Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hili lipo wazi edo alienda kuomba radhi juu ya tukio lile. Ingia Google uliza . Utapewa jibu. Usibishe TU Kama naniliuu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Duh ipo kazi. Jisomee kwa faida yako ikusaidie.
Hujawahi kuskia mwalim hutoa 25% katika uelekezi wake?
Hizo 75% Ni za dent kujisomea

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ninachokumbuka ni kwamba Urusi wenyewe ndo walisema Turkey imeomba msamaha lakini Turkey kama Turkey yaani Erdogan hakuwahi kutoa statement yoyote Ile.
 
Ninachokumbuka ni kwamba Urusi wenyewe ndo walisema Turkey imeomba msamaha lakini Turkey kama Turkey yaani Erdogan hakuwahi kutoa statement yoyote Ile.
Turkey won’t apologize for downing Russian warplane, Erdogan says
By Eliott C. McLaughlin, Don Melvin and Jethro Mullen, CNN
Updated 9:27 PM EST, Thu November 26, 2015.

Turkey will not apologize for downing the Russian fighter jet that Turkey says violated its airspace near the Syrian border, Erdogan said Thursday in an exclusive CNN interview.

“I think if there is a party that needs to apologize, it is not us,” Erdogan said. “Those who violated our airspace are the ones who need to apologize. Our pilots and our armed forces, they simply fulfilled their duties, which consisted of responding to … violations of the rules of engagement. I think this is the essence.”

In a meeting with community leaders in Ankara, Erdogan said, “If the same violation occurs today, Turkey has to react the same way.”

Baadae Urusi ikadai Turkey imeomba msamaha lakini Turkey haikujibu chochote.

Turkish President Recep Tayyip Erdogan has apologised for the downing of a Russian military jet on the Turkey-Syria border, the Kremlin has said.

Mr Erdogan sent a message to President Vladimir Putin expressing "sympathy and deep condolences" to the family of the killed pilot, a spokesman said.

Turkey had angered Moscow by failing to apologise for the incident in November.

Russia responded by imposing trade sanctions and suspending Russian package tours to Turkey.

Turkey has not yet commented on the Kremlin statement.
 
@Sela Son
 
Hao Ni cnn 2015.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Toa sababu za kuitaka NATO

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
sababu zinaweza kua nyingi, ila sababu kuu mbili ni sababu za kiuchumi na sababu za kiulinzi, ndio mana uingereza moja ya sababu kwa nini nin inataka kujitoa ni inalalamika kwamba nchi za ulaya mashariki ambazo zinauchumi mdogo ukilinganisha na ulaya magharibi ni kwamba wanaenda UK na kuchukua kazi kwa cheap labour, sabab ya ulinzi ni kwamba nchi moja ikishambuliwa ni nchi zote za nato zimeshambuliwa so inamana zinakua kwenye mwamvuli salama zaidi
 
Mwana chama wenu amesha pigwa huko tuna subiri majibu ya nato.
Ndo utajua kuwa NATO ni mbwa koko mbele ya Urusi.
Hujasoma kuwa Role model wenu keshajihami kukanusha kuwa siyo yeye?
 
Hayo mengine tuyaache tiyari mwanachama mmoja amesha pigwa tunahitaji kuona madege ya kimarekani unayo shinda humu unaya sifia yakipaa kwenye anga ya Urusi yakidondosha mabomu.
Ili tujue kweli kama Urusi ni super power wa mchongo au la.
Nenda kasome huko huyo Russia mbona anaufyata kwa kukanusha kuwa siyo yeye? Kama ni mbabe kweli akae kimya kulikoni kukimbilia kujitetea?
 
Endeleen kupiga majengo sisi tunasonga mbele

Line of contact is approaching large occupied cities in Luhansk Oblast​

Ukrainska Pravda
Tue, November 15, 2022, 11:16 AM·1 min read

Heavy fighting is going on in Luhansk Oblast, but Ukrainian defenders are gradually advancing closer to large cities of the oblast, including Rubizhne and Kreminna.
Source: Serhii Haidai, Head of Luhansk Oblast Military Administration, on Telegram and during the national joint 24/7 newscast
 
Hayo mengine tuyaache tiyari mwanachama mmoja amesha pigwa tunahitaji kuona madege ya kimarekani unayo shinda humu unaya sifia yakipaa kwenye anga ya Urusi yakidondosha mabomu.
Ili tujue kweli kama Urusi ni super power wa mchongo au la.
Wewe bwashee uwe unaandika kwa kujiongeza kidogo vita siyo kama ugomvi wa bar mnarushiana ngumi tuu bila sababu leo NATO wanakaa kujadili hilo swala ,pia uchunguzi bado haujakamilika kujua ni kweli Russia ndiye kapiga au la.Kupatikana kwa kombora la Russia haina maana ni yeye kafyetua .Russia ana maadui na wana silaha zake pia hivyo tusubiri nini wataalamu watasema,siyo kushadadia mitandaon eti unataka uone mindege mda huu inaenda kuipiga Russia ,Dunia haiend hivyo .Yan wewe ndio wale ukimwona mkeo kasimama na mwanaume unalianzisha hata hujui aliyesimama naye nani.Jiongeze aisee

No concrete evidence on who fired missile: Duda​

Poland’s president has told reporters there is no concrete evidence – as yet – indicating who fired the missile.
“We do not have any conclusive evidence at the moment as to who launched this missile… it was most likely a Russian-made missile, but this is all still under investigation at the moment,” Duda said.
 
..Yatapita kimya tu...maana supa pawa wa mchongo kakanusha kuhusika
Kwa hiyo ulitarajia akubali???Yaani mtu karusha ngumi-ndoige...imepiga pua...then nasubiri mpaka akiri ndo uamini kweli ni yeye ndo kakupiga......
Superpower wa mchongo yeye alipokua anaguswa anajibu moja kwa moja.....

Wasipojibu NATO..nao ni walewale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…