Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikwazo na kuishiwa silaha kwa Russia ,hiz karata zimeanza kufanya kaz sasa hivi Russia ananunua silaha Iran na North korea.
Vikwazo vimeanza kumtafuna putin hata juz ilisemekana alitaka aondolewe vikwazo ndipo aachie chakula wakamgomea,pato la nchi limepungua ,wanafidia bajet kwa azina ya kulinda uchumi.Azina hiyo ikifika redline inabid baba aombe msaada
Mtu asiye mwelewa kama wewe ndiye anayeweza kuamini upuuzi wako kama uliomo kwenye comment yako hii...Ni Nani ambaye hatafunwi na makali ya Vita hivi.....umesikia kinachoendelea huko Uingereza na nchi nyingine zote za ulaya kiuchumi....umesikia kinachoendelea huko Marekani kuhusu recession?! Yaani eti Russia kununua silaha ndiyo kuishiwa silaha?! Je Uingereza hanunui silaha?! Je Marekani hanunui silaha?! Je Ukraine hanunui au kupewa silaha?! Wewe unadhani Russia Kuna watu wa hovyo kwa mipango Kama huko Afrika?! Unadhani Russia ataenda kibwege katika Vita hivi?! Kwa Russia hii Ni Vita ya kizalendo....atapgana Vita kimkakati na siyo suala la kuishiwa silaha hapo...Russia in military thinkers and strategists ....siyo Kama huko sijui wapi nchi imejaa maji ya mito na maziwa lakini jiji Kama Dar halina maji licha ya kuwepo nto Rufiji ambao haukauki, ziwa Victoria, ziwa nyasa na mvua kibao lakini watu hawana maji...gari la waziri au DED shilingi milioni 300 au milioni 400 lakini kisima Cha maji hakizidi hata sh. Milioni tano...lakini Wananchi hawana Maji....Russia Kuna thinkers na patriots na wachambuzi wa issues....siyo kama nyie mnaleta hoja za kitoto na fikra mgando kwa kuwatukuza mashetani wakoloni wa West wanao-exploit nchi hizi za Third world...it is no wonder nchi hizi haziwezi kuendelea milele...
 
Report: Armed Forces of Ukraine have killed more than 500 Russian prisoners recruited by Wagner private military contractors​

Ukrainska Pravda
Fri, November 4, 2022, 10:07 PM·3 min read
In this article:
  • Yevgeny Prigozhin
    Russian restaurateur and businessman

f102dc5e82a6a9109a6d8eff443d227e

As of early November, more than 500 Russian prisoners have died in the war in Ukraine.
Source: The Insider based on data of the Ukrainian Non-Governmental Organization Center for Analytical Studies and Countering Hybrid Threats and own calculations
Details: The publication notes that the Ukrainian Center for the Analytical Studies and Countering Hybrid Threats discovered and verified more than 200 letters signed by Andrey Troshev, one of the heads of the Wagner Group, with condolences to the families of mercenaries recruited by Wagner in Russian colonies.
Cheap propaganda
 
Ukweli Ni kwamba UN ni just tawi la US.
Na UN imeisaidia Sana US kuweza ku establish hiki wanachokiita Rule Based Order .

Kinachotokea sasa kinapelekea UN kuwa useless (ndio huko ku establish mihimili mengine), kitu ambacho US hataki kabisa kukisikia.
Mkuu SI UKWELI kwamba UN ni "just tawi la US". Kinyume chake UM ni njia ya pekee kwenda mbele na changamoto ni kuiimarisha.
Si Marekani iliyotaka kuanzisha "rule based order" - samahani unajua unachoongelea?
Hoja la kujenga mahusiano ya kimataifa kwenye msingi wa sheria na kanuni liko kwenye mwanzo wa UM na pia mtangulizi wake.
Marekani wanajaribu kutumia lugha hii inapowafaa, sawa na wengine. Ingawa mara nyingi kwa unafiki.

