Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haswa ndiyo lengo lilivyokuwa. Ingeweza kubaki ni Ukraine lakini Ukraine ya Urussi au tuseme ni jimbo mojawapo katika majimbo yanayounda Taifa moja la Urussi.
Putin bhana, akili mbofu kabisa.
Hivi kule ku bhangi na kama ipo putin atakua anavuta ya kutosha nyingine watakua wanamchemshia kwenye supu na nyingine anaogea ndio maana anawehuku huku akionekana smart
 
Leta maoni yako mbadala - mnapo kosa hoja za maana mnaishia kutukana watu kwamba wana akili za matope mara oh unazungumza pumba mambo ya kitoto toto tu - mtu mwenye elimu nzuri na uelewa wa kutosha hawezi ku-stoop so low na kuanza kuwatukana members wenzake out of the blue, tabia hizo zinadhilisha kitu kimoja nacho ni kwamba kumbe you're still mentally immature-ndicho ninacho kiona mimi!!

Kama kwenye ufafanuzi wangu kuna kitu ambacho hukukielewa vizuri ungeniuliza ili ni clarify zaidi, mfano: nilizungumzia suala la Scotland - wewe kwa akili zako ulifikiri ninacho kisema ni kama ndoto za mchana au, si ajabu huna hata habari kwamba watu wa Scotland wanazungumza lugha yao tofauti ambayo si kiingereza wana tamaduni zao tofauti kabisa na tamaduni za England, wanataka kujitenga na England wawe na Serikari yao na Bunge lao, visima vya mafuta na gesi vya North Sea wanataka viwe mali yao na madai mengine chungu mzima, je wewe hayo unayajua au unapinga tu hutaki members wengine walete maoni mbadala ili members ambao wako interested wajifunze kitu.
akil zako matope , toa mifano relevant , urusi anaiforce Ukraine kwa mtutu ila spain au Uk hawaziforce Catalunya na Scotland kwa mtutu bali diplomacy tu , najiuliza kama Urusi angetawala mpk sasa angekuwa anatawala bado maana wao bila kudundwa kisawasawa hawakubalian na mamb nje ya tamaa zao
 
Someni yote hii post kutoka kwa Medvedev [emoji4]

View attachment 2406437
WHY OUR CAUSE IS RIGHT

Answers to simple questions
on National Unity Day

[emoji3512][emoji298]What are we fighting for?

Russia is a huge and rich country. We do not need foreign territories, we have everything in abundance. But there is our land, which is sacred to us, on which our ancestors lived and on which our people live today. And which we will not give to anyone. We protect our people. We are fighting for all our people, for our land, for our thousand-year history.

[emoji3512][emoji298]Who is fighting against us?

We are fighting against those who hate us, who ban our language, our values and even our faith, who spread hatred towards the history of our Fatherland.

Against us today is part of a dying world. This is a bunch of crazy Nazi drug addicts, people drugged and intimidated by them, and a large pack of barking dogs from the western kennel. With them is a motley pack of grunting gilts and narrow-minded inhabitants from the collapsed Western empire with saliva flowing down their chins from degeneration.

They have no faith and ideals, except for obscene habits invented by them and standards of doublethink implanted by them, denying the morality bestowed on normal people. Therefore, having risen against them, we have acquired sacred power.

[emoji3512][emoji298]Where are our old friends?

We were abandoned by some frightened partners - and do not care about them. So, they were not our friends, but just random fellow travelers, sticky and hangers-on.
Cowardly traitors and greedy defectors fell to distant lands - let their bones rot in a foreign land. They are not among us, but we have become stronger and cleaner.

[emoji3512][emoji298]Why were we silent for a long time?

We were weak and devastated by timelessness. And now we have shaken off the sticky dream and the dreary haze of the last decades, into which the death of the former Fatherland plunged us. Other countries awaited our awakening, raped by the masters of darkness, slave owners and oppressors who dream of their monstrous colonial past and yearn to maintain their power over the world.

Many countries do not believe their nonsense for a long time, but are still afraid of them. Soon they will wake up completely. And when the rotten world order collapses, it will bury all its arrogant priests, bloodthirsty adepts, mocking servants and dumb mankurts under a multi-ton pile of its debris.

[emoji3512][emoji298]What is our weapon?

