Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii exposure ya red indian kunyang'nywa ardhi inaonekana unayo. Well, Perfect. Hakuna ubaya katika hilo.

Kuna aina ya tone mtu anapoitumia unaelewa kabisa huyu anajua sana, hutakiwi kumchalange sababu anafahamu yote.

Kwa ufupi tu humu unadiscuss na watu ambao wengi wamezaliwa 1965 na kuendelea mpaka 2005 wapo humu na wanahoji. Hawawezi fahamu sana hayo mambo esp kama hajasoma historia.

Hawajashuhudia zile zama za kunyang'anyana ardhi achilia mbali zama za ukoloni. Ila wamemuona Urusi akichukua ardhi katika zama hizi za utandawazi hivyo kuwa muelewa tu unapojadiliana na watoto. Nenda na sisi taratibu.
tatizo wanakuwa wabishi kama wanajua sana kumbe wanatakiwa kujifunza!
 
View attachment 2403108
Urusi imetumia Tsh trion 1 mpaka 1.4 kwa mashambulizi ya Leo asubuhi huko Ukraine.

Makombora 50 ya Kh-101 yaliyorushwa kwenye miundombinu ya umeme, ukreine imedai kudungua 44.

Pesa hizo ni zaidi ya nusu ya bajeti ya kila mwaka ya Novosibirsk - miji wa tatu Kwa ukubwa huko Urusi
Wacha aendelee kupigishwa danadana.., na anapofanya mashambulizi kama haya anawapa morali wananchi huko Ukraine kupata sababu ya kuendelea kupigania nchi Yao.., lakini pia inafuta Ile taswira kwamba rais zelensiky amekataa kukaa meza ya mazungumzo Ili kufikia amani.. maana huwezi kukaa kwenye meza ya mazungumzo na mtu aliyepania kuharibu nchi yako
Kwa kufanya hivi urusi anafanya ule wito wake wa kila mara wa kutaka kukaa chini na kufikia makubaliano ya amani na rais zelensiky kuwa batili,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
tatizo wanakuwa wabishi kama wanajua sana kumbe wanatakiwa kujifunza!
Mimi niliacha kuchangia humu baada ya kuona tunabishana na vitoto vingi vya tisini havijasoma historia yeyote tangu serikali hii ibadilishe mitaala na kutuletea mitaala ya kusifu wa west na marekani angalau wangekua wamesoma hata kile kitabu Cha kibanga ampiga mkoloni au ndoto ya kimweri wangejifunza jambo
 

The MEP revealed all the facts about the purchase of 4.6 billion doses of vaccine for Europeans with the direct participation of Ursula von der Leyen. She is married to German physician Heiko von der Leyen, who is the director of Orgenesis, an American biotechnology company specializing in cell and gene therapy. Orgenesis is owned by Pfizer, the same company with which Ursula signed a 71 billion euro contract
 
Hata Ukraine ilipojitenga USSR ilikua na mipaka yake inayotambulika kimataifa pamoja na Umoja wa mataifa kama nchi huru,sasa inakuaje linchi lingine likubwa litake kujimegea hiyo ardhi kwa kisingizio cha Historia?! Kwanini wasiende ichukua Alaska maana kwa mujibu wa Historia ilikua sehemu Yao halali.
Ilikuaje wakaipoteza ALASKA !!!??

AU Unadhani RUSSIA alikua mdhaifu kama GERMAN kiasi chakuporwa ALASKA nayeye akakaa tu kimya

Narudia tena ALASKA ilikua sehemu halali ya RUSSIA ila kwamakubaliano yapande mbili ALASKA nisehemu halali ya US

Yaani RUSSIA akairejeshe ALASKA yeye kama nani wakati waliiuza wenyewe

Anaetakiwa kurejesha ardhi yake ni GERMAN kama anahuo ubavu kwa UKRAINE anajulikana kabisa kaponzwa na
NATO na sasa analipia jeuri yake

Angeheshimu MINSK nakua NAM yasingemkuta yote haya
 

Russians lose 620 soldiers, 14 tanks, warplane and helicopter in a day, General Staff reports​


Mon, October 31, 2022, 3:23 PM·1 min read
Invaders suffer greatest losses in Avdiyivka and Lyman areas

Invaders suffer greatest losses in Avdiyivka and Lyman areas
Read also: Russia loses 6,000 units of equipment, suffering from lack of spare parts — NYT
According to the General Staff, as of Oct. 31, the losses of the Russian Federation in Ukraine amounted to:
 

