Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Jitoe ufahamu tumara mbili kaka, kamikaze unaisikia tena ?
Mbona ramani inaonesha Ukraine imezidi kurudishwa nyuma hasa kwenye mkoa wa Donesk?Supapawa anaendelea kuhenyeshwa[emoji23][emoji23]
[emoji298]️ ISW: Ukrainian forces likely made marginal gains northwest of Svatove, Luhansk region, and Russian sources claimed that Ukrainian forces intensified offensive operations toward Kreminna.
The Bakhmut-Avdiivka-Vuhledar line is the hottest area of the front.
NI kweli wanarudishwa nyuma BBC hapa wanasemaMbona ramani inaonesha Ukraine imezidi kurudishwa nyuma hasa kwenye mkoa wa Donesk?
Acha waje maana walishafikiria wanasonga mbeleWanakuja pro nato kutoa povu
wataelewa kimyakimyaWaambie wasome hapo mwisho kwamba warusi wanaendelea kusonga mbele.
BBC wameanza kusema kweli Kwa sababu Kwa Hali inavyoendelea wataaibika wakiendelea kusema uongo vipi zile toys zenu ziko wapi au zinamlinda zelisky.source BBC , ila wakipigwa Urusi BBC inakuwa ya mchongo , hii nchi vichaa ni wengi
Si tulikubaliana BBC ni chombo Cha habari Kwa ajili ya propaganda za west [emoji848][emoji848]NI kweli wanarudishwa nyuma BBC hapa wanasemaView attachment 2411372
Russia ni baba wa anga na mawasiliano . Kama si mchango wa mataifa 50+ kwa Ukraine basi ndani ya masaa matatu Russia angetawala anga .Hizo mifumo ya anga Kwa Russia ni toys Tu BBC hapa wanasema kipigo kinaendelea View attachment 2411377
na screenshot thread yako ntakukumbusha in few days to comeBBC wameanza kusema kweli Kwa sababu Kwa Hali inavyoendelea wataaibika wakiendelea kusema uongo vipi zile toys zenu ziko wapi au zinamlinda zelisky.
Kuna Saa wanarudiwa na Akili na kusema ukweli.Si tulikubaliana BBC ni chombo Cha habari Kwa ajili ya propaganda za west [emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app