Nenda katafute ujifunze kwamba uko Kwa NATO zaidi ya 80% of military hardwares zinatoka wapi?!
Inshort NATO inamnufaisha Sana US maana kwenye NATO inatakiwa utumie 2% ya GDP yako kwenye Ulinzi,hapo nchi hizo hela hupeleka Marekani kununua vifaa vyao vya kivita. Mfano mzuri baada ya Russia kuvamia Ukraine
Poland imetoa order ya Himars 500
Ujerumani imeongeza budget ya Ulinzi $100bn ambapo Kati ya hizo imeagiza F-35 (ambayo mwanzoni walisema hawatonunua sababu watatengeneza Yao),Chinook helicopters,nk
Baltic States zimetoa order ya Himars
Ufaransa imetoa order ya switchblade drones
Bado, Uingereza,nk $$$$ zote hizo zinaenda [emoji1258][emoji1258][emoji1258]