Weapons are different. We have the opportunity to send all enemies to hellfire, but this is not our task. We listen to the words of the Creator in our hearts and obey them. These words give us a sacred purpose.

The goal is to stop the supreme ruler of hell, no matter what name he uses - Satan, Lucifer or Iblis.

For his goal is death. Our goal is life.
His weapon is an intricate lie.
And our weapons are Truth.
That is why our cause is right.
That is why victory will be ours!

[emoji2772]Happy Holidays!
Ila huyu jamaa
 
Kwa nini hamtaki kufatilia mambo kwa karibu - hasa hasa maoni ya watu weledi kwenye masuala ya teknolojia ya termonuclear na lightening fast delivery system zake-juzi juzi hapa mwana sayansi mahili na industialist Mr.Elon Musk kawaonya Wamerika wenzake (Rais Biden na jeshi la Merikani) pamoja na watawala wa bara la Ulaya kwamba: Linapo kuja suala la silaha za thermonuclear Urusi ina uwezo mkubwa wa kuichaza Amerika yenyewe pamoja mataifa yote ya Ulaya kwa mpigo - hayo si maneno yangu bali ya mwana sayansi mbobezi na mwelewa mambo kwa kina, si mnafiki, haogopi kulahumiwa na Taifa lake kwamba ni msaliti kwa kusema ukweli, hajipendekezi kwa watawala au majenerali wa jeshi kwa kuwa ana uwezo mkubwa kifedha ndiye anaye ongoza kwa utajiri Duniani - mtu kama huyo anapo ionya Dunia kwamba Merikani na wenzake wasiichezee Urusi, maoni/onyo la Elon Musk linapaswa kuchukuliwa seriously ie anajua sana alisemalo si mtu mbumbumbu kivile.

Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watanzania wenzangu niliwahi kuona wanakuja na hoja za ajabu eti: kwani Elon Musk ana nini cha maana na uelewa gani kumzidi waziri wa ulinzi wa Merikani au Rais Biden kitu wanacho sahau ni kwamba Biden na waziri wa ulizi ni wana siasa tu hawana akili na busara za kumfikia au zidi za Rais Kennedy, na hatujawahi kusikia serikali ya Merikani wala Biden hata Eamerikani wenye akili timamu wakipinga maoni/ushauri ulio tolewa na Elon Musk.

Tunayo yasikia sisi ni waswahili wanao mpuuzia Elon Musk wanasema mtu wa maana ni Rais Biden ambaye anatembea na brief case yenye key code za kufyatua Trident na Minuteman nuclear ICBM kwenda kuifuta kabisa Urusi kutoka kwenye uso wa Dunia,wanayasema hayo as if Elon Musk does not know about capabilities of those very very old ICBMs (1960/70s) - wanajisemea tu, hawana hata habari kwamba Russia ina uwezo wa ku-intercept na ku-destroy completely ICBMs zote ambazo RCS signiture zake ni rahisi kutambuliwa na Russian integrated air defense systems S-550, si ICBMs tu hata hypersonic missiles nazo zinakuwa intercepted - kitu ambacho hata jeshi la Merikani wamekiri kwamba uwezo wa kujikinga dhidi ya hypersonic missiles za Urusi uwezo huo hawana kabisa - sasa sisi watu baki kwa nini hatutaki kukubali ukweli huo -masaa yote ni ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Uncle SAM wakati hata siku moja US uhawajawahi kupigana vita na taifa ambalo lina uwezo mkubwa kijeshi na wakawashinda, tunacho kijua sisi ni wao kuvamia vamia na kupiga mabom military weak nations ie Banana Republics and not a real McCOY!!
Kesho Elon akiiponda Urusi mtasema ni kibaraka wa West , nyiny watu ni vichaa promax
 
Hàkuna kitu hapo huyo waziri.Zile KAMIKAZE zinazozurura huko mpaka wazipige kwa fimbo hawana air defense?

