Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️ Germany blocks sale of chip factory to China — CNN

The decision had been taken "because the acquisition would have endangered the public order and safety of Germany," the ministry said in a statement.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua
Ilitegemewa hii, na Scholz alitaka uza sema kawa blocked kiaina
 
Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini.
IMG_20221110_113652_243.jpg
IMG_20221110_113647_947.jpg
IMG_20221110_113658_731.jpg
IMG_20221110_113645_331.jpg
IMG_20221110_113642_112.jpg
 
Niseme kweli kutoka moyoni sijafurahishwa na kitendo Cha Russia kuondoa majeshi kherson kweli nimefadhaika Sana baada ya kuona hiyo news ila naendelea kusubiri pengine mwamba ana mpango mwingine ambao sisi Kama wadau wake hatujapewa taarifa. Ila najua Kuna kitu kizito kinaenda kupigwa Ukraine mm ni maono yangu binafsi watalia zaidi ya hapo.
Tulia majibu utayaona
 
Russia mwameelezea tactical reasons za kusogea pembeni.

Kijeshi imeeleweka ila kwa wanazi wanaassume wameshinda vita.

Vita ina moves nyingi.

Let’s see
Hii mikate migumu mikavu mnayobugia halafu mnaposti mkiwa haja huku mmekakamaa inawafanya bongo zenu ziwe na mushkel. Mnabakia mkijifariji tu huku uso umekakamaa kimba ngumu inakataa kutoka.
 
Raisi wa Ukraine ameapa hataacha hata sentimita moja ya ardhi ya Ukraine kuchukuliwa wakati mapambano makali yakiendelea huko Donetsk🤔
....
Naunga mkono ,akiacha hata cm 1 anakua amearibu msingi mzima wa kuingia kwenye vita
 
Back
Top Bottom