Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,106
Msafara mrefu wa vikosi vya Ukraine wakaribia Kherson wakati Putin akijiandaa kushindwa kwenye mji huo🤔
......
......
Kazi nzuri.., lakini wawe makini yasije kutokea Tena haya.., mambo ya misafara Huwa siyaamini sana[emoji848]Msafara mrefu wa vikosi vya Ukraine wakaribia Kherson wakati Putin akijiandaa kushindwa kwenye mji huo[emoji848]
......
KichekeshoWarusi wanakufa wengi sababu Rais wao anaamini katika wingi, hajawapa vifaa zaidi ya Risasi
Mkuu je unaona sababu gani kumtangaza tena na tena yule Trump? Tunajua ndiye mwizi, mbaguzi mbaya, na mwongo.Former US President Trump predicted Biden's resignation. According to him, the United States is unlikely to be able to exist for another two years - until the next presidential election.
He also stressed that America is now in a bad state.
Huyo katoa maoni yake kama tunavyotoa maoni yetu Mimi na wewe..![emoji1258] The conflict in Ukraine has shown that the ability of the United States to deter rivals on the world stage by military force is declining - Wall Street Journal
This opinion was expressed by the head of the Strategic Command of the US Armed Forces, Admiral Charles Richard. He believes that America has little to no ability to contain China. He compared the states to a sinking ship.
[emoji4][emoji4][emoji4]
Huyo katoa maoni yake kama tunavyotoa maoni yetu Mimi na wewe..![emoji1258] The conflict in Ukraine has shown that the ability of the United States to deter rivals on the world stage by military force is declining - Wall Street Journal
This opinion was expressed by the head of the Strategic Command of the US Armed Forces, Admiral Charles Richard. He believes that America has little to no ability to contain China. He compared the states to a sinking ship.
[emoji4][emoji4][emoji4]
Inabidi uijue historia kwanza ndugu yanguKuna Makombora yoyote ya US au NATO yaliyoukuwepo Ukraine hadi inavamiwa?
Unafahamu kuna nchi tatu za NATO zinazopakana na Russia ? Mbona hizo hazijavamiwa??
Mbona Finland imeomba kujiunga NATO na haijavamiwa??
Wewe kilaza ujamaa gani wa Russia unaoungolea??
Unafahamu utajiri binafsi alio nao Putin na Oligarchs wake kama kina Roman Abromovich, Vladimir Lisini, Vladimir Potanin?
Hiyo 98 mbele ya jina lako huenda inawakilisha mwaka uliozaliwa hivyo inawezekana tunajadiliana na mtoto mwenye harufu maziwa.
Tuangalie kama tutaona tofauti na misafara ya Warusi huko Kiev... Maana Warusi walipopanga foleni, Waukraine waliweza kuwapiga kwa mizinga na droni makini sana .Kazi nzuri.., lakini wawe makini yasije kutokea Tena haya.., mambo ya misafara Huwa siyaamini sana[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Warusi hawaogopi kuwatoa muhanga maelfu ya askari wao ili kufikia malengo yao (ndio tabia ya wajamaa na wa comunisti)...Warusi wanakufa wengi sababu Rais wao anaamini katika wingi, hajawapa vifaa zaidi ya Risasi
KichekeshoUkraine 360 daily
Kuyatwaa ni jambo moja na kuweza kuyalinda usipokonywe ni jambo jingine....Kherson kwa Sasa hapakaliki tena...Kwa hiyo Donbass na majimbo yale mawili yapo chini ya Ukraine, siyo?
Add up from daily smo reportsKichekesho
Wangekufa hivyo wasingesonga mbele na pia russia ungewakuta kiyvAdd up from daily smo reports
Inabidi uijue historia kwanza ndugu yangu
Embu rudi nyuma kwanza
Wakati USSR inavunjika miaka ya 80's
Ukraine ilikua sehemu ya USSR
"After the dissolution of the Soviet Union, Ukraine held about one third of the Soviet nuclear arsenal, the third largest in the world at the time, as well as significant means of its design and production.[2]"
USSR Ilivovunjika Ukraine ilikua ina sehemu kubwa sana ya silaha za nyuklia na mitambo yake pamoja na uwezo wa kuyatengeneza.
Na ndo maana hata sa hivi unasikia kuna vinu vya nyuklia huko Ukraine vinapiganiwa. Mara Chernobyl mara Zaporizia mara huku.
Jiulize hao Finland na wenzake wana hizo miundombinu ya nyuklia.
Unadhani mrusi hajui kuhusu hao wengine?
NATO wakikaa hapo Ukraine wana uwezo wa kutumia hio miundombinu kumpiga mrusi kwa haraka zaidi na ndo maana mrusi hataki NAto kuweka kambia hapo.
Ni somo rahisi lisilohitaji ata tuition
Ila kwa sababu unakaza kichwa na hutaki kufatilia historia basi unapata shida kungamua mambo
Kuyatwaa ni jambo moja na kuweza kuyalinda usipokonywe ni jambo jingine....Kherson kwa Sasa hapakaliki tena...
Bukyanagandi T14 Armata mohamedidrisa789