Mie binafsi naamini Israel ashapeleka silaha zake huko ukizingatia nchi za Ulaya yenye idadi kubwa ya waisrael ni Uikrane kama sijakosea.
[emoji28] tutaja kumbushana bdae ila vita vinaelekea mwisho
 
Jibu jepesi
Toka miaka ya 1940's NATO anamnyemelea URUSI

Ukiangalia hii ramani utaona jinsi NATO anavokuja kimya kimya

ukraine anataka kuingia nato

Na hivyo URUSI nzima itakua imezungukwa na NATO

Hilo halitaki ndo maana Ukraine alivotaka kufunga ndoa na NATO basi urusi akamuwahi inaeza ikawa sawa au sio sawa ila wote wana makosa


Huyu ukraine angeacha kujifunga ns upande mmoja na awe neutral haya yote yasingetokea

Ila sasa hivi nchi yake ishakuwa 3rd world country watu wamekufa miundombinu imekufa yupo yupo tu hao NATO na Marekani kwao hakuna maafa zaidi ya hizo energy crisis

Zelensky hakuchaguliwa bali ni puppet president aliyewekwa na marekani na washirika wake mwaka 2014 baada ya Yanukovych raisi halali kupindiliwa na waasi na kisha western powers wakawezesha uchaguzi ndipo mchekeshaji Zelenski alipopachikwa na ndo maana hana huruma na nchi anafata maagizo ya nato huku nchi ikifa

(Habari ya mapinduzi ya ukraine hukuisikia maana CNN na BBC hawakuipigia kelele kuficha maovu yao ilikua kimya kimya...fatilia utafahamu)


View attachment 2407872

Wewe ungekuwa urusi ungefanyaje kuhusu hio ramani hapo juu?
Wewe hizo habari za mapinduzi ya "kimyakimya" ulizipata chanzo kipi cha taarifa? Leta hapa tuzione!

Inaonekana najadili na mtu ambaye hata hana taarifa sahihi kuhusu hiyo Ukraine anayoisema. Unafahamu urais wa Zelenskyy ulianza lini au mwaka gani?

Yaani, hujui hata aliyemtangulia Zelenskyy kwenye urais wa Ukraine alikuwa nani!

Unaniambia mimi nifuatilie taarifa wakati wewe mwenyewe umemkariri Yanukovych huku hujui kwamba kuna mtu anaitwa Petro Poroshenko ambaye alikuwa rais wa Ukraine kuanzia 2014 hadi 2019?

Narudia:
Sisi wengine tulioko nje ya vita ukiwemo wewe, unaweza kuwa na uchungu na Ukraine kuliko wananchi wenyewe wa Ukraine waliomchagua huyo Zelenskyy kuwa rais wao?
 
Jibu jepesi
Toka miaka ya 1940's NATO anamnyemelea URUSI

Ukiangalia hii ramani utaona jinsi NATO anavokuja kimya kimya

ukraine anataka kuingia nato

Na hivyo URUSI nzima itakua imezungukwa na NATO

Hilo halitaki ndo maana Ukraine alivotaka kufunga ndoa na NATO basi urusi akamuwahi inaeza ikawa sawa au sio sawa ila wote wana makosa


Huyu ukraine angeacha kujifunga ns upande mmoja na awe neutral haya yote yasingetokea

Ila sasa hivi nchi yake ishakuwa 3rd world country watu wamekufa miundombinu imekufa yupo yupo tu hao NATO na Marekani kwao hakuna maafa zaidi ya hizo energy crisis

Zelensky hakuchaguliwa bali ni puppet president aliyewekwa na marekani na washirika wake mwaka 2014 baada ya Yanukovych raisi halali kupindiliwa na waasi na kisha western powers wakawezesha uchaguzi ndipo mchekeshaji Zelenski alipopachikwa na ndo maana hana huruma na nchi anafata maagizo ya nato huku nchi ikifa

(Habari ya mapinduzi ya ukraine hukuisikia maana CNN na BBC hawakuipigia kelele kuficha maovu yao ilikua kimya kimya...fatilia utafahamu)


View attachment 2407872

Wewe ungekuwa urusi ungefanyaje kuhusu hio ramani hapo juu?
Vichaa ni weng sn , Urusi haez jipenyeza kwenda west bila mtutu ila NATO wanaeza jipenyeza kweny east bila mtu , na mtu anasema Urusi anaonewa , Majibu mengine ni mepesi Urusi aache kuwaona majiran zake km makolon yake mbali na hapo hatutaki kelele awaache wajiunge NATO kutafuta ulinz wao , Huez mpora mtu jimbo hlf abakie neutral kisa anapenda kuendelea kuvamiwa ? Mwenzie China kajifunza tyr
 
Hàkuna kitu hapo huyo waziri.Zile KAMIKAZE zinazozurura huko mpaka wazipige kwa fimbo hawana air defense?

