LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tafadhali naomba ufunguke vizuri. Umeongea vitu vizito sana vya kiroho na hivyo inabidi uviweke wazi ili tuweze kuelewa na hiyo ndiyo itakuwa faida kwako na kwetu pia. Tafadhali naomba utufanunulie vizuri maelezo yako haya, yako kitaalamu mno kiroho!
Hahahahh atufafanulie kiroho
 
ndo hivyo sio kitu kipya kwake, ndio maana alisema iwe akivamia au asipovamia wale jamaa wakitaka kuweka vikwazo wataweka tu kwahio waendelee na 50 zao na yeye 50 zake
Hakunaga mshindi kwenye vita. Eukraine inapoteza, Russia inapoteza. Wale ni ndugu ilitakiwa wasikilizane. Unakosaje ushawishi kwa jirani yako mwenye historia moja na wewe mpaka unamvamia na kuuwa raia wake ambao kihistoria ni warussia wenzako tu?
 
Dah! Nimecheka kama mazuri!

Aisee NATO sio watu wale yani wamemsusa jamaa kabisa
 
NATO ni wapuuzi lakini Ukraine ni mpuuzi zaidi,anaweka ushirika na watu ambao hawako tayari ku guarantee security yake?

Upuuzi huu anafanya Japan,Korea Kusini na wajinga wengine,wasipojifunza kwa hili la UKraine itakula kwao one day.

Staili anayotumia Israel ndio nzuri,unakuwa na ushirika na Marekani lakini pia unakuwa na uwezo wa kujihami mwenyewe.
 
hii Analysis umeitoa wapi?
 
Unadhani zile states zaidi ya 50 kazipata kwa mikataba ya mahakamani
 
Kwa hiyo mkuu military secrets can be obtained anywhere and anyhow?
 
Hahahahh atufafanulie kiroho
Anaonyesha dhahiri kabisa kuwa kuna kitu kikubwa cha kiroho anachokijua lakini kwa bahati mbaya ameamua kuki-withhold. Possibly kwa sababu vya kiroho huwa havina emperical evidence; kwa hiyo ameamua kuki-withhold kukwepa maswali ya wale ambao wanajua sayansi peke yake halafu huku kwingine wako NIL
kissa anyigulile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…