Hushangai kwamba Marekani inakataa kujiweka chini ya mahakama ya kimataifa ya jinai? ambayo ni hatua mbele zaidi kujenga utaratibu wa kimataifa unaofuata sheria na mapatano??
 
Hapo UN kuna ujinga unaendelea, aliyekuwa rais wa venezuela marehemu hugo chaves kipindi alipokua akihutubia hapo hasa mwaka 2008 kuna mengi alikua anaongea kuhusu dunia yetu na huo umoja wa mataifa uliowekwa mfukoni na marekani ili kusimamia maslahi yake. So sad CIA kill him.
Mkuu tafadhali tuachane na propaganda ya bure hapa!
Menginevyo tafadhali utueleze Bwana Chavez aliambukizwa kwa njia gani tena na aina gani ya virusi vya kansa? (bila shaka unajua kuna aina tofauti...)
 
🇺🇦🇷🇺 The Russian Army attackedn the Donbas and strikes almost the entire front line — the main thing from the summary of the General Staff of the AFU:

AFU still admit push by Russian Army in 3 directions(On the video Wagner PMC fighters fighting for Opytne, a southern suburb of Bakhmut)

▪️ Russian troops attacked in the area of the localities of Zybino, Belogorovka, Andreevka, Bakhmutskoye, Berestovoye, Mayorsk, Makeyevka, Maryinka, Ozaryanovka, Opytne, Pavlovka, Yakovlevka and Yampolovka and Shcherbaki.

▪️The Armed Forces of the Russian Federation are concentrating their efforts on reaching the administrative borders of the Donetsk region and retaining the occupied territory.

▪️The Russian Army fires at the APU along the entire front line, carries out engineering equipment of positions in certain directions and conducts aerial reconnaissance.

▪️The Russian Army carried out 4 missile and 19 air strikes, and also carried out 25 attacks from MLRS, including on critical infrastructure facilities.
 
MoD Russia:
⚡ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (6 November 2022)

Part 1 (read Part 2)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

💥 In Kupyansk direction, 1 battalion tactical group of the Armed Forces of Ukraine (AFU), supported by a group of nationalists, attempted to attack Russian forces' positions at a narrow front stretch towards Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic).

◽ The enemy units have been stopped by strikes launched by Army Aviation, heavy flamethrower systems, artillery, and intensive action of Russian forces. These units are under fire attacks.

◽ Moreover, an enemy company tactical group attempted to attack Russian positions near Kotlyarovka (Kharkov region).

◽ Firepower's operation has resulted in the frustration of the attack launched by the AFU units.

Up to 200 Ukrainian personnel, 8 tanks, 9 armoured fighting vehicles, and 8 pickups have been eliminated in the abovementioned direction.

💥 In Krasny Liman direction, 2 enemy battalion tactical groups made an unsuccessful attempt to launch an attack towards Ploshchanka, Artyomovka, Stelmakhovka (Lugansk People's Republic), and Yampolovka (Donetsk People's Republic).

◽ Attacks launched by Russian artillery and Army Aviation have resulted in the elimination of up to 250 Ukrainian personnel and nationalists, 2 tanks, 4 armoured fighting vehicles, 1 Grad multiple-launch rocket system (MLRS), 1 self-propelled artillery system, and 12 motor vehicles.

◽ In addition, a high-precision attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the elimination of up to 100 militants from nationalist groups, and mercenaries, including about 40 mercenaries from the USA, United Kingdom, and Poland, as well as 10 armoured fighting vehicles.

💥 In South Donetsk direction, Russian artillery units and assault groups have neutralised AFU units near Pavlovka and Novomikhaylovka (Donetsk People's Republic).

◽ Up to 70 Ukrainian personnel, 1 tank, 1 infantry fighting vehicle, 4 pickups, and 2 U.S.-manufactured M-777 howitzers have been eliminated.

💥 In Nikolayev–Krivoy Rog direction, up to 1 enemy mechanised infantry company attacked Russian forces' positions towards Sablukovka and Pyatikhatki (Kherson region).

