Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Israel hawezi kumpa Ukraine silaha wala mifumo ya ulinzi kwani wana mahusiano mazuri na Urusi
 
Russia mwameelezea tactical reasons za kusogea pembeni.

Kijeshi imeeleweka ila kwa wanazi wanaassume wameshinda vita.

Vita ina moves nyingi.

Let’s see
Russia kila anaposhindwa huwa anakuja na hizo 'tactical reasons' hata kule mji wa Lyman alikuja na hizi hizo sababu.Hakuna jipya sisi tunajua kakimbia.
 
Zelesky anaangamia kwa kukosa maarifa
Kweli.
Screenshot_2022-11-08-09-57-10.jpg


Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 

Waziri wa Ulinzi Benny Gantz alisema Jumatano kwamba Israeli haiwezi kusambaza mifumo yake ya ulinzi wa anga kwa Ukraine kwa sababu haina uwezo wa kutosha wa uzalishaji wa ziada.​

Hii ni mara ya kwanza kwa mamlaka ya Israeli kuja na maelezo kama hayo kwa kukataa vifaa vya kijeshi kwa Kyiv.
Hapo awali, msimamo wa Israel ulielezewa na nia ya kutoegemea upande wowote katika mzozo huo kwa hofu kwamba uwepo wa Urusi katika nchi jirani ya Syria ungeathiri usalama wa nje wa Israel.
"Ni wazi, hata kama tutaamua kubadilisha sera yetu [ya kusambaza silaha kwa Ukraine], haiwezekani kufuta hifadhi zetu za mifumo ya ulinzi wa anga," Gantz alisema.
"Tunaangalia kila siku nini kifanyike na jinsi gani tunaweza kupanua usaidizi wetu, lakini hatupaswi kusahau kwamba Ukraine inaungwa mkono na NATO." "
Israel imekuwa ikiipatia Ukraine misaada mikubwa ya kibinadamu, ikijumuisha utoaji wa madaktari wake na vifaa vya matibabu vya uwanja wa kijeshi. Siku ya Jumatano, Benny Gantz alihakikisha kwamba usaidizi huu utaendelea.
Mizigo iliyotumwa hivi karibuni kutoka US, Norway nk zinatosha sana kwa ulinzi wa anga la Ukraine hao Izrael kwanza hakuna nchi inaitwa Israel history inaitambua Palestine kama nchi, Izrail ni mavamizi tu kama hao kina putin
 

'It's better to be without heat and electricity but to be Ukrainian'​

Seva Koshel said it is better to be in hardship and be Ukrainian than to live in comfort as a Russian - as Moscow continues to strike critical infrastructure.
He told the Ukraine War Diaries that those in Ukraine are aware the winter will be "very difficult" but, despite this: "We continue our struggle."
 
Nawashangaa sana Pro Russia wanaojichekesha eti Ukraine ataingia mtego wa Russia awe fooled. Wote wanaoamini hivi ni wapuuzi tu na wasiofuatilia mambo.

Kwanza katika upande wenye Intelligence kubwa katika hii vita basi ni Ukraine sababu anasaidiwa na partners wake ambae ni manguli wa intelligence. Kina Us, Uk Canada na Nato wote hao wakipata taarifa wanawapa fasta incl option on what to do. Bado kuna jirani zake hao kina Poland wanapata za field kabisa wanafikisha taarifa.

Sasa yeye Ru anategemea nani? Iran, N.korea? Hao wote wachovu sanasana ni yeye anahangaika mwenyewe ndio maana unaona Tangu vita ianze akijisahau kidogo tu anapewa pigo takatifu watu wanatulia wanamsikilizia anakurupuka kurusha makombora hovyo kama kichaa.

Endeleeni kusubiri huo mtego mliotega mtaona matokeo yake.
Tukubaliane kuwa upo sahihi,sasa je katika yale majimbo 5 yaliyochukuliwa na Russia mangapi mangapi mmisha yakomboa??
 
Kiukweli ukraine inafanya vema ila bado mziki upo upande wa pili wa kherson uliotebganishwa na dnipro river ,hapo ukraine akishinda bas crimea itakua mikononi mwa ukraine.Mungu barik Ukraine katika hii vita ngumu
We jamaa una ndoto weshindwa kuirudisha hiyo cremea toka 2014 na wameshindwa kurejesha hata jimbo 1 kati ya yale 5 Leo ndio wataweza kurudisha cremia.
 
Mizigo iliyotumwa hivi karibuni kutoka US, Norway nk zinatosha sana kwa ulinzi wa anga la Ukraine hao Izrael kwanza hakuna nchi inaitwa Israel history inaitambua Palestine kama nchi, Izrail ni mavamizi tu kama hao kina putin
hao Izrael kwanza hakuna nchi inaitwa Israel history inaitambua Palestine kama nchi, Izrail ni mavamizi tu kama hao kina putin


Hongera kwakuusema ukweli
 
[emoji298]️The State Department of the United States allowed the sale of HIMARS missile and artillery systems to Lithuania in the amount of $495 million, announced the American Agency for Cooperation in the field of defense and security, writes Delfi.

The Defense Minister of Lithuania stated that the HIMARS systems are "an absolutely new and powerful capability that Lithuania has never had".

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
 
[emoji298]️President of Moldova Maya Sandu stated at a press conference that the restoration of full-fledged peace in Russia's war against Ukraine is possible only after the complete withdrawal of Russian troops from Ukraine.

[emoji117] Follow
@Flash_news_ua
 
Weka ndani hiyo mbuzi ya RT

[emoji298]️The SSU detained the blogger of the Kremlin mouthpiece "Russia Today", who came to Ukraine and spread fakes about the war, - the press service of the SSU.

The security service exposed four hostile Internet agitators in the Chernihiv and Dnipropetrovsk regions.

Among those detained is a foreign blogger who worked for the banned Russian TV channel "Russia Today" and imposed Kremlin propaganda on the residents of the European Union.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua
 
[emoji298]️In Poland, a new section of a metal fence was built on the border with Belarus, which should reduce the risk of illegal crossing of the border between the two states, - said Stanislav Zharyn,
 
Back
Top Bottom