Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RUSSIA ANAONDOKA UKRAINE .AMESHINDA VITA YA KIUCHUMI INATOSHA AMEONA MIPANGO MINGI MIOVU ANATAKA KURUDI MOTHE RUSSIA ILI AONE ATAKAYEMFUATA .TULIKUWA NA WAKATI MZURI SANA WA MAJADILIANO . MSULI NAWAAGA KATIKA UZI HUU .MY LAST COMMENT. RUSSIA ANAONDOKA UKRAINE TARATIBU KWA HESHIMA. HAYO NI MAKUBALIANO MAALUMU NA NATO.
 
Mimi ni pro-russia lkn kwa jinsi ninavyoona Russia hajui anataka nini huko Ukraine.Haijalishi Russia alikua anauhalali au hana uhalali wa kuivamia Ukraine.Russia ilipaswa kusimamia mtazamo wake na kama ni vita then ingepigana serious war, sio unapigana siku mbili- unakaa wiki hueleweki unataka nini.Mwenzako anakuotea..then unapiga tena kwa pupa then unatulia.Umeingiza watu mpaka Kiev pale, vijana wamekufa..then ghafla tu unasema unakaribisha matashi mema..unarudisha wanajeshi nyuma kabisa.

Kremlin pale naona ni kama CCM tu..watu wamekula wameshiba, hawajui na hawajali nini wafanye.Hii kutokua na msimamo wa kisiasa pia nafkiri kunawaathiri hata makamanda...hawajui kesho yanatoka matamko yapi...

Huwezi ukawa vuguvugu ukashinda..ni either baridi au moto...matokeo sio juu yako..

Pili Russia hawaishi maneno yao...na ndo kinawapa Ukraine kiburi..na nchi hata ambazo mwanzoni ziliogopa kutoa msaada Kiev sasa zinatoa kwa nguvu zote, sababu wameona anaeogopwa hajui kama anaogopwa.

Russia haishindi hii vita..huko mpakani kutakuwa na chokochoko kwa miaka kibao mbeleni...PUTIN anasitasita sana na maneno mengi.
SAHII kabisa,
Russia wanapigana kipumbavu Sana[emoji34]
 
Ame demiltarise ameivuruga Ukraine imekua fupa lisilo na minofu anajua akiondoka hakuna atakayekua na interest na ukraine kwa maana ya gharama ya kuirudisha ktk hali yake . Wana interest kwakuwa Russia yupo pale otherwise hawana hamu
Ndio uwezo wako wa kufikir ulipogota
 
RUSSIA ANAONDOKA UKRAINE .AMESHINDA VITA YA KIUCHUMI INATOSHA AMEONA MIPANGO MINGI MIOVU ANATAKA KURUDI MOTHE RUSSIA ILI AONE ATAKAYEMFUATA .TULIKUWA NA WAKATI MZURI SANA WA MAJADILIANO . MSULI NAWAAGA KATIKA UZI HUU .MY LAST COMMENT. RUSSIA ANAONDOKA UKRAINE TARATIBU KWA HESHIMA. HAYO NI MAKUBALIANO MAALUMU NA NATO.

Sizitaki mbichi hizi.
 
[emoji298]️Dutch soldiers to train Ukrainian military personnel.

The Netherlands plans to send 50-100 instructors to train the Ukrainian military under a European military assistance mission, RTL Nieuws reports, citing Dutch Defense Minister Kajsa Ollongren.

Dutch personnel will train Ukrainian soldiers in tactical medicine, explosive ordnance disposal, and tactical and technical training in weapons systems.

They will also provide training for staff officers of battalions and brigades, according to Ollongren.

The training mission will mainly take place in Germany and Poland. It is not yet known when the training sessions will start, RTL Nieuws wrote.
 
WOTE HUMU NDANI HAKUNA MWENYE TAARIFA ZA UHAKIKA HUU MGOGORO PROPAGANDA NI NYINGI SANA TENA SANA, WOTE HUMU NDANI MNAPATA TAARIFA KUTOKA VYANZO TOFAUTI TOFAUTI HAKUNA MWENYE TAARIFA YA UHAKIKA.
Jana jenerali mpya alitangaz
IMG_20221109_193620.jpg
 
Hii mbinu ambayo Russia ametumia soon mtasikia majibu yake maana alianza kuhamisha raia Sasa jeshi lake Sasa naona Yale matamshi ya kuigeuza vumbi Ukraine yanaenda kutimia tuwe na subira kesho sio mbali tutapata majibu hapa hapa Mungu awabariki katekeleza mpango huu.
Ndio hivyo hivyo huwa mnajifariji.
 
[emoji298]️Top US general says Russian casualties in Ukraine at 100,000.

Speaking at the Economic Club of New York on Nov. 9, Gen. Mark Milley said more than 100,000 Russian soldiers have been "killed and wounded" in Ukraine since Feb. 24, Reuters reported.
 
Back
Top Bottom