Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

KWENYE MJI WA KHERSON SIZANI KAMA KULIKUWA NA MAPIGANO SINAUHAKIKA MAANA HATA MIMI VYANZO VYA HABARI NINAZOPATA TOFAUTI NA WENGINE



ISHU NI NGUMU KIDOGO KUELEWA.
MAANA STILL WANAAMINI INAWEZA KUWA NI MTEGO. ILA NAFIKILI WAMEONDOA WENYEWE TUU.
JAPO NAO RUSSIA WANADAI MJI UNA RAIA WENGI WANAHOFU, WATU WATAPOTEZA MAISHA , ACCORDING TO RUSSIA😃
 
Kwahiyo mnabishana na Waziri wenu wa Ulinzi na General wenu yule kipara? Mbona mnataka Urusi idharaulike na kila mtu. Sasa hata nyie mnadharau mnaanza kusikiliza taarifa za Ukraine badala mzingatie za kwenu
Wala hakuna sehem nimebisha MKUU

Huenda ikawa hujanielewa binafs yangu sijaidharau RUSSIA na nimeisapoti kwenye hili na mengine

Kama waliona hio sehem ni hatar kwa majeshi yao mlitaka wakae iwakute ile ya UKRO NAZI na MAURIOPOL !!!??

KHERSON DONBASS na ZAPORINHE haya nimaeneo halali ya RUSSIA namuda utaamua na hili halitabadilika
 
keep on dreaming kijana, tuliwaambia toka mwanzo watu wa Magharibi na US hawawezi kumwachia Putin akaishikilia Ukraine, only option aliyobaki nayo Putin ni kukubali kukaa chini wayamalize ki utu uzima bila masharti yoyote.

Kifupi plan ya Putin ya kuivamia Ukraine ishafeli vibaya sana.


Russia has ordered its forces to withdraw from the Ukrainian city of Kherson, the only regional capital seized by President Vladimir Putin’s troops since the war began.

The announcement on Wednesday followed weeks of Ukrainian advances towards the city and signalled a potentially huge blow to Russia’s military campaign in Ukraine, which it invaded in late February.
Imagine hii ingekua boots on group-full operation ya DEVGRU, Delta Force, SAS, SBS na Green Berets
 
Niseme kweli kutoka moyoni sijafurahishwa na kitendo Cha Russia kuondoa majeshi kherson kweli nimefadhaika Sana baada ya kuona hiyo news ila naendelea kusubiri pengine mwamba ana mpango mwingine ambao sisi Kama wadau wake hatujapewa taarifa. Ila najua Kuna kitu kizito kinaenda kupigwa Ukraine mm ni maono yangu binafsi watalia zaidi ya hapo.
Ndiyo hivyo, Putin has been fixed, na bado akizubaa watamshitaki kwa makosa ya uhalifu wa kivita, stay tuned.
 
[emoji631][emoji1255][emoji3538][emoji635]Head of the Joint Chiefs of Staff of the U.S. Armed Forces, General Milley, said that the occupiers(russia) had lost over 100,000 soldiers (killed or wounded) in #Ukraine and added that the #Ukrainian army has "probably" suffered roughly the same losses since the start of the war.

Please visit our website for more interesting articles [emoji3593]

militarycognizance.com
 
[emoji631][emoji1255][emoji3538][emoji635]Head of the Joint Chiefs of Staff of the U.S. Armed Forces, General Milley, said that the occupiers(russia) had lost over 100,000 soldiers (killed or wounded) in #Ukraine and added that the #Ukrainian army has "probably" suffered roughly the same losses since the start of the war.

Please visit our website for more interesting articles [emoji3593]

militarycognizance.com
Mmmmh ZAIDI YA 100,000. SIO KWELI
URUSI WANATOA TAARIFA ZA UONGO , USA NA UKRAINE NAO NAO NI VILEVILE.
 
Screenshot_20221110-111001_YouTube.jpg


WAMEWAACHIA MAANDISHI TUTARUDI
 
Back
Top Bottom