The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwani vimesonga mbele kwa kiwango gani? Eti vya kizamani yaani tunaona attacking helicopters zokisindikizwa kabisa na midege ya maana ya doria afu unajiimbisha hapa.Vifaru na vifaa anavyo tumia Urusi kwenye hivi vita ni vya kizamani kwa hiyo vingi havina mifumo ya kujinda wakati Ukraine anatumia silaha za kisasa alizo pewa kutoka kwa wamagharigi.
Kuhusu kuharibiwa kwa vifaa Nadhani mengine ni propaganda maana wangekuwa wameharibu kwa kiwango wanacho kisema nadhani Ukraine vikosi vya Urusi vingekuwa vimesha rudishwa nyuma.
Alafu kingine mkuu vita ni rahisi kuiongea mdomoni tu lakini vita ni kitu kimoja kigumu sana, na ndio maana hata Marekani akitaka kwenda vitani huwa ana tafuta washirika tena wenye nguvu hajawahi kuanzisha vita na taifa lingine bila uhakikisho ya kwamba atapata usaidizi kutoka kwa washirika wake.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Yaani ukaue wanajeshi wako kwa vifaa duni wakati unajua adui ana vifaa Bora,utakuwa na akili timamu? Vifaa bila watu itakusaidia nini?
Mzee Kazi inaendelea 👇