Veritas Minor
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 636
- 1,003
Mbona wao Urusi akipewa msaada wanahaha na kupiga kelele CNN na BBCTena hataki Ukraine apewe misaada, russia wapuuzi sana.
Mbona wao Urusi akipewa msaada wanahaha na kupiga kelele CNN na BBCTena hataki Ukraine apewe misaada, russia wapuuzi sana.
Vingi vimeanza kwenye ndoto ndugu. Chunguza utaonaUnaota wewe
Kuwajua au kuwasikia haihusiani na mijadala hii bali wengi tunasoma tu na mengine tukiwa karibu na wanapouwawa wapinzani wakeUnawajua au unawasikia! Hao matajiri tu wenyewe wenye asili ya mrusi hawakubaliani na putin na wengine putin katumia ubabe kuwanyamazisha na wengine kuwa taka watoe support kwa nguvu kama nanihii alivyo kua anafanya sembuse hao wayahudi wageni!!!? Huyo wanaruka nae mapema tu kwanza ana hatarisha maslahi yao pasipo sababu za msingi pia anahatarisha dunia nzima kwa sababu za kijinga yeye ana ardhi kiasi gani mpaka atishie nyuklia dunia nzima kwa kipande cha ardhi ambacho hata mimi fukara nikipambana nakinunua
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️
Sweden and Finland have NOT fulfilled the conditions of the agreements reached for their entry into NATO - Turkish Foreign Mevlut Cavusoglu in response to Jens Stoltenberg's statement.
Kama Zelenski angekuwa muungwana haya yote yasingetokea.
Jambazi anakuja ndani mwako anakuambia lete pesa zote ulizo nazo. Wewe unajua peaa iko kabatini badala ya kuitoa ubaki salama unajifanya kidume mbegu kuwa mbabe.
Kwa hakika utapigwa kama ngoma na ngumi ya ndoige. Unaeza ukawa kilema au kufariki.
Ndio jambazi anaeza kukamatwa na polisi akahukumiwa maisha jela au kifungo au wananchi wakamkamata na kumpa kipigo cha mbwa mwizi.
Au jambazi anaeza kutoroka asikamatwe na akaenda kula raha dubai na makahaba huku wewe ukiugulia.
Russia ni jambazi na aliyevamiwa ni Ukraine. .
Ukraine angetumia busara haya yote yasingetokea.
Sasa hivi alipo ni kipigo tu kila siku nchi inaharibika na matatizo kede kede huku mrusi akila bata Moscow.
Nb: Mpaka Nzi atakapotua kwenye korodani ndipo utajua si kila tatizo linaamuliwa kwa ubabe na manguvu.
Ukraine kalitambua hili huku kashachelewa. Anapigwa kama ngoma!!!
Ww jamaa umekuwa ukiandika mambo mengi yasiyo kuwa na msingi na yaliyo jaa ujuaji mwingi wa kijinga.Wakuu, naona wengi wetu wameshangaa kwa nini jeshi la Urusi lilionyesha udhaifu mkubwa vile jinsi tulivyoona katika miezi iliyopita. Maana kabla ya Februari hata wabingwa wa Marekani walidhani ni jeshi lenye nguvu angalau ya pili duniani. (Samahani sitaki kuudhi hisia za wenzetu wanaoamini bado nguvu ya jeshi hilo).
Katika uwanja nyingine nilikuta hoja ambalo -kama lina ukweli ndani yake- labda linatusaidia kuelewa sehemu ya yale tuliyoona:
Is Russia's military still corrupt?
Let’s put it this way. Russia has been mobilizing their youths for war in Ukraine lately.
![]()
What they receive upon mobilization is … uneven. They get a uniform and a rifle pretty much everywhere, but from that point on things become complicated. They have to supply their own boots, body armor, sleeping bags, medical equipment, even food. However these don’t really capture the depth of Russian military corruption, the most extreme - but documented - case is the recruits having to buy their own bullets.
(tuelewane - hasemi askari wote wanapaswa kununua risasi zao! Lakini iko mifano na ushuhuda wake)
You’re sending untrained men off to war and you ask them to buy their own ammunition? This is not because the army doesn’t have ammunition for its AKs, it’s not like that’s for sale for civilians anyway and there isn’t a different source than Russian military production. This happens because a commanding officer needed a bit more dough and decided to shake the conscripts and their families down for money. No matter how you feel about fighting in Ukraine, you don’t want to go there with an empty rifle, so you’ll do what you can to procure bullets, enriching the CO in the process. I’d say yes, that’s pretty corrupt.
