaha zao nyuma kitendo hicho kijeshi kinaonekana ni "too good to be true,which is true" ndivyo Generali alivyo shituliwa hivyo aka toa order kwamba jeshi lake lisijiingize KHERSON kichwa kichwa, actually baadhi ya wanajeshi wa Ukraine wamehamua kujisalimisha kwa jeshi la Urusi kuliko kuendelea kupigana a futile war ambayo wana uhakika kwamba jeshi la Ukraine haliwezi kushinda.
Habari hii hapa ikielezea jinsi Russia ilivyogeuza ZNPP kambi ya jeshi,wakirusha Makombora toka kwenye kinu cha nyuklia ili kukwepa counter attack. Halafu Leo wanalalamika kuhusu ugaidi?! Kuna ugaidi gani kuzidi huu uhuni wa kutumia kinu cha nyuklia kama kambi ya jeshi?!

 
Makombora zaidi ya 40 uelekeo wa Kyiv, Lviv, Zaporizhzhia etc
Ukiona hivyo bhas kuna uwezekano Yale mameli yake yaliyobutuliwa juzi yameharibiwa vibaya. Maana kawaida ya Russia tangu kuzamishwa kwa Moskva, kubutuliwa kwa kambi kule Crimea,Daraja la Crimea wakati wa retaliation hua anavurumisha Makombora si mchezo kama kulipa kisasi.
 
Kweli ni uzoba lakini kuingia kwenye vita ambayo unajua huwezi kushinda unapigana ili usionekane zoba na matokeo yake mnapoteza maisha kwa kiasi kikubwa na hiyo nchi yenyewe mnaiharibu na mwishowe inakuja kuchukuliwa hali mshakufa sana, Binafsi nina mitazamo tofauti kwenye haya mambo ya vita na utengenezaji na uuzaji wa silaha.
Kwani vita vya Ukraine na urusi mbona vinaendelea huyo mshindi ni yupi, vita vikikoma ndo mshindi anajulikana Sasa vita vinaendelea alafu unasema flani mshindi
 
Kilichowafanya Wazungu wafe kwa Wingi kwenye Corona kuliko hata Africa ilitokana na wazungu hao hao kuweka imani kwenye mifumo ya afya na kujiaminisha kwamba hakuna kitakachowadhuru kwa sababu wana Hospitali kubwa, za kisasa, matokeo yake corona ikawaacha uchi..
Corona na vita wapi na wapi ebu tuweni serious
 
Ukiona hivyo bhas kuna uwezekano Yale mameli yake yaliyobutuliwa juzi yameharibiwa vibaya. Maana kawaida ya Russia tangu kuzamishwa kwa Moskva, kubutuliwa kwa kambi kule Crimea,Daraja la Crimea wakati wa retaliation hua anavurumisha Makombora si mchezo kama kulipa kisasi.
Hayo makombora yanatoka wapi sasa kama Meli ziliharibiwa?
 
Kwani vita vya Ukraine na urusi mbona vinaendelea huyo mshindi ni yupi, vita vikikoma ndo mshindi anajulikana Sasa vita vinaendelea alafu unasema flani mshindi
Sijasema nani mshindi kwenye hiyo vita bali kiujumla nimesema huwezi kuingia kwenye vita ambayo unajua huwezi kushinda, unapoteza uhai wa raia zako kwa kiasi kikubwa huku ukishuhudia hiyo nchi yenyewe ikiharibika kwamba na kwamba ndio gharama ya kutokuonekana zoba.
 
Winter is Coming!!

Ili kuepusha maafa, Vitaly Klitschko anazitaka nchi za Magharibi kutuma mablanketi na mavazi ya joto haraka.

View attachment 2401436Mwanamke akitembea kwenye kivuko cha theluji baada ya theluji nzito kuanguka katika mji mkuu wa Ukraine, kyiv, Februari 6, 2019.

Raia wengi wa Ukraine wanaweza "kuganda hadi kufa" katika miezi ijayo isipokuwa nchi za Magharibi ziwasaidie kukabiliana na tatizo kubwa linalokuja kutokana na mashambulizi ya anga ya Urusi kwenye miundombinu ya nishati ya taifa hilo, Meya wa Kyiv Vitaly Klitschko aliviambia vyombo vya habari vya Uingereza siku ya Ijumaa.

Akizungumza na The Daily Telegraph, Klitschko, bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu, alikiri kwamba Ukraine itakabiliwa na changamoto kubwa. "Tunafanya kila tunaloweza kufanya kuokoa maisha ya watu wetu na kuwalinda," meya aliambia chombo hicho.

