LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Vifaru na vifaa anavyo tumia Urusi kwenye hivi vita ni vya kizamani kwa hiyo vingi havina mifumo ya kujinda wakati Ukraine anatumia silaha za kisasa alizo pewa kutoka kwa wamagharigi.

Kuhusu kuharibiwa kwa vifaa Nadhani mengine ni propaganda maana wangekuwa wameharibu kwa kiwango wanacho kisema nadhani Ukraine vikosi vya Urusi vingekuwa vimesha rudishwa nyuma.

Alafu kingine mkuu vita ni rahisi kuiongea mdomoni tu lakini vita ni kitu kimoja kigumu sana, na ndio maana hata Marekani akitaka kwenda vitani huwa ana tafuta washirika tena wenye nguvu hajawahi kuanzisha vita na taifa lingine bila uhakikisho ya kwamba atapata usaidizi kutoka kwa washirika wake.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kwani vimesonga mbele kwa kiwango gani? Eti vya kizamani yaani tunaona attacking helicopters zokisindikizwa kabisa na midege ya maana ya doria afu unajiimbisha hapa.

Yaani ukaue wanajeshi wako kwa vifaa duni wakati unajua adui ana vifaa Bora,utakuwa na akili timamu? Vifaa bila watu itakusaidia nini?

Mzee Kazi inaendelea 👇

Screenshot_20220307-133808.png
 
Anthony Blinken, during a visit to Lithuania, said that the Russian army is much superior to the Ukrainian one and is able to “grind” it.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Dmitry Medvedev, commenting on gas prices in Europe, congratulated "far-sighted European colleagues who reliably defended themselves from the insidious Russians and Nord Stream 2."
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
The Ukrainian delegation is going to negotiations in Belarus. "All according to plan" source.

The start of the third round of negotiations is scheduled for 15:00. The result of the second meeting was an agreement on the organization of humanitarian corridors, however, the Ukrainian military and national battalions did not support the “silence regime” and disrupted the evacuation of civilians from several cities
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
The Minister of Finance of Germany spoke out against the embargo on the purchase of Russian oil, coal and gas.

According to Christian Lindner, the refusal of supplies will lead to the fact that energy prices in Western Europe and around the world will rise sharply, writes N-TV.

He also stressed that it would be extremely difficult to find an alternative to Russian energy resources, and warned of possible power outages next winter.

On the eve of the head of the French energy company Engie said that the EU will not be able to find a complete replacement for gas from Russia. Today, gas prices on the market have reached a record and amounted to €3,500 per 1,0
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
00 cubic meters. m.
 
A plane landed in Moscow, carrying Russian diplomats from the United States and members of their families, the administrative department of the President of Russia reported.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Vladimir Putin informed Indian Prime Minister Modi about the introduction of a regime of silence and the opening of humanitarian corridors in Ukraine, the Kremlin reported.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
The third round of negotiations between the delegations of Russia and Ukraine will begin at 17:00 Moscow time, the composition of the Ukrainian delegation will remain the same, the Kyiv delegation said.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Footage of the arrival of the Russian delegation for negotiations with Ukraine. They will start at 17:00 Moscow time.
 
Watakuambia wanasonga mbele..Vita sio taarab kwamba unachukua unaweka waaa👇

View attachment 2142026
Si hayo tu, bali mpaka haya yanaandikwa!
Screenshot_20220307-135738.png


Screenshot_20220307-135836.png


Sii hilo tu bali na hili pia
Screenshot_20220307-141328.png

Ya juu hapo ni picha iliyopigwa kipindi cha vita ya Syria. Ni picha ya mwaka 2018.

Screenshot_20220307-141302.png

Hapa wameifanyia ubunifu zaidi na kuiwekwa na kuuhabarisha umma ya kuwa haya ndiyo yanayotokea kwa watoto nchini Ukraine na ndicho anachokifanya Russia.

Kuwa makini brother! Kuna mengi yanaendelea. Mfano mwengine ni hili pia.
Screenshot_20220307-115339.png

Unaona Poland wanakataa kinachosemmwa na kuandikwa na watu wakiwemo/ikiwemo nchi nyinginezo. Angalia picha hii inayofuata baada ya Poland kutoa tamko hilo, mchangiaji alichokiandika.
Screenshot_20220307-115411.png
 
mkuu, nimekuwa nazifatilia post zako
kwa hakika unajua mambo mengi ya kijeshi kuliko hata baadhi ya wanajesh wenyewe,
lakn kuna swali najiuliza kuhusu hii vita
mbona kama vifaru na magari ya urusi yanahalibiwa kwa wingi sana? Au
Urusi ana kikosi kibovu cha ardhini,
au ant tank javalin zimeosha ufanisi mkubwa?
au yaweza kuwa propaganda za vyombo vya habar vya west,
lakn kama ingekuwa ni propaganda, kwa sasa urusi ingeshateka miji mingi na muhimu,
cha kushangaza jeshi linaloogopeka dunian hadi sasa limefanikiwa kuutwaa mji mmoja wenye wakaz 280000 hapo ni pamoja na wanawake wazee na watoto,
kama hutojari naomba unidadavulie ukraine wanapata wap nguvu ya
kuwasimamisha urusi hadi sasa,
Anti tank missiles ziko effective kwa vifaru karibia vyote sio vya Urusi tu. Miaka ya karibuni kitu kama 2019 pale Uturuki ilipeleka vifaru vyake vya Leopard 2 kutoka Ujerumani ambavyo ni the best kuliko kifaru chochote cha Urusi kinachotumika Ukraine. Vile vifaru vilifanyiwa ambush na ATM hizi hizi shoulder launched na vikaharibiwa. Hao wana Javelin ya Marekani na NLAW ya Sweden & UK, NLAW imetengenezwa na Saab hawa walikuwa wamiliki wa Scania ila wakaiuza wakabaki kutengeneza silaha. Hata Russia akileta Kornet ya zamani na Khrizantema ya kisasa ataharibu vifaru vya NATO.

Vifaru huwa havitembei peke yake huwa vina escort ya troops watakaozuia ambush ya small caliber weapons. Troops wenyewe wako kwenye magari ya kawaida au armoured na hayako salama dhidi ya RPG au anti materiel rifle (wengine husema material, si sahihi). Kwahiyo ukishaondoa wanaosindikiza na kutoa ulinzi unabaki na kifaru chenye labda mounted machine gun juu ambayo ni nzito kuzunguka hivyo mnamzingira gunner na kushoot. Kifaru kikibaki chenyewe hata wewe hapo unaweza chukua vipande vya vyuma ukaweka kwenye zile gear au ukachanganya petroli na ile lami nyeusi ukamwaga kwenye matundu ya kupitisha hewa kupelekea kwenye injini na ukawasha moto. Hapo hakifanyi kazi tena, kifaru kilichokaa hakiko safe.

Ukraine inatumia nguvu zote na kuongezea msaada mwingi wakati Russia anatumia uwezo kidogo, taifa kubwa halitumii nguvu zote vitani kama halijavamiwa. Marekani ilitumia nguvu nyingi kiasi kwenye WW2 baada ya hapo huku kwingine unakuta inapigana kwa kutumia muda mwingi kimakusudi kujaribia mbinu na silaha mpya na kufanyia mazoezi live.
 
Back
Top Bottom