Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hujui kama bado wako under fire. Yani hapo wakiwa wanakimbia rocket za Himars zinawafata kwa nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]UKRO NAZI waoga sana waliwasukuma huko RUSSIA kwa HIMARS ila hawajiamini [emoji16][emoji23][emoji16]
[emoji736]Defense Minister of Ukraine: According to the information, Russia has not started the real movement from Kherson and its troops remain in the city, near the city, and on the west bank of the Dnipro.
[emoji778]️Russia's withdrawal from the banks of the Dnipro allows Ukrainian and Russian troops to operate in other areas of the front line.
Kwahio hawaja kimbia bado [emoji16]Hujui kama bado wako under fire. Yani hapo wakiwanakimbia rocket za Himars zinawafata kwa nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo swali muulize kamanda mpya Mkuu maana yeye ndo alitoa tangazo kwamba wanakimbia sababu wananyukwa kama paka weziKwahio hawaja kimbia bado [emoji16]
SVO inaendelea vyema saaanaaa mazungumzo ya amani hayatahusisha majimbo mapya ya RUSSIA
SAHII kabisa, Vita Ni gharama [emoji22]Kweli vita isikie tu Kwa mwenzio.., urusi pamoja na ghalama kama zote alizotumia katika hii vita.., huwezi kuamini Leo ana-retreat kirahisi tu..,vita inaweza kukurudisha nyuma miaka mia huku ukiishia kuambulia hasara tu bila kupata chochote [emoji57]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Hilo swali muulize kamanda mpya Mkuu maana yeye ndo alitoa tangazo kwamba wanakimbia sababu wananyukwa kama paka wezi
Kumbe zile za kukimbia ni propaganda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuanzia lini mumeanza kuamini propaganda za RUSSIA
Kesho tukiwaletea ripoti za SVO kwahuyo huyo bwana tunaomba muzivumilie
RUSSIA wanapropaganda sana acc to pro NATOKumbe zile za kukimbia ni propaganda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe...RUSSIA wanapropaganda sana acc to pro NATO
Defeat is real[emoji22][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pro Russia wamepigwa na kitu kizito sana sana...
Yaani ubaya wa Ukraine wao wanaenda mbele kila sehemu
SS Ukraine si awahurumie hao warusi wavuke salama kwanini analipua tena hilo Daraja[emoji848] Ukraine apunguze sifa bhana[emoji124][emoji298] Reported, there are hot battles near Kherson now. There are explosions next to the Antonov bridge.
Biden is directly involved in the work to free convicted Americans, contacts with Moscow are being conducted "at a very high level," the White House continues to insist.
Biden himself is ready to return to dialogue with the Russian president: "I hope that now that the elections are over, Mr. Putin will be able to discuss the prisoner exchange more seriously."
However, the Kremlin still does not react in any way to this matter, continuing to remain silent on the topic of possible exchanges.