Afisa huyo alisema timu yake imeweza kununua idadi ya jenereta za umeme huku ikitayarisha vituo 1,000 vya kutengeneza joto huko Kyiv kwa kutarajia kile alichokiita "hali mbaya zaidi."

Klitschko aliashiria kwamba Ukraine inahitaji haraka sio tu silaha za Magharibi na mifumo ya ulinzi wa anga, lakini pia blanketi, nguo za msimu wa baridi na jenereta.

"Ni wakati muhimu kwa aina hii ya msaada," alisisitiza.

Ukrainians ng'ambo waliambiwa wasirudi nyumbani msimu huu wa baridi

Akitoa mfano wa "hatari ya suala la kibinadamu," pia aliwataka Waukraine ambao wamekimbia nchi kukaa mbali msimu huu wa baridi kama wanaweza. "Lakini lengo letu kuu ni kuwarudisha watu wetu, thamani kubwa ya Ukraine ni raia wetu na watu wetu," aliongeza.

Maoni ya meya yanalingana na matamshi ya awali yaliyotolewa na Naibu Waziri Mkuu wa Ukraine Irina Vereshchuk. Wiki hii, alitoa wito kwa Waukraine walioondoka baada ya kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya Urusi kutorejea nyumbani kabla ya majira ya kuchipua, kutokana na mgomo wa Moscow kwenye miundombinu ya nishati.

Wakati huo huo Yuri Vitrenko, mkuu wa kampuni kubwa ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Naftogaz, amewaonya raia wenzake kwamba Ukraine inakabiliwa na majira ya baridi kali zaidi kuwahi kutokea, huku akidai kuwa mashambulizi ya anga ya Urusi yameharibu "karibu 40% ya mitambo ya kuzalisha umeme".

Ukraine imekuwa ikikabiliwa na kukatika kwa umeme mara kwa mara tangu Moscow ilipoanzisha mgomo mkubwa diidi ya vituo vyake vya nishati, ikiwa ni pamoja na vituo vya nishati mnamo Oktoba 10, baada ya kuishutumu Kyiv kwa mashambulizi ya kigaidi kwenye miundombinu ya Urusi, ikiwa ni pamoja na daraja la kimkakati la Crimea.

Katika jaribio la kuepusha maafa ya kibinadamu, EU wiki iliyopita ilitangaza mpango mpya wa makazi ya dharura na vifaa vya msimu wa baridi kwa Ukraine, ikiahidi kutoa zaidi ya Euro milioni 175 ($ 174 milioni) katika usaidizi wa kibinadamu kwa sehemu zilizo hatarini zaidi za idadi ya watu nchini Ukraine na. nchi jirani ya Moldova.

Mapema mwezi huu Marekani, mfadhili mkuu wa kimataifa wa Ukraine, iliahidi kuunga mkono Kyiv kwa usaidizi wa dharura wa dola milioni 55. Mfuko huo ni pamoja na uwekezaji katika miundombinu ya kutengeneza joto, ununuzi wa jenereta na njia zingine za kuwapa joto Waukrainia.

My Take:
Nmpongeza Klitschko kwa kusema ukweli. Suala hilo ni muhimu na halihitaji propaganda za Zelensky!!
sasa hapo ndio kitu kinaitwa "genocide" kinaweza kuundwa na viongozi wa urusi wakashitakiwa, though kosa linakuja kwa mbali. na ndicho kilichofanywa na Uturuki kuwafukuzia Armenians kwenye barafu na eneo ambalo halina chakula, wakasterve wakafa. urusi haitakiwi kutumia mbinu ya kuwaweka waukrain kwenye natural disaster itakayowafanya wafe.
 
Sijasema nani mshindi kwenye hiyo vita bali kiujumla nimesema huwezi kuingia kwenye vita ambayo unajua huwezi kushinda, unapoteza uhai wa raia zako kwa kiasi kikubwa huku ukishuhudia hiyo nchi yenyewe ikiharibika kwamba na kwamba ndio gharama ya kutokuonekana zoba.
Nani ambaye hawez kushinda
 
Ukrainian media report attacks on the country's energy infrastructure.

Power outages began in Zaporozhye. Local authorities report arrivals to the TPP.

The lights are turned off in some areas of the Cherkasy region.

Energy infrastructure facilities have been damaged in the Dnipropetrovsk region.

The metro stopped in Kharkov. Explosions are heard in the city.