Huu mkeka wa hawa Majasusi Upo Mezani. Ndo maana jana Kremlin walisema wana ushahidi kuwa UK wapo deep in Ukraine.
Hii imevujishwa makusudi kuwapa alert MI5 wachange plan au kuwithdraw au litawakuta zito kupitia Air Strikes mahali walipo wakiamini pameshajulikana.
Wamechanganishwa hapo!
Ufichuzi huo umekuja baada ya Urusi kuionya London kuhusu kiwango chake cha kuhusika nchini humo
Wanajeshi wa kijasusi wa Uingereza wanaripotiwa kufanya kazi kuunda na kutoa mafunzo kwa kikosi cha siri cha kigaidi nchini Ukraine kilichopewa jukumu la kushambulia maeneo ya Urusi huko Crimea kwa niaba ya serikali ya Kyiv.
Wakifanya kazi kupitia kampuni ya kibinafsi ya huduma za kijasusi ya Uingereza iitwayo Prevail Partners, wahudumu hao walitia saini makubaliano na tawi la Odessa la Idara ya Usalama ya Ukraine (SSU) kujenga kile kinachojulikana kama jeshi la kigaidi la "Partisan", The Grayzone iliripoti Alhamisi, ikinukuu uvujaji. nyaraka zinazoelezea mipango hiyo. Kazi hiyo inafanywa kwa uratibu wa karibu na SSU na ikiwezekana inafadhiliwa angalau kwa kiasi na oligarch wa Kiukreni Andrey Sadovoy, ambaye ni meya wa Lviv na anaongoza kampuni ya vyombo vya habari ya TRK Lux nchini humo.
"Mipango yao ililitaka jeshi la siri kufanya hujuma na operesheni za upelelezi zinazolenga Crimea ... hasa aina ya mashambulizi yaliyoshuhudiwa katika wiki zilizopita," The Grayzone iliandika.
Moscow imeishutumu London kwa kuhusika katika "[mafunzo], maandalizi na [] utekelezaji wa mipango dhidi ya miundombinu ya Urusi na meli za Urusi katika [Bahari] Nyeusi [karibu na Crimea]."
Uingereza pia ilidaiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi la Oktoba 8 ambalo lililenga daraja muhimu kimkakati la Crimea. Maafisa wa ujasusi wa Uingereza waliagiza utafiti mwezi Aprili kuchunguza njia za kulipua daraja hilo, gazeti la The Grayzone liliripoti mwezi uliopita.
Mwezi uliopita pia, Kremlin ilishutumu London kwa kupanga shambulio la kigaidi ambalo liliharibu bomba la Nord Stream 2. Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilijibu kwamba Moscow ilikuwa "ikizusha madai ya uwongo kwa kiwango kikubwa."
Prevail, kampuni ya kijasusi ya kibinafsi, ilianzishwa na maveterani wa vikosi maalum, akiwemo Brigedia Justin Hedges, Chris Donnelly (afisa huyo huyo wa kijasusi wa Jeshi la Uingereza ambaye aliomba uchunguzi wa Daraja la Crimea) alikuwa miongoni mwa watu muhimu ambao walishawishi kwa siri mpango wa kampuni ya Prevail kuanzisha kitengo cha ‘Partisan’ nchini Ukraine, The Grayzone ilisema.
Vikwazo vya awali vilijumuisha vyanzo vya ufadhili wa mpango huo na kusita kwa serikali ya Uingereza kuwaruhusu wakandarasi binafsi kutoa huduma za mafunzo, "labda kwa kuhofia wangekamatwa katika kitendo hicho au hata kufunguliwa mashtaka kwa kujihusisha na shughuli hiyo ya uchochezi," chombo hicho kiliripoti. Baadhi ya watendaji waliibua wasiwasi kwamba Prevail iliweka gharama ya kila mwaka kwa $600,000 kwa kila mpiganaji wa ‘Partisan’ .
