Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Niliwahi kusema kwamba Uingereza inajihusisha sana na suala hili la Ukraine, nikaongezea kwa kusema kwamba niwajuavyo Waingereza wataleta maafisa wao wa kikosi chao cha makomandoo wa SAS kufundisha kikosi maalumu cha Ukraine katika masuala ya kufanya hujuma behind enemy lines ie partsians - Waingereza ni mabingwa sana kwenye nyanja hizo, lakini wakumbuke kwamba na Warusi si mchezo watawafatilia nyenendo zao na kuwashugulikia ipasavyo, juzi hapa makao makuu yao nchini Ukraine ilitiwa kiberiti na high precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye nusurika.

Kama vipi na Warusi nao wafanye mpango wa kuwapatia silaha na mafunzo kwa mara nyingine tena wapigania uhuru wa I.R.A ili wafufue harakati zao za miaka ya 1970/80s, na ikiwezekana wawa instigate raia wa Scotland nao wajitenge na England kwa nguvu i.e kwa mtutu wa bunduki, tuonena hilo Serikali ya White Hall watalichukulia vipi?

Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Kwamba England kujiingiza kwenye maswala ya Ukraine siyo sahihi bali Russia inayo haki ya kuvamia na kuichukuwa kabisa Ukraine si ndiyo?. Hiyo sababu mnayoiona inampa uhalali Russia kuingia Ukraine kwanini iwanyime uhalali wengine kuingilia?. russia aache "kudeka"/ kulalamika anapolalamikia si pakeeee, ni Ukraine na Ukraine si Russia. Russia akiweza kuwahujumu " maadui zake afanye lkn akumbuke kuwa nayehana kinga ya kutokuhujumiwa. Vita kaanzisha mwenyewe arudi Moscow.
"Ataina mani agweiraru?"
 
Kwani Russia hajaomba misaada? Hajawahi kusaidiwa ktk hii vita?
Mkuu hakuna nchi isiyoomba msaada duniani hata usa aliomba allied kumshambulia Iraq ila hili la kupandishiwa na Biden ni tofauti kabisa Rais kumkaripia Rais au wewe umeona ni sawa tu hilo

Au hii Habari ilikupita
 
Huu mkeka wa hawa Majasusi Upo Mezani. Ndo maana jana Kremlin walisema wana ushahidi kuwa UK wapo deep in Ukraine.

Hii imevujishwa makusudi kuwapa alert MI5 wachange plan au kuwithdraw au litawakuta zito kupitia Air Strikes mahali walipo wakiamini pameshajulikana.

Wamechanganishwa hapo!
Balozi wa uingereza nchini Urusi aliitwa wizara ya mambo ya nje ya urusi na kukabidhiwa ushahidi wa jinsi Uingereza ilivyohusika kwenye jaribio la kushambulia kituo kikubwa cha meli za kiviuta cha Urusi kilichoko Crimea!! Hadi leo Uingereza imekaa kimya imeshindwa hata kukanusha kama ilivyokuwa inakanusha kabla ya kukabidhiwa ushahidi!!
 
Tatizo mkuu linakuja hao Nato wana majeshi katika nchi 8 zilizo kwenye mzunguko wa black sea ambayo ni close to Russia

Mwanzo waliweka troops kama 4,500 katika nchi nne na patrol za meli za kivita baharini
Ndio maana Russia akaamua kuikamata Crimea maana bila Black sea hana pa kutokea

Hapo NATO wakaamua kuondoa meli zao za kivita na badala yake kupeleka vikosi vya miguu katika nchi jirani ambao ni wanachama wa NATO

NATO wana nguvu x4 ya Russia lakini mikataba inawafunga kufanya lolote kwenye bahari Nyeusi na nguvu kubwa anayo Mrusi hapo

Kwa sisi tunashabikia Putin atandikwe lakini wao wanaangalia maslahi mapana zaidi

Hawa watu wanategemeana sana ndio maana wanamuwekea vikwazo tu badala ya kumtandika

Acha tunywe chai tu
Kumbe kuna muda unawekaga unazi pembeni na kutema facts, ongera comrade.
 
Dawa ya putin ni MOSSAD tu lazima hawa jamaa wataja ruka nae tu! Uchaguzi kule ushafanyika
Hivi unafahamu kwa nini mpaka leo Israel haijaungana na mataifa ya Israel kutoa silaha kwa Ukraine au kusapoti vikwazo dhidi ya Urusi? Uliza uambiwe!! Zelensyky amneililia sana Israel impe defense system yake lakini ikamtolea nje!! Kwa habari ya Urusi na Israel Urusi ameshika kwenye mpini na Israel kwenye makali katika uwanja wa vita kwenye anga la Syria!!
 
Leta maoni yako mbadala - mnapo kosa hoja za maana mnaishia kutukana watu kwamba wana akili za matope mara oh unazungumza pumba mambo ya kitoto toto tu - mtu mwenye elimu nzuri na uelewa wa kutosha hawezi ku-stoop so low na kuanza kuwatukana members wenzake out of the blue, tabia hizo zinadhilisha kitu kimoja nacho ni kwamba kumbe you're still mentally immature-ndicho ninacho kiona mimi!!

Kama kwenye ufafanuzi wangu kuna kitu ambacho hukukielewa vizuri ungeniuliza ili ni clarify zaidi, mfano: nilizungumzia suala la Scotland - wewe kwa akili zako ulifikiri ninacho kisema ni kama ndoto za mchana au, si ajabu huna hata habari kwamba watu wa Scotland wanazungumza lugha yao tofauti ambayo si kiingereza wana tamaduni zao tofauti kabisa na tamaduni za England, wanataka kujitenga na England wawe na Serikari yao na Bunge lao, visima vya mafuta na gesi vya North Sea wanataka viwe mali yao na madai mengine chungu mzima, je wewe hayo unayajua au unapinga tu hutaki members wengine walete maoni mbadala ili members ambao wako interested wajifunze kitu.
Anatumia Ile kanuni mnapoingia uwanjani,mchezaji msumbufu anapunguzwa nguvu kwa kupigwa visigino chini kwa chini.

Ukilitambua hili lisikusumbue,mbaya zaidi anapinga tu kitoto hana maelezo.

Endelea kutupa elimu.
 
Au ile kanuni ya wakili msomi ya kutoa hoja tata na maswali ya kukukasirisha na usipousoma mchezo huo mapema na kuwa makini, unajikuta unashindwa kuzipanga hoja/point zako.
 
Serikali ya Moscow inatimiza maagizo matakatifu ya Muumba wa ulimwengu.
LGBTQ wao wanatimiza maagizo ya yule aliyekwisha kushindwa tayari... Vita kubwa inapiganwa rohoni sisi huku tunachokiona pale Ukraine ni cheche tu
Huyu naye yupo upande gani?
Hii ni dhambi haina upande aidha magharibi au mashariki🤔
Screenshot_20221105-205143.png
 
Serikali ya Moscow inatimiza maagizo matakatifu ya Muumba wa ulimwengu.
LGBTQ wao wanatimiza maagizo ya yule aliyekwisha kushindwa tayari... Vita kubwa inapiganwa rohoni sisi huku tunachokiona pale Ukraine ni cheche tu
Huyu naye yupo upande gani?
Hii ni dhambi haina upande aidha magharibi au mashariki🤔View attachment 2407807
 
Russia alishindwa kuilinda Soviet isianguke,Leo hii ayaweze ya mbali huko uingereza?
Masihara haya
emoji848.png
emoji57.png

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani kuna empire iliyodumu milele ndugu...walianza wamisri wababiloni maya waotoman waroma wote walikuja wakaondoka na hata hao waUSA na NATO wataondoka tu mda si mrefu
yaan kuna watu ni vichaa , warus watakuja kutafuna ndog iyoo , unaezaj waita watu waliovamiww nchini mwao ni magaidi ?km sio upimb ni nin ?
Kwani Sadam alivovamiwa na USA si waliwaita waIraq ni magaidi mbona hukuja kucoment kama sasa mkuu
 
Tatizo mkuu linakuja hao Nato wana majeshi katika nchi 8 zilizo kwenye mzunguko wa black sea ambayo ni close to Russia

Mwanzo waliweka troops kama 4,500 katika nchi nne na patrol za meli za kivita baharini
Ndio maana Russia akaamua kuikamata Crimea maana bila Black sea hana pa kutokea

Hapo NATO wakaamua kuondoa meli zao za kivita na badala yake kupeleka vikosi vya miguu katika nchi jirani ambao ni wanachama wa NATO

NATO wana nguvu x4 ya Russia lakini mikataba inawafunga kufanya lolote kwenye bahari Nyeusi na nguvu kubwa anayo Mrusi hapo

Kwa sisi tunashabikia Putin atandikwe lakini wao wanaangalia maslahi mapana zaidi

Hawa watu wanategemeana sana ndio maana wanamuwekea vikwazo tu badala ya kumtandika

Acha tunywe chai tu
Aisee na mm nilikua na shangaa kwann wamemfumbia macho mpaka leo ilakwa series ya game inavyo enda huyu jamaa wata mfuta kimya kimya kwa kifupi urusi inahitaji raisi mwingine sio putin ana akili mbovu
 
Ukiwa vitani kuomba msaada au kusaidiwa ni kitu kibaya au ni kigeni? Russia yeye hapewi msaada?
Russia mwenyewe anapokea misaada ya kivita zile kamikaze drones kazitoa wapi!!? Na mara ya kwanza mu'iran alikataa kua ni zake ila baada ya muda alikuja kukubali na kusema "waliingia mkataba na mteja wao wa silaha za kivita na mzigo wamesha deliver na bado kuna stock ambazo mteja wao hazijamfikia na wapo kwenye taratibu za kumfikishia silaha zingine kulingana na mkataba wao ila HAWAHUSIKI NA MATUMIZI YA SILAHA HIZO kua wao ishu yao ni kuuza silaha, zinatumikaje WAO HAIWAHUSU " Unaweza kuona urusi anavyopokea silaha ila anazopokea ukrain yeye ndio anaziona ila sio anazopewa yeye
 
Aisee na mm nilikua na shangaa kwann wamemfumbia macho mpaka leo ilakwa series ya game inavyo enda huyu jamaa wata mfuta kimya kimya kwa kifupi urusi inahitaji raisi mwingine sio putin ana akili mbovu
Ndugu kufanya assasination ya kiongozi wa nchi sio rahisi. Tena kiongozi wa taifa kubwa kama Urusi.

Usidhani hii ni Congo ambapo Wabelgiji na Wamarekani CIA walipoona Patrice Lumumba hawasikilizi wakatoa order apotezwe kwenye ramani wakamuua kikatili wakishirikiana na Mobutu Seseko wakamchoma kwenye acid na kubakiza jino lake moja walilolirudisha majuzi apa!!!

Sio rahisi mkuu. Kwanza unaijua KGB au FIS..asee

Kwa kukadiria asilimia 90 ya viongozi wa Russia wanamsapoti Putin na huwezi kumkaribia hivi hivi tu.

Tuishi humu

Fahali wawili wanapopigana nyasi ndo zinaumia.

Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini!!!
 
Hivi unafahamu kwa nini mpaka leo Israel haijaungana na mataifa ya Israel kutoa silaha kwa Ukraine au kusapoti vikwazo dhidi ya Urusi? Uliza uambiwe!! Zelensyky amneililia sana Israel impe defense system yake lakini ikamtolea nje!! Kwa habari ya Urusi na Israel Urusi ameshika kwenye mpini na Israel kwenye makali katika uwanja wa vita kwenye anga la Syria!!
Israeli ana play_dead mjanja sana kitachokuja kumtoa putin ni kivuli asijue kama ni m'israel kamtoa
 
Russia mwenyewe anapokea misaada ya kivita zile kamikaze drones kazitoa wapi!!? Na mara ya kwanza mu'iran alikataa kua ni zake ila baada ya muda alikuja kukubali na kusema "waliingia mkataba na mteja wao wa silaha za kivita na mzigo wamesha deliver na bado kuna stock ambazo mteja wao hazijamfikia na wapo kwenye taratibu za kumfikishia silaha zingine kulingana na mkataba wao ila HAWAHUSIKI NA MATUMIZI YA SILAHA HIZO kua wao ishu yao ni kuuza silaha, zinatumikaje WAO HAIWAHUSU " Unaweza kuona urusi anavyopokea silaha ila anazopokea ukrain yeye ndio anaziona ila sio anazopewa yeye
Hamna vita inayopiganwa peke yako.

Mfano rahisi vita ya pili ya dunia
Kulikua na Axis Powers-Germany Italy na Japan

Allied Powers- USA Britain na washirika wengine wa Ulaya

Huezi kupigana peke yako lazima uwe na washirika. Sioni la kushangaa hapa kwa ukraine au urusi kupata msaada sehemu ingine.

Ndo maana USA na miguvu yake alipopeleka uso pale Vietnam peke yake alipigwa ngumi moja ya ndoige akarudi damu zinavuja puani

Toka hapo kila mahali anapoenda kuchafua hewa kama Iraq Afghanistan na Libya anabeba washirika wake NATO maana ana majeraha ya mvietnam
 
Aisee na mm nilikua na shangaa kwann wamemfumbia macho mpaka leo ilakwa series ya game inavyo enda huyu jamaa wata mfuta kimya kimya kwa kifupi urusi inahitaji raisi mwingine sio putin ana akili mbovu
Yap! Russia inahitaji rais mwingine. Akili za Putin hazikumwezesha kujua kwamba ukila na kipofu usimguse mkono. Mrussi Alijitwalia mikoa 4 kiulaini na Zele akajinyamazia tu-kapotezea lakini sasa Mruss akajisahau na kukiuka ule msemo "Ukipewa shubiri Usichukue pima" na akataka kujiongezea mikoa mingine akidhani kwamba jamaa(Zele) ataendelea kukaa kimya au kupotezea kama mwanzo. Dah! Kumbe hapo ndipo alibugi step. Sasa Inakula kwake Mrussi. Hakuna rangi ataacha kuona.
 
Back
Top Bottom