Mie binafsi naamini Israel ashapeleka silaha zake huko ukizingatia nchi za Ulaya yenye idadi kubwa ya waisrael ni Uikrane kama sijakosea.
Kamikaze ipigwe kwa fimbo ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi kule ku bhangi na kama ipo putin atakua anavuta ya kutosha nyingine watakua wanamchemshia kwenye supu na nyingine anaogea ndio maana anawehuku huku akionekana smart
Wapambe nuksi walishauri.
 
Kama unadhani Republican wakishinda midterms kwamba misaada ya Ukraine itapungua bhas unajiongopea,Sera ya mambo ya Nje ya Marekani haijawahi badilika kamwe.

Hao Republican ndo walikua wanamsema Biden kua ni muoga anaogopa kuipa Ukraine long range missiles.

Halafu mlishasema DW ni chombo cha propaganda sasa hayo mahojiano ya kazi gani[emoji1745]
Achana na mid term
Hapo nlikua nataka kufikisha ujumbe huo wa hao DW

Nautabakia kua ukweli mpaka kiama kwamba nipropaganda

Ila hio sio habari huo ni mdahalo
 
Vichaa ni weng sn , Urusi haez jipenyeza kwenda west bila mtutu ila NATO wanaeza jipenyeza kweny east bila mtu , na mtu anasema Urusi anaonewa , Majibu mengine ni mepesi Urusi aache kuwaona majiran zake km makolon yake mbali na hapo hatutaki kelele awaache wajiunge NATO kutafuta ulinz wao , Huez mpora mtu jimbo hlf abakie neutral kisa anapenda kuendelea kuvamiwa ? Mwenzie China kajifunza tyr
Yeah.Mrussi anaonesha wazi kwamba anaogopa kuwa karibu na NATO/USA. Cjui ana shida gani. Sasa akafikia extent ya kuawalazimisha wenzake majirani kwa nguvu (watake-wasitake)wawe kama yeye. Hapo ndio watu wamesema ni Ubeberu. Yan Mrussi angelikaa kwake ila kwa hofu zake angehakikisha anajilinda kwa hali na mali kama Nungunungu na sio kuwalazimisha wenzake eti ni lipi la kufanya. Kam wana-opt kujiunga NATO yeye awaache ila aimarishe ulinzi wake kama anadhani NATO/USA wanamtaka au anawasiwasi na Usalama wake. Lakini hili la kuvamia ndilo limewahalalishia NATO/USA kujisogeza waziwazi kwake na kweli watamnyamazisha sio muda mrefu. Hiyo nguvu waliyokuja nayo hawatampa nafasi atumie nuklia zake hata kama anazo. Ni kama una gobore halafu adui amekufikia na amekusonga shingo/amekutia kabali. Unadhani utalitumiaje hilo gobore lako ukizingatia urefu/saizi yake? Hapo ndipo Mrussi alipofikia na nuklia zake.
 
Mandonga kazi anayo[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️According to preliminary information, the Armed Forces of Ukraine defeated the enemy formation of BC in the temporarily occupied village of Heroyskoe in the Kherson region.

Locals report that the detonation of ammunition is audible. We are waiting for official information.

 
Mbona akili ya Putin mnaichukulia kawaida sana! Hizi ni akili za kina Muhoozi wa Uganda
Mkuu, sina uhakika kuhusu akili ya bwana Muhozi.
Ila kutegemea watu kutoka gerezani vitani???
Sawa ukiwatumia kama lishe ya risasi (sijui tunayo canon fodder kwa Kiswahili?) utapata faida si wengi vile watakaopinga wakifa wengi.
Kwa upande mwingine, labda hao watu ni wabaya lakini si wajinga. Siyo wanaweza kutumia nafasi za kufurahia (kubaki, kupora, kuiba) lakini pia nafasi ya kutoroka? (mfano wakiona uwezekano wa kuishi ni mkubwa wakijisalimisha kuliko kuwa mashujaa???)
 
SmartSelect_20221106-062113_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom