Mkuu, tatizo hapa ni uelewa mdogo wa mambo pamoja na exposure, hilo ndilo tatizo kubwa nililo liona hapa.
Watu wanazungumza uporaji wa aridhi,wanasahau kabisa jinsi wahindi wekundu walivyo nyanganywa aridhi yao bila huruma na mamillion waka uuwawa in the process, wazungu hawakuishia kupora aridhi na kuwauua red indians, walikwenda mbali zaidi wakauuwa hata staple food ya red indians ambazo zilikiwa ni Buffaroes nao wakawa waulia mbali. Baadhi ya members wala hawajui kwamba kisiwa cha Hawaii kilikuwa a truly independent Island lakini kikaja kuporwa na Wamerikani wakamtoa madarakani kinguvu Malkia aliye kuwa anatawala kisiwa cha Hawaii kihalali kabisa,Guam ,je, kisiwa cha Diego Garcia na Pourteo Rico - hayo hawayasemi au hawayajui kabisa, kazi kumsema sema Putin na Urusi basi.