There is no water in the suburbs of Kiev. Mayor Klitschko announced attacks on infrastructure.

Earlier, an air alert was announced on the territory of Ukraine.

Subscribe to
 
Kabisa. Ila Marekani(with exception to few countries) na NATO wao sio wanyang'anyi wa ardhi ni waporaji wa utamaduni, maadili, uchumi, siasa na mtindo wa maisha. Hawatumii mabomu sana, silaha yao kubwa ni haki za binadamu, uhuru na demokrasia huku wakikushawishi na mikopo, misaada, teknolojia n.k.

Wale ni kuwa nao makini zaidi maana wakiivamia nchi yako hawakulazimishi bali wanakushawishi na ukija kushtuka haupo huru tena na mambo yako ya kimaadili, kijamii, uchumi na mtindo wa maisha. Ukiwa mzembe tu unakuwa na nchi ya watazama filamu za ngono, mashoga, wanaojiuza, watukanaji, watoto wenye kiburi kwa wazazi sababu wanajua haki zao n.k
Naomba tukumbushe tena marekani, canada, australia, na wenzao hizo ardhi alizipataje vile
 
Ukiona hivyo bhas kuna uwezekano Yale mameli yake yaliyobutuliwa juzi yameharibiwa vibaya. Maana kawaida ya Russia tangu kuzamishwa kwa Moskva, kubutuliwa kwa kambi kule Crimea,Daraja la Crimea wakati wa retaliation hua anavurumisha Makombora si mchezo kama kulipa kisasi.
Zishazamishwa zote ndo maana kaamua leo kunyesha mvua
 
Nani ambaye hawez kushinda
Point yangu mkuu ni kwamba kiujumla vita nyingi ni ujinga ambao unagharimu maisha ya watu wengi pamoja na uharibifu mkubwa, tizama hiyo vita ya Ukrane achilia mbali watu kufa na miundombinu ya nchi kuharibika tu bali imeleta shida kubwa duniani kisa tu Russia na Ukrane wanagombea mipaka huko.
 
An Oct.31 update on russian losses
FB_IMG_1667202036361.jpg
 
Tahadhari kwenye anga imesikika kote Ukraine na milipuko inaripotiwa katika maeneo mengi Jumatatu asubuhi.

Waandishi wa BBC wanaripoti juu ya milipuko kadhaa huko Kyiv ambayo baadaye ilisikika tena.

Meya wa Kyiv Volodymyr Klychko alitangaza mashumbulizi miwili kwenye miundombinu muhimu huko Kyiv, na umeme ukakatika katika sehemu ya mji mkuu.

Pia hakuna huduma ya maji katika baadhi ya maeneo.

Upande mwingine, mkuu wa eneo Oleg Sinegubov, OVA, pia ametangaza kutokea kwa mlipuko katika eneo jingine la Kharkiv.

‘’Adui amerusha makombora katika wilaya za Kharkiv na Chuguyiv. Hapo awali, kwa makombora ya S-300 yaliyorushwa kutoka Belgorod,’’ aliandika.

Meya wa Kharkiv Igor Terekhov alifafanua kuwa kuna watu wawili waliofika huko Kharkiv.

‘’Warusi wameshambulia miundombinu muhimu katika jiji hilo,’’ alisema.

Kwa hiyo, mamlaka zinaonya kuhusu uwezekano wa kukatika kwa umeme.

‘’Katika Eneo la Kharkiv, njia ya treni ya chini ya ardhi imefungwa kwa muda lakini mabasi yanaendelea na huduma’’, baraza la jiji lilifahamisha.

Warusi pia walishambulia kituo na miundombinu muhimu huko Zaporizhzhia.

Hapo awali, roketi zilirushwa kutoka kwenye ndege.

Kukatika kwa umeme kunaweze kutokea katika jiji, aliripoti Oleksandr Starukh, mkuu wa Zaporizhzhia OVA.

Miundombinu muhimu katika eneo la Cherkasy umeharibiwa, sehemu ya eneo hilo limepunguzwa nguvu, mkuu wa Cherkasy OVA aliripoti.

Jeshi la Urusi pia lilirusha makombora katika eneo la Vinnytsia asubuhi, na huko ndege za ulinzi zilidungua kombora moja, lakini likaanguka kwenye vituo vya raia, Serhiy Borzov, mkuu wa Vinnytsia OVA, aliripoti.

Aliongeza kuwa kulikuwa na uharibifu, lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.
Screenshot_20221031-105406_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom