Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maana sasa hata kusema kashindwa unakuwa huna base ya kusema kashindwa kufanya nn iwapo yeye nchi yake haiguswi? Hapa unaweza ukashangaa akapiga sehemu hata hamna wanajeshi wa Ukraine. Ila akapiga tu.
 
Kwa kujazia tu japo swali siyo langu! Russia hasingeweza peleka drones kherson kwasabu hizo drones ni kwa ajili ya stationary targets kwenye targets ambazo zinatembea hazina ufanisi wowote! Maana wanajaza Co_ordinates za targets kabala haijaondoka.
Pili: kuhusu Siraha za kupiga Moscow, nafikiri sababu ni kuu mbili. Kwanza lengo namba moja la aliyevamiwa ni kumwondoa adui kwenye aridhi yako; Rejea vita yetu na Amini, majeshi yetu hayakuigusa Uganda hapo mwanzo maana lengo mama lilkuwa ni kumtoa mvamizi kwenye nchi yetu lengo hili lilipotimia ikaonekana Amini bila kutoka madarakana atajipanga na kutuvamia tena ikabidi sasa tumfuate huko huko kwake. Kwa mantiki hiyo hata Ukraine lengo mama hajalifanikisha bado, lengo ni kumrudisha mvamizi kwake.
Sababu ya Pili: Uwezo wa kijeshi wa Russia; kwa sasa Russia anapigana Kama aliyevamia nchi ya watu kwahiyo kuna hatua anakosa haki za kisheria na kimedani kuzichukua maana yeye ndiye mchokozi hajachokozwa. Kwa maana hii ukimshambulia kwake atakuwa na haki kujitetea kwa nguvu zake zote maana umemfuata kwake. Hili West wanalijua na Uwezo wa Russia wa kujitetea wanaufahamu ndiyo maana hawawezi mruhusu Zelensky kushambulia Moscow mpaka pale wajilizishe kwamba Russia amewekwa kwenye kibano kiasi kwamba hawezi furukuta kwa maguvu yake. Mwisho: wakati USA anaanza kumsaidia Ukraine Biden alisema" Tambueni kwamba tunapambana na Moja ya Majeshi bora Ulimwenguni kwahiyo akili na maarifa ni muhimu kuliko jambo lolote"
 
alizani ule mkwara wa atakae ingilia hii oparation basi jibu la rusia litakua ni la hapo kwa hapo. tena matokeo yatakua ni haijawahi tokea akajua watamuigopa kama walivyo muachia kule georgea na crimea.
Sasa kama ni hvi na Zele ameshaonyesha haogopi kwann hayaachii hayo maeneo wala hawashambulii askari wa Ukraine kwenye hayo maeneo badala yake anapeleka drones sehemu nyingine na anashambulia?
 
Sasa kama ni hvi na Zele ameshaonyesha haogopi kwann hayaachii hayo maeneo wala hawashambulii askari wa Ukraine kwenye hayo maeneo badala yake anapeleka drones sehemu nyingine na anashambulia?
Suala la drone umeshajibiwa.., kwamba zile zinashambulia sehemu stationary.., naona unazidi kukomaa na hili..,na nafikiri lengo la kukomaa ni .....

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umeeleza vzr mno boss
 
Suala la drone umeshajibiwa.., kwamba zile zinashambulia sehemu stationary.., naona unazidi kukomaa na hili..,na nafikiri lengo la kukomaa ni .....

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Malizia tu 🙂. Si unajua wengine mambo ya vita hatuna uelewa tunafanya judgement kwa akili za kitanganyika. Tuvumiliane tu.
 
Asante sana kwa maelezo yenye ufasaha mkubwa.Nimejifunza kitu hapa
 
Reactions: Tsh
Humu ndani toka siku ya kwanza tulikuwa tukiuliza nini hasa lengo la Putin but hakuna ambae alitoa majibu.

Sasa unashangaa kwanini wana support kitu wasichojua lengo lake nini
 
Nzuri Sana hii.
 
[emoji298]️ The head of the Luhansk RMA Serhiy Haidai reported that Ukrainian partisans set fire to the headquarters of the mobilized Russian Federation in the village of Artema (near Shchastia).

[emoji117] Follow @Flash_news_ua

 
Myabe uko right ? Ukraine army haitokuwa sawa na 2014. Ni almost hawakuwa na jeshi imara by 2014. But mambo yamebadilika. Probably hawatokuwa the same after this
Kumbuka jeshi la Ukraine lina kila technical support kutoka NATO since 2014,Ukraine hata wachukue 200 yrs hawawezi kuja kubwa na jeshi la kuiyumbusha Russia.The only solution ambayo western & Ukraine wanaweza wakafanya ili kukabikiana na Russia ni kuweka Silas za Nuclear hapo Ukraine na hilo haliwezi kuja kutokea maana ndio utakuwa mwisho wa Taifa hilo.
 
Ukipitia Twitter madai ni kuwa Kherson crossing ilikuwa shelled mno jana
Kwa mtindo huu Putin lazima alazimike kukaa pamoja na Zelensky kwa ajili ya mkutano wa amani🤔
 
Still ndo kosa waliofanya warusi la kudhani adui Yako ni mpuuzi.mentality kama Yako ikishaa watoka warussi basi wata shinda kila vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…