Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Japokuwa kampuni zenye reputation za habri haziwezi tumia sura ya mtu kama kizibio sababu watadaiwa fidia ila kwann hujafikiri kwamba ni imoj imetumika kuziba sura?

Kuna picha nyingi tu zinatumia emoj kuficha sura. Kupima kama habari ni ya uongo unachukua source na kuichunguza utajua kuwa hii ni source uchwara au la.
 
Watu kama Hawa ni WA kupuuza tu. Mimi huwa nachavua comments za kusoma. Huyi hats alipotoa hiyo tweet watu wamesema ni huyo msanii.

Tusimlaumu labda lugha inamsumbua, na machon yake hayaoni. Pia inaweza kuwa hamjui Chuck Norris maana kwako TV haikuwepo miaka hiyo
 
Pro Russia mnatamani kuona Uzi ukiendelea kujazwa na article zenu za kuokoteza kwenye telegram za warusi..,mkiletewa uhalisia mnaanza kurukaruka kama bis..,kubalianeni na Hali[emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mzigo ushafika salama uwanja wa mapambano....vita bado mbichiii

Ukraine has received its first delivery of National Advanced Surface-to-Air Missile Systems (NASAMS) and Apside air defence systems, Defence Minister Oleksii Reznikov said.

“Guarantee – modern air defence, aircraft, tanks, and long-range missiles. Strategy – proactive steps. Russian missiles must be destroyed before launch in the air, on land and at sea,” he said.




 
Huu mgogoro umekua kama kipimo cha Intelligence Quotient (IQ) za watu... Kuna watu viande sijapata ona 🤣.

Na hata kama ingekua basi ni yeye, Chuck kwanza kazeeka mno. Picha iliyowekwa hapo ni enzi za 1980+ huko.

Mbali na hiyo Photoshop ya Chuck Norris, ni Drone yenyewe... Kwamba drone imeshushwa ikadondoka af isiharibike... Then ikabebwa ikawekwa karibu na ukuta kwa ajili ya photo/kujisnap for the public to digest he he he! Dunia hii dooh.

Mahaba yakizidi akili mtu anakua zwazwa sana ajabu hata kujishtukia happana!
 
Mtakuja kusema kwamba hata hii ni Photoshop [emoji848][emoji16][emoji57][emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin baada ya kushindwa kuuangusha utawala wa zelensiky amebaki kubwabwaja..,yaani full mikwara, hajulikani hata anasimamia nini! Amekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa hivi wameanza kumtega kwamba anaombwa mazungumzo.... This time ataingia kwenye meza ya mazungumzo na adabu, cha kwanza aachie maeneo yote cha pili akubali kugharimia uharibifu.

Kyiv’s main precondition for entering negotiations with Russia on ending the war is the return of all captured Ukrainian land, according to a high-ranking security official.
 
Pro Russia mnatamani kuona Uzi ukiendelea kujazwa na article zenu za kuokoteza kwenye telegram za warusi..,mkiletewa uhalisia mnaanza kurukaruka kama bis..,kubalianeni na Hali[emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanapenda news kama hizi[emoji116]

#Ukraine: Two Ukrainian M777[A2] 155mm towed howitzers were destroyed by Russian Lancet loitering munitions near Bohoyavlenka, #Donetsk Oblast.


Ila ingekua ni ya Ukraine wangesema ni video game[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha Ila switchblade za Marekani zilivyokua zinashushwa nzimanzima na kudakwa zikiw hazijaharibika kitu mlikua mnazishangilia zikiletwa humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli mmeshikwa ugoni. Kwani hujui drone inaweza kupigwa electronic jamming adui akakamata mawasiliano akaishusha nzima salama salimini.!!!!!!
Nyie watu mpo Karne ya ngapi?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tupo karne ya Chuck Norris...
 

Hizi mambo sio mpya jmn tujisomee tusiwe mazwazwa

Exclusive: Iran hijacked US drone, says Iranian engineer

In an exclusive interview, an engineer working to unlock the secrets of the captured RQ-170 Sentinel says they exploited a known vulnerability and tricked the US drone into landing in Iran.

Exclusive: Iran hijacked US drone, says Iranian engineer

Nyingine hii hapa imeshushwa ipo salama salimini

#Ukraine: A rarely seen Russian Granat-4 reconnaissance UAV fell out of the sky recently and was recovered by Ukrainian forces. This appears to be the first loss of this type so far in Ukraine.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…