Let's remind you once again that Yevgeny Prigozhin's son serves in the "Wagner Group". His father recently revealed that the young man joined the army at the age of 18, then went to fight in Syria and has been with Wagner ever since. Now the unit he is in is fighting in the direction of Bahmut. "I am a scout, we work on identifying the enemy, we give the coordinates, and then other specialists work. We are not interested in weather conditions, time of year, time of day - we work day and night, "said the businessman's son to the journalist
 
Hivi huu upupu wa kwamba Russia inapigana na nchi 30+ mnautoa wapi?! Russia inapigana na Ukraine Peke yake inayosaidiwa silaha na nchi washirika kama ambavyo Russia inasaidiwa na nchi washirika kama Iran, North Korea,Syria,nk.
IRAN
NORTH
SYRIA

Haya mataifa matatu na RUSSIA ndio yanapambana na NATO mbali wale washirika wengine uchwara

Halaf kumbe SYRIA inauwezo wakusaidia taifa jengine

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kutesa kwa zamu,Leo ni zamu yenu kujimwayamwaya pro Russia..,siku mbili zilizopita,baada ya kipigo walichopokea wapiganaji wa Wagner..., pamoja na Sevastopol huko Crimea.., ilikuwa shangwe kwa pro Ukraine.., ivyo sio mbaya,mbio ni kupokezana,[emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha utoto wanamgambo wenzako wanavunjwa miguu huko we unaleta porojo
IMG_20221031_030522_625~2.jpg
 
Kiev wanazidi kuingizwa gizani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Reports of Power Plant Explosion in Western Ukraine

Footage uploaded to social media purports to show the Dniester Hydroelectric Power Station in the Chernovtsi region of Western Ukraine in plumes of smoke.

Eyewitnesses previously reported explosions at the facility.

Subscribe to RT
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia Repels Two-Pronged Ukrainian Offensive — MoD

Key points from the Russian Defense Ministry’s daily briefing:

[emoji830]Russian forces have repelled Ukrainian attacks on both the northern and southern fronts

[emoji830]A German PZH 2000 self-propelled artillery piece was destroyed in the Kherson region

[emoji830]Russian forces neutralized around 340 enemy combatants in the past 24 hours

Subscribe to RT
IMG_20221031_161915_539.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukraine impigwa Spana za kutosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russian Units Hammer Ukrainian Positions

The Ministry of Defense has published footage showing Russian rockets striking Ukrainian militant positions.

Ukraine’s forces are constantly monitored by drones, the People’s Militia of the DPR reported.

Subscribe to RT
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️‘Grain Deal’ Unlikely Without Russia — Kremlin

Key points from Kremlin spokesman Dmitri Peskov’s daily briefing:

[emoji830]Moscow remains in contact with the UN and Ankara regarding the “grain deal”

[emoji830]The deal is unlikely to remain feasible without Russia’s involvement due to potential risks

[emoji830]Russia will continue to fight for its frozen gold reserves

[emoji830]Moscow always supports those seeking mutually beneficial cooperation

Subscribe to RT
 
all missiles were intercepted
The largest energy holding in Ukraine, DTEK, stated that most of the equipment for restoring the energy system of Ukraine was used up after the missile strikes of the Russian Armed Forces on October 10, and the purchase of a new one requires a lot of money and time. Restoring the entire energy supply system of Ukraine will require hundreds and hundreds of millions of dollars, which Kiev simply does not have. This opinion is also shared by Western economists, who, having made a preliminary calculation, admitted that the missiles of the RF Armed Forces inflicted damage on the enemy hundreds of times greater than their cost.
 
Ilikuaje wakaipoteza ALASKA !!!??

AU Unadhani RUSSIA alikua mdhaifu kama GERMAN kiasi chakuporwa ALASKA nayeye akakaa tu kimya

Narudia tena ALASKA ilikua sehemu halali ya RUSSIA ila kwamakubaliano yapande mbili ALASKA nisehemu halali ya US

Yaani RUSSIA akairejeshe ALASKA yeye kama nani wakati waliiuza wenyewe

Anaetakiwa kurejesha ardhi yake ni GERMAN kama anahuo ubavu kwa UKRAINE anajulikana kabisa kaponzwa na
NATO na sasa analipia jeuri yake

Angeheshimu MINSK nakua NAM yasingemkuta yote haya

Oooh sasa na yeye Russia anataka achukue ardhi ya Ukraine yeye kama Nani?! Ukraine safari hii imekataa kua dhaifu ndio maana inarejesha ardhi yake ambayo inataka kuchukuliwa na bwana mkubwa ambae ana liardhi likubwa kuliko nchi yoyote duniani lakini anapitwa kiuchumi na vinchi vidogo kama South Korea.
 
Back
Top Bottom