◽ Firepower's operation, and successful action of Russian units have resulted in driving the enemy back to initial positions.

◽ Over 50 Ukrainian personnel, 8 armoured fighting vehicles, and 10 motor vehicles have been eliminated.

◽ Moreover, 2 AFU self-propelled artillery systems have been destroyed by loitering ordnance near Novopetrovka (Kherson region).

💥 Operational-Tactical and Army Aviation, Missile Troops and Artillery have neutralised 1 command post of 72nd Mechanised Infantry Brigade of the AFU near Prechistovka (Donetsk People's Republic), as well as 67 artillery units at their firing positions, manpower and hardware in 184 areas.

◽ 1 ordnance depot of 65th Mechanised Brigade of the AFU has been destroyed near Zaporozhye.

◽ Moreover, an attack launched at the ordnance depot of the AFU near Krasnoarmeysk (Donetsk People's Republic) has resulted in the destruction of 120 rockets launched by U.S.-manufactured HIMARS MLRS, 250 rockets launched by Smerch MLRS, and 2 transport-loading vehicles.

◽ Fighter Aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 1 Ukrainian unmanned aerial vehicle (UAV) over Jarylgach Island (Kherson region).

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en

⚡ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (6 November 2022)

Part 2 (read Part 1)

💥 Air defence facilities have shot down 16 UAVs near Plodovoye, Vishnevoye, Lvovo, Pershotravnevoye, Ishchenka, Bruskinskoye, Novaya Kakhvoka (Kherson region), Snigiryovka (Nikolayev region), Nikolskoye, Volnovakha, Lyubovka and Novoandreyevka (Donetsk People's Republic).

◽ 8 rockets, including 6 launched by U.S.-manufactured HIMARS MLRS, have been intercepted near Antonovka (Kherson region), and Donetsk, 2 rockets launched by Olkha MLRS near Antonovka (Kherson region), as well as 1 U.S.-manufactured HARM anti-radiation missile near Novaya Kakhovka (Kherson region).

◽ Moreover, 1 Ukrainian Tochka-U ballistic missile has been shot down near Kuzemovka (Lugansk People's Republic).

📊 In total, 331 airplanes and 169 helicopters, 2,452 unmanned aerial vehicles, 386 air defence missile systems, 6,398 tanks and other armoured fighting vehicles, 883 fighting vehicles equipped with MLRS, 3,560 field artillery cannons and mortars, as well as 7,086 units of special military hardware have been destroyed during the special military operation.

***

⚠️ Kiev regime continues its provocations aimed at creating a possible technological disaster at the Zaporozhye Nuclear Power Plant.

◽ Over the past 24 hours, AFU artillery units have launched 15 large-calibre projectiles at Energodar, and the territory adjacent to the nuclear power plant.

◽ The shelling was conducted from AFU-controlled areas of Vysshetarasovka and Kapulovka (Dnepropetrovsk region).

💥 Russian artillery's counterattack has resulted in the destruction of 1 Ukrainian Msta-B howitzer, and 2 AFU vehicles.

◽ The radiation environment at the Zaporozhye Nuclear Power Plant remains normal.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Mkuu tafadhali tuachane na propaganda ya bure hapa!
Menginevyo tafadhali utueleze Bwana Chavez aliambukizwa kwa njia gani tena na aina gani ya virusi vya kansa? (bila shaka unajua kuna aina tofauti...)
Unajitahid ku- balance story.., pongezi kwako [emoji1666][emoji1666]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, naona habari hii kwamba Marekani na Uholanzi wanaandaa vifaru 90 (!) aina ya T72 vinavyoboreshwa kwa ajili ya Ukraine. Vikifika vinaweza kuleta mabadiliko, maana Urusi hadi sasa ilileta T-90 chache tu; halafu inasemekana maboresho yatafanya T-72 hizo bora (kuliko T-90?). T14 Armata iliyotangazwa zamani haipatikani; inaonekana Urusi ina pengo katika tekinolojia ya kuona mbali na kuelekeza grenedi (optics) ambako ilitegemea mfumo kutoka Ufaransa ambao haupatikani tena kutokana na vikwazo...

US to pay to refurbish Soviet-era T-72 tanks for Ukraine: 'Most technically advanced tanks on the battlefield'
Alia Shoaib Nov 5, 2022, 1:33 PM

The US and the Netherlands will pay for the Czech Republic to refurbish 90 T-72 tanks for Ukraine.
A Pentagon spokesperson said they will be "the most technically advanced tanks on the battlefield."

The US and the Netherlands are paying for the Czech Republic to technically upgrade 90 T-72 tanks for Ukraine, the deputy press secretary for the Pentagon said Friday.
The Pentagon is paying for the refurbishment of 45 Soviet-era T-72 tanks, and the Netherlands is matching the commitment for the cost of a further 45.

Sabrina Singh, the deputy press secretary for the Pentagon, said in a press briefing on Friday that the first tanks will begin arriving in Ukraine by the end of the year.
She said the refurbishment would add new optics, communications, and armor, and the tanks will become "the most technically advanced tanks on the battlefield."

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Twitter on Friday that Ukraine was "sincerely grateful" for the tanks, which he said were "significant and much-needed support."
While other NATO countries have previously sent older T-72s to Ukraine, this is the first time the US is paying for the Czech Republic to upgrade the tanks, Singh said.
Ukraine has been lobbying for newer tanks, such as the American-made Abrams or the German Leopard, but neither country has pledged to send any.

Singh said that supplying tanks like the Abrams would be costly and require training for the Ukrainians, unlike the T-72s, with which they are already familiar.
The Czech Republic's defense industry will carry out the work to upgrade the tanks, she said.
 
MoD Russia:
[emoji298] Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (6 November 2022)

Part 1 (read Part 2)

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

[emoji95] In Kupyansk direction, 1 battalion tactical group of the Armed Forces of Ukraine (AFU), supported by a group of nationalists, attempted to attack Russian forces' positions at a narrow front stretch towards Novosyolovskoye (Lugansk People's Republic).

[emoji829] The enemy units have been stopped by strikes launched by Army Aviation, heavy flamethrower systems, artillery, and intensive action of Russian forces. These units are under fire attacks.

[emoji829] Moreover, an enemy company tactical group attempted to attack Russian positions near Kotlyarovka (Kharkov region).

[emoji829] Firepower's operation has resulted in the frustration of the attack launched by the AFU units.

Up to 200 Ukrainian personnel, 8 tanks, 9 armoured fighting vehicles, and 8 pickups have been eliminated in the abovementioned direction.

[emoji95] In Krasny Liman direction, 2 enemy battalion tactical groups made an unsuccessful attempt to launch an attack towards Ploshchanka, Artyomovka, Stelmakhovka (Lugansk People's Republic), and Yampolovka (Donetsk People's Republic).

[emoji829] Attacks launched by Russian artillery and Army Aviation have resulted in the elimination of up to 250 Ukrainian personnel and nationalists, 2 tanks, 4 armoured fighting vehicles, 1 Grad multiple-launch rocket system (MLRS), 1 self-propelled artillery system, and 12 motor vehicles.

[emoji829] In addition, a high-precision attack launched by Russian Aerospace Forces has resulted in the elimination of up to 100 militants from nationalist groups, and mercenaries, including about 40 mercenaries from the USA, United Kingdom, and Poland, as well as 10 armoured fighting vehicles.

[emoji95] In South Donetsk direction, Russian artillery units and assault groups have neutralised AFU units near Pavlovka and Novomikhaylovka (Donetsk People's Republic).

[emoji829] Up to 70 Ukrainian personnel, 1 tank, 1 infantry fighting vehicle, 4 pickups, and 2 U.S.-manufactured M-777 howitzers have been eliminated.

[emoji95] In Nikolayev–Krivoy Rog direction, up to 1 enemy mechanised infantry company attacked Russian forces' positions towards Sablukovka and Pyatikhatki (Kherson region).

[emoji829] Firepower's operation, and successful action of Russian units have resulted in driving the enemy back to initial positions.

[emoji829] Over 50 Ukrainian personnel, 8 armoured fighting vehicles, and 10 motor vehicles have been eliminated.

[emoji829] Moreover, 2 AFU self-propelled artillery systems have been destroyed by loitering ordnance near Novopetrovka (Kherson region).

[emoji95] Operational-Tactical and Army Aviation, Missile Troops and Artillery have neutralised 1 command post of 72nd Mechanised Infantry Brigade of the AFU near Prechistovka (Donetsk People's Republic), as well as 67 artillery units at their firing positions, manpower and hardware in 184 areas.

[emoji829] 1 ordnance depot of 65th Mechanised Brigade of the AFU has been destroyed near Zaporozhye.

[emoji829] Moreover, an attack launched at the ordnance depot of the AFU near Krasnoarmeysk (Donetsk People's Republic) has resulted in the destruction of 120 rockets launched by U.S.-manufactured HIMARS MLRS, 250 rockets launched by Smerch MLRS, and 2 transport-loading vehicles.

[emoji829] Fighter Aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 1 Ukrainian unmanned aerial vehicle (UAV) over Jarylgach Island (Kherson region).

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en

[emoji298] Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (6 November 2022)

Part 2 (read Part 1)

[emoji95] Air defence facilities have shot down 16 UAVs near Plodovoye, Vishnevoye, Lvovo, Pershotravnevoye, Ishchenka, Bruskinskoye, Novaya Kakhvoka (Kherson region), Snigiryovka (Nikolayev region), Nikolskoye, Volnovakha, Lyubovka and Novoandreyevka (Donetsk People's Republic).

[emoji829] 8 rockets, including 6 launched by U.S.-manufactured HIMARS MLRS, have been intercepted near Antonovka (Kherson region), and Donetsk, 2 rockets launched by Olkha MLRS near Antonovka (Kherson region), as well as 1 U.S.-manufactured HARM anti-radiation missile near Novaya Kakhovka (Kherson region).

[emoji829] Moreover, 1 Ukrainian Tochka-U ballistic missile has been shot down near Kuzemovka (Lugansk People's Republic).

[emoji408] In total, 331 airplanes and 169 helicopters, 2,452 unmanned aerial vehicles, 386 air defence missile systems, 6,398 tanks and other armoured fighting vehicles, 883 fighting vehicles equipped with MLRS, 3,560 field artillery cannons and mortars, as well as 7,086 units of special military hardware have been destroyed during the special military operation.

***

[emoji3544] Kiev regime continues its provocations aimed at creating a possible technological disaster at the Zaporozhye Nuclear Power Plant.

[emoji829] Over the past 24 hours, AFU artillery units have launched 15 large-calibre projectiles at Energodar, and the territory adjacent to the nuclear power plant.

[emoji829] The shelling was conducted from AFU-controlled areas of Vysshetarasovka and Kapulovka (Dnepropetrovsk region).

[emoji95] Russian artillery's counterattack has resulted in the destruction of 1 Ukrainian Msta-B howitzer, and 2 AFU vehicles.

[emoji829] The radiation environment at the Zaporozhye Nuclear Power Plant remains normal.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Ukisikia ELIMINATED MAANA YAKE KILLED , YOU CAN ADD UP
Ukrane wanakufa systematically Kati ya 200 mpaka 500 Siku zikipigwa fronti. Kumbuka sio KILA siku KILA front itapiganwa. Ila Zelensky boys are being eliminated
 
Urusi wakisema Ukraine wanakufa 200 mpk 500 Kwa siku mnataka tukubali Ila Ukraine ikisema Warusi wanakufa 500 Kwa Siku mnasema propaganda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Warusi karibu 500 wamefyekwa

[emoji298]️ A battalion of Russians, who were recently mobilized in the Voronezh region (Russia), was destroyed near Makiivka in the Luhansk region.