Maeneo ya mafunzo yalipangwa nchini Poland na Ugiriki. Hedges alisema kuwa kama ufadhili unahitajika kuwekwa mbali kutoka kwa vyanzo vya serikali, "michango" inaweza kukusanywa kupitia Rhizome Insights Ltd, NGO iliyo mbele kwa ajili ya Prevail. Aliongeza kuwa kampuni hiyo pia ilikuwa katika mazungumzo na ofisi ya Sadovoy kuhusu msaada wa ufadhili.
![]()
Video: Majasusi wa Urusi (FSB) wazuia shambulio la kigaidi la Ukraine nchini Urusi, wamtia nguvuni gaidi na vilipuzi vyake
Majasusi hatari ya kirusi (FSB) yamemnasa gaidi wa Ukraine aliyekuwa akijiandaa kuweka vilipuzi hatari kwenye warehouse ya kampuni ya usafirishaji kwenye jiji la Bryansk, Urusi. Gaidi huyo wa kiume mwenye miaka 50+ aliiingia Urusi akitokea Ukraine kupitia Estonia. Baada ya kuingia Urusi...www.jamiiforums.com
![]()
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine Oct 11, 2022 02:27 UTC [https://media] Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi sawa na lile lililotekelezwa Jumatatu. Onyo hilo limetolewa na Rais wa Vladimir Putin wa Russia ambaye...www.jamiiforums.com
![]()
Majasusi wa Urusi (KGB) wamtambua gaidi No. 2 wa ki-Ukraine aliyehusika kumuua Darya Dugina huko Urusi
Marekani yasema kuwa majasusi wa Urusi (FSB) wamemtambua gaidi No. 2 aliyekuwa kwenye team ya mauaji ya binti mwandishi wa habari wa Urusi Darya Dugina huko Urusi. Gaidi huyo ametajwa kuwa ni Bogdan Tsyganenko, m-Ukraine wa kiume mwenye umri wa miaka 42 ambaye aliingia Urusi kupitia Estonia...www.jamiiforums.com
Ndo nini?Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe!!!
Ndo ulichowaza hapo?Yaani Russia iishambulie UK?
Ongeza pia Libya.., marekani pia alishinda na kufanikiwa kuuangusha utawala wa dikiteta gadafi,[emoji1258][emoji1258][emoji123][emoji123]Ww jamaa umekuwa ukiandika mambo mengi yasiyo kuwa na msingi na yaliyo jaa ujuaji mwingi wa kijinga.
Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiri na ndio maana hakuna kiongozi wa kijeshi kutoka nchi za magharibi ambaye umemsikia akilibeza jeshi la Urusi kwa sababu wanaujua ugumu wa vita na wao wamesha shindwa vita nyingi tu.
Wanajeshi wa Ukraine hawatumii mikuki kupambana bali wana tumia silaha nzito sawa na zinazo tumiwa wanajeshi wa Urusi ina maana mlinganyo kwenye vita hii ni mkubwa tena Ukraine imeizidi Urusi kwa idadi kubwa ya wapiganaji kwenye uwanja wa Vita.
Vita unavyo iongelea mdomoni ni tofauti na tunapo kuja kwenye uhalisia.
Tangu kumalizika kwa vita ya Pili ya dunia vita ya ardhini pekee ambayo Marekani amefanikiwa kushinda ni vita ya Iraq iliyo kuwa imedhohofika kiuchumi na kijeshi na penyewe alikuwa na rundo la washirika.
Vita nyingine alienda kakumbana na vipigo vya aibu na kukimbia tena dhidi ya mataifa dhaifu kabisa.
Yaani kuna paragraph umeongea Pumba eti Scotland ijitenge na Uingereza kwa mtutu wa Bunduki..
Pro Russia Mnaa kili Matope sana
Hoja hii inapingana na swali kwann Nato wasimvamie na kumtoa kwa nguvu pale Ukrain kama walivuotaka kufanya Syria ,Libya ,au jiulize kwann marekan anatumia washirika ktk kuikabili urusi, hapo ndipo utajua uwezo halisi wa kijeshi wa urusi mkuu,Wakuu, naona wengi wetu wameshangaa kwa nini jeshi la Urusi lilionyesha udhaifu mkubwa vile jinsi tulivyoona katika miezi iliyopita. Maana kabla ya Februari hata wabingwa wa Marekani walidhani ni jeshi lenye nguvu angalau ya pili duniani. (Samahani sitaki kuudhi hisia za wenzetu wanaoamini bado nguvu ya jeshi hilo).
