T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Su-57 hawajaitumia. Nasema silaha walizotumia vitani maana kama vifaru vyao aina zote vishapigwa, IFV, APC, MRAP, short & medium range air defence systems, hizi S-300 tiyari ila S-400 hazipo uko, vifaa vya electronic countermeasures, artillery, boti kama Ropucha class, meli. Aina nyingi tu za silahaAmbayo haijapigwa ni Su-57 ambayo wanadai ni stealth lakini wameificha kwenye mahandaki hata kuinusisha kwenye anga la Ukraine hawathubutu maana wanaogopa aibu ya mwaka