Only 41 Russian soldiers survived, and about 500 died.

The information was confirmed by the wives of the Russian military. They complain that their men were sent to the battle without training.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua

Zele aliwahi zungumzia VIFO vya ASKARI wake
 
Wakuu, naona habari hii kwamba Marekani na Uholanzi wanaandaa vifaru 90 (!) aina ya T72 vinavyoboreshwa kwa ajili ya Ukraine. Vikifika vinaweza kuleta mabadiliko, maana Urusi hadi sasa ilileta T-90 chache tu; halafu inasemekana maboresho yatafanya T-72 hizo bora (kuliko T-90?). T14 Armata iliyotangazwa zamani haipatikani; inaonekana Urusi ina pengo katika tekinolojia ya kuona mbali na kuelekeza grenedi (optics) ambako ilitegemea mfumo kutoka Ufaransa ambao haupatikani tena kutokana na vikwazo...

US to pay to refurbish Soviet-era T-72 tanks for Ukraine: 'Most technically advanced tanks on the battlefield'
Alia Shoaib Nov 5, 2022, 1:33 PM

The US and the Netherlands will pay for the Czech Republic to refurbish 90 T-72 tanks for Ukraine.
A Pentagon spokesperson said they will be "the most technically advanced tanks on the battlefield."

The US and the Netherlands are paying for the Czech Republic to technically upgrade 90 T-72 tanks for Ukraine, the deputy press secretary for the Pentagon said Friday.
The Pentagon is paying for the refurbishment of 45 Soviet-era T-72 tanks, and the Netherlands is matching the commitment for the cost of a further 45.

Sabrina Singh, the deputy press secretary for the Pentagon, said in a press briefing on Friday that the first tanks will begin arriving in Ukraine by the end of the year.
She said the refurbishment would add new optics, communications, and armor, and the tanks will become "the most technically advanced tanks on the battlefield."

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Twitter on Friday that Ukraine was "sincerely grateful" for the tanks, which he said were "significant and much-needed support."
While other NATO countries have previously sent older T-72s to Ukraine, this is the first time the US is paying for the Czech Republic to upgrade the tanks, Singh said.
Ukraine has been lobbying for newer tanks, such as the American-made Abrams or the German Leopard, but neither country has pledged to send any.

Singh said that supplying tanks like the Abrams would be costly and require training for the Ukrainians, unlike the T-72s, with which they are already familiar.
The Czech Republic's defense industry will carry out the work to upgrade the tanks, she said.
Vifaru 90 vitaleta mabadiliko gani kwenye battlefield?

Angalia idadi ya vifaru vilivyoteketea linganisha na vifaru wanavyotaka kuletewa.

Kumbuka kabla SMO haijaanza Ukraine alikua na tanks zaidi ya 2000 na armoured vehicles zaidi ya 2000, hapo bado tanks na vehicles nyingine alizoletewa misaada, Poland alishaanza kupeleka T-72 tanks toka April.

Sasa kutoka kuwa na tanks zaidi ya 2000 zishindwe kubadilisha upepo wa vita, tanks 90 ndio zitabadilisha?

IMG_20221106_165610_993.jpg
IMG_20221106_170330_054.jpg
 
Mkuu ama ni propaganda tupu na hapa ombi langu tuachane na upuuzi huu. Au kama anafikiri kuna ukweli, basi ataweza kutuambia ni virusi gani iliyotambuliwa. Tusijadili juujuu.
Kwani mie nimezungumzia virusi au nimesema aliuawa wew uliyeingiza mambo ya virusi ndio ufunguke afu kuwa na lugha nzuri unaponiquote nakusema nimeandika upuuzi, na hii inanipa picha nijue wew ni mtu wa aina gani! Hivyo jitahidi kutokunikulupukia mie.
 
Back
Top Bottom