Katika uwanja nyingine nilikuta hoja ambalo -kama lina ukweli ndani yake- labda linatusaidia kuelewa sehemu ya yale tuliyoona:
Is Russia's military still corrupt?
Let’s put it this way. Russia has been mobilizing their youths for war in Ukraine lately.
![]()
What they receive upon mobilization is … uneven. They get a uniform and a rifle pretty much everywhere, but from that point on things become complicated. They have to supply their own boots, body armor, sleeping bags, medical equipment, even food. However these don’t really capture the depth of Russian military corruption, the most extreme - but documented - case is the recruits having to buy their own bullets.
(tuelewane - hasemi askari wote wanapaswa kununua risasi zao! Lakini iko mifano na ushuhuda wake)
You’re sending untrained men off to war and you ask them to buy their own ammunition? This is not because the army doesn’t have ammunition for its AKs, it’s not like that’s for sale for civilians anyway and there isn’t a different source than Russian military production. This happens because a commanding officer needed a bit more dough and decided to shake the conscripts and their families down for money. No matter how you feel about fighting in Ukraine, you don’t want to go there with an empty rifle, so you’ll do what you can to procure bullets, enriching the CO in the process. I’d say yes, that’s pretty corrupt.
Ripoti murua kabisa[emoji298] Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (5 November 2022)
The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.
[emoji95] In Kupyansk direction, enemy units forming up to 1 battalion tactical group attempted to attack Russian positions towards Kuzemovka (Lugansk People's Republic).
[emoji829] Russian artillery and Army Aviation have neutralised the units of the Armed Forces of Ukraine (AFU).
[emoji829] Over 140 Ukrainian personnel, 3 tanks, 2 infantry fighting vehicles, 3 armoured vehicles, and 5 multipurpose motor vehicles have been eliminated.
[emoji95] In Krasny Liman direction, the attacks of 3 company tactical groups of the AFU towards Stelmakhovka, Ploshchanka and Kremennaya (Lugansk People's Republic) have been frustrated.
[emoji829] Intensive action by Russian troops, supported by artillery, has resulted in the neutralisation of the enemy.
[emoji829] Over 60 Ukrainian personnel, 1 tank, 2 armoured fighting vehicles, 3 pickups, and 1 motor vehicle have been eliminated.
[emoji95] In South Donetsk direction, artillery units and assault groups have neutralised AFU units near Novomikhaylovka, Pavlovka and Vremevka (Donetsk People's Republic).
[emoji829] Over 120 Ukrainian personnel, 2 armoured personnel carriers, 2 armoured personnel carriers, 2 armoured vehicles, 1 pickup, and 2 motor vehicles have been eliminated.
[emoji95] In Nikolayev–Krivoy Rog direction, 2 enemy mechanised infantry companies, supported by tanks, attacked Russian forces' positions towards Sablukovka and Sukhanovo (Kherson region).
[emoji829] All the attacks have been repelled.
[emoji95] Artillery, Assault and Army Aviation have neutralised the AFU units.
[emoji829] Over 80 Ukrainian personnel, 3 armoured fighting vehicles, and 4 motor vehicles have been eliminated.
[emoji95] Operational-Tactical and Army Aviation, Missile Troops and Artillery have neutralised 5 command posts, including one of 15th National Guard Regiment near Krasny Liman (Donetsk People's Republic), those of units from 60th Infantry Brigade of the AFU near Vysokopolye, Novaya Kamenka, Chervonoye (Kherson region), as well as 87 artillery units at their firing positions, manpower and military hardware in 179 areas.
[emoji829] 1 command post of the Security Service of Ukraine has been neutralised near Kupyansk (Kharkov region).
[emoji829] 1 armament and military hardware storage base of the AFU has been neutralised near Volnyansk (Zaporozhye region).
[emoji829] 6 ordnance depots have been destroyed near Ivanovka (Kharkov region), Slavyansk, Druzhkovka (Donetsk People's Republic), Novaya Kamenka and Petropavlovka (Kherson region).
[emoji829] 1 self-propelled fire unit of Buk-M1 air defence missile system has been destroyed near Belogorka.
[emoji829] 1 Ukrainian radar of S-300 air defence missile system has been destroyed near Novonikolayevka (Kherson region).
[emoji95] Fighter Aviation of Russian Aerospace Forces has shot down 1 MiG-29 airplane of Ukrainian Air Force near Velikoaleksandrovka (Nikolayev region).
[emoji95] Air defence facilities have shot down 1 Mi-8 helicopter of Ukrainian Air Force near Ugledar (Donetsk People's Republic).
[emoji829] Moreover, 9 unmanned aerial vehicles have been shot down near Kalininskoye, Sadok, Tomarino (Kherson region), Stepnoye, Nikolayevka and Zelyony Gai (Donetsk People's Republic).
[emoji829] In addition, 27 projectiles launched by U.S.-manufactured HIMARS multiple-launch rocket system have been intercepted near Leninskoye, Mospino (Donetsk People's Republic), and Novaya Kakhovka (Kherson region).
[emoji408] In total, 331 airplanes and 169 helicopters, 2,435 unmanned aerial vehicles, 386 air defence missile systems, 6,335 tanks and other armoured fighting vehicles, 882 combat vehicles equipped with MLRS, 3,554 field artillery cannons and mortars, as well as 7,048 units of special military hardware have been destroyed during the special military operation.
#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
Dimentia Biden kwa moja mbili tatuBiden: General Motors going "all electric by 3035"
Mkuu sina uhakika wewe unajuaje kivipi kile ambacho mimi najua au sijui?? Angalau najua kuna mambo ambayo siyajui.Ww jamaa umekuwa ukiandika mambo mengi yasiyo kuwa na msingi na yaliyo jaa ujuaji mwingi wa kijinga.
Vita sio kitu rahisi kama ww unavyo fikiri na ndio maana hakuna kiongozi wa kijeshi kutoka nchi za magharibi ambaye umemsikia akilibeza jeshi la Urusi kwa sababu wanaujua ugumu wa vita na wao wamesha shindwa vita nyingi tu.
Wanajeshi wa Ukraine hawatumii mikuki kupambana bali wana tumia silaha nzito sawa na zinazo tumiwa wanajeshi wa Urusi ina maana mlinganyo kwenye vita hii ni mkubwa tena Ukraine imeizidi Urusi kwa idadi kubwa ya wapiganaji kwenye uwanja wa Vita.
Vita unavyo iongelea mdomoni ni tofauti na tunapo kuja kwenye uhalisia.
Tangu kumalizika kwa vita ya Pili ya dunia vita ya ardhini pekee ambayo Marekani amefanikiwa kushinda ni vita ya Iraq iliyo kuwa imedhohofika kiuchumi na kijeshi na penyewe alikuwa na rundo la washirika.
Vita nyingine alienda kakumbana na vipigo vya aibu na kukimbia tena dhidi ya mataifa dhaifu kabisa.
Mkuu, asante kwa jibu lako. Hadi sasa ninaelewa ni silaha za nyuklia pekee na hofu ya matumizi zao zinazozuia mashambulio ya moja kwa moja dhidi ya Urusi; pia siasa ya Marekani na Waingereza ambao wanakataa kuwapa Ukraine habari kuhusu shabaha ndani ya Urusi, ilhali wanawapa picha na habari zote kuhusu miendo ya Warusi ndani ya Ukraine...Hoja hii inapingana na swali kwann Nato wasimvamie na kumtoa kwa nguvu pale Ukrain kama walivuotaka kufanya Syria ,Libya ,au jiulize kwann marekan anatumia washirika ktk kuikabili urusi, hapo ndipo utajua uwezo halisi wa kijeshi wa urusi mkuu,
Kuna balaa ila naona putin inabidi wam_eliminate sio kiumbe ambae tuna maslahi nae kama wana wa dunia hii!! Alitaka kudhihirisha ubabe ila mambo yameenda tofauti kabisa ss ana tuhatarisha woteKuwajua au kuwasikia haihusiani na mijadala hii bali wengi tunasoma tu na mengine tukiwa karibu na wanapouwawa wapinzani wake
Unajua Gold Visa waliyopewa wale Russian Oligarchs
Hao matajiri waliingiza hela hapa London billions [emoji383] na kupewa moja kwa moja uraia
Hao jews sio wageni Russia kwani waliingia nchi hizi miaka mingi na leo sio wageni tena bali ni raia kama raia wengine
Tofauti na sisi Tz ambapo mtu unamtaja kwa asili yake hata awe ana generation ta tano
Acha tusubiri baridi la Dec maana kuna watu hapa wameanza kubana mpaka matumizi ya umeme kwa kuwasha tochi FACT