Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

"on Ukraine's terms".
Zelensky ashalainika huyu, mwanzo alisema hatakaa kufanya mazungumzo ya amani na Russia kama Putin ataendelea kubaki madarakani.

Sasa naona kabadili msimamo anataka mazungumzo ila katoa masharti uchwara, Russia hatatekeleza hata moja hapo
20221108_203656.jpg
20221108_203421.jpg
 
Zelensky ashalainika huyu, mwanzo alisema hatakaa kufanya mazungumzo ya amani na Russia kama Puti ataendelea kubaki madarakani.

Sasa naona kabadili msimamo anataka mazungumzo ila katoa masharti uchwara, Russia hatatekeleza hata moja hapo.

Msikie masharti yake hapo
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2410675View attachment 2410676View attachment 2410678

Hata Russia mwanzoni wakati Zelenksy anawabembeleza wakae mezani si walikua hawataki lakini baada ya kuona mambo yanaenda mrama damu zimeanza kuwatoka masikioni tumemskia Putin mwenyewe kwenye hotuba zake akisema Russia ipo tayari kukaa mezani kuzungumza.

Russia is ready for negotiations with Ukraine, but the leaders of the Kiev regime have decided not to continue them, Russian President Vladimir Putin said on Thursday at a plenary session of the Valdai international discussion club, TASS reported.

Putin says he is ready to negotiate with Ukraine
 
Hizo ni lugha za kidiplomasia HAZINA maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na LAWAMA mambo yatapoharibika
 
Hizo ni lugha za kidiplomasia HAZINA maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na LAWAMA mambo yatapoharibika
Hata masharit aliyoyaweka rais zelensiky kuhusu suala la mazungumzo na urusi ni lugha za kidiplomasia hazina maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na lawama mambo yatakapoharibika[emoji57][emoji57][emoji57]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mazungumzo ni ngumu maana kila mtu anasimamia msimamo wake wala hakuna wa kujishusha
 
Hawa jamaa wanawaua Warusi vibaya sana.
Kuna huyo sijui kichwa kimechomoka

Mwingine kapigwa mgongo
Hizo drones ndogo zinasumbua mno. Kwenye radar hazionekani mpaka mbahatishe kuziona angani mtawanyike au ubahatike kuwa na drone gun nayo ibahatike kuzuia mawasiliano. Na hata ukiziona huwezi tumia missile kupiga drone yenye 1/10 ya bei ya missile.

Drones zenyewe Ukrainians wanazizungusha zaidi kwenye trenchs na fortifications maana kama ni eneo wazi zipo kama Bayraktars inayoweza kuona hata 40km away kwa zile camera zake kali za Wacanada
 
[emoji298]️Italy is ready to provide SAMP/T and Aspide air defense systems to Ukraine, — Reuters.

A representative of the coalition said that Rome is ready to provide Ukraine with various air defense systems, including the Franco-Italian SAMP/T medium-range air defense system and the Italian Aspide, as well as Stinger man-portable missiles.

However, it remains unclear how many systems Italy will be able to offer and when such a batch might be delivered, the official said.

[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
 
Anord Schwarzenegger [emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: A Russian 5P85SM TEL of the S-300PM1/PM2 long-range AD system was destroyed on the move, reportedly in the vicinity of Iline, #Zaporizhzhia Oblast, ~60km from the frontline.

Would be very interesting to know how that target so far behind the lines was destroyed.

Hawa superpower uchwara mpaka leo sijui ni S-300 ya ngapi hii inapigwa. Hivi kuna silaha wametumia haijapigwa hadi leo? Kina Su-34 na Su-25 zimepigwa nyingi. Hadi meli zimepigwa.

Kwa upande wao hata HIMARS moja imewashinda. Wanaishia kupiga dummies
 
Ambayo haijapigwa ni Su-57 ambayo wanadai ni stealth lakini wameificha kwenye mahandaki hata kuinusisha kwenye anga la Ukraine hawathubutu maana wanaogopa aibu ya mwaka
 
Back
Top Bottom