Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo NATO imepewa kichapo sasa tusubiri mrejesho
Screenshot_2022-11-15-22-03-50.png
 
Huyo Russia unaem underestimate ndio yule mbabe wa ulimwengu ambaye kila taifa lenye dalili za kuwa na umagharibi humuogopa.
Ni Russia TU inayosababisha Ulaya nzima ijiunge na NATO ili angalau kujihakikishia usalama.
Kwenye ishu ya silaha Hakuna kifaru ambacho hakidunguliki kwa ATGM.
Hakuna ndege Vita isiyodungulika kwa MANPADS.
Hakuna artillery yoyote ya kirusi Wala ya Kimarekani isiyoua.
Nb kwenye ishu Kama za magari West wako mbele Sana na si sababu ya kuidunisha Russia kwenye hiyo sekta.
Russia inazalisha kila aina ya magari Malory , mabasi nk
Russia Ni mzalishaji mkuu was mbolea duniani.
Russia Ni mzalishaji wa kutegemewa ngano worldwide.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
ulaya yani Nato ilijiunga sababu ya Soviet Union na sio Russia, kazi mojawapo ilikua ni kuvunja nguvu ya ushawishi wa kisoviet na kuweka ushawishi wao, na hilo walifanikiwa, wakaivunja soviet, sasa hivi soviet wao kwa wao wanapigana, sasa hivi nchi za ulaya mashariki karibu zote zinaitaka Nato
 
NATO hawawezi kujiingiza mazima kumbuka hata Turkey ambae ni NATO member iliwahi tungua ndege ya Urusi na kuua marubani wote wawili na hakuna kitu ambacho Russia ilifanya zaidi ya Putin kutoa hotuba ya vitisho tu.
Ila Poland anamtamani sana Russia, naona Russia anataka kuiumiza dunia. Maana Poland akijibu, Russia anafungulia, Poland atawaomba NATO waingilie. Nukes zitafuata
 
We upo dunia gani kwani, mi naongelea leo.kwani una habari kuwa watu leo wapo gizani
Mkuu, kama Mungu ameweka kitu chochote katika nafasi baina ya masikio yako, jaribu kukitumia. Ndiyo, kama umefaulu kupiga mitambo ya kugawa umeme katika siku zilizopita, kila mfululizo wa milipuko katika mji mkubwa utakata tena nyaya kadhaa na kusababisha giza. Nilidhani Mtanzania hahitaji maelezo, jinsi gani kuanguka kwa nguzo na kukatwa kwa nyaya kunaweza kuleta giza ???
Kama hawakubahatika kugonga vituo vya ugawaji au uzalishaji, hasara ya leo haitadumu sana. Ila ile ya siku za nyuma bado.
 
Pro Ukraine amechafukwa na kuanza kutukana ovyo kama chizi baada kupigwa Spana za kichwa na Pro Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] piga hao kenge
kama hujui chanzo chá haya ni bora ungeliuliza.

Mambo ya vita kiupande wangu hata hayanishughulishi hayanipi faida wala hasara
Ila uonevu usio na sababu hautakikani.

Mambo ya kutukana huyo pro rusia mwenzako ndiye aliyanza matusi kwa wengine na sijawahipo kuanza kumtukana yoyote humu ukiona tusi langu angalia lilipoanzia hilo tusi sio mpumbavu kiasi hicho.

Ila nyinyi ukiwemo wewe mnatukana watu kisa hamkubaliani na mawazo ya upande mwengine.


Jiheshimuni mheshimiwe. Mkitukana mtatukanwa hata uwe nani.



Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ila Poland anamtamani sana Russia, naona Russia anataka kuiumiza dunia. Maana Poland akijibu, Russia anafungulia, Poland atawaomba NATO waingilie. Nukes zitafuata
[emoji23][emoji16][emoji23]

Kama POLAND alikua anaitamani RUSSIA hii sasa kaishapata sababu aanze nae

Hakuna NATO atakaethubutu kumgusa RUSSIA kwahiko kilichotokea POLAND hakuna hakuna hapo labda vikwazo tuu

POLAND anamtamani RUSSIA kwenye media tu ila sio live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kashindwa kupigana kwenye uwanja wa Vita anarusha kombora hovyo, ona sasa kajichanganya[emoji3]
20221115_222746.jpg
 
T14 Armata naona mpaka kufikia kesho jioni hakutakuapo tena na taifa lasuper power wamchongo

Maana tayar huko memba wenu wa NATO kashaguswa

Nategemea kuiona ile atiko yenu yakujilinda pindi mwanachama mmoja akishambuliwa ikitumika hapa

Nahisi yale maombi yenu yakuguswa wanachama wa NATO imetimia na kufa juu sasa acha tungojee tuone kama NATO wataifungia kazi super powa wamchongo


[emoji778]️Two stray missiles fell in Przewodau in Poland's Lublin province on Tuesday.

[emoji617] The initial information is that two Polish citizens were killed.

[emoji617] According to Radio Zet from Poland, today Russia targeted the suburbs of Lublin near the Ukrainian border in its missile attacks.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulaya yani Nato ilijiunga sababu ya Soviet Union na sio Russia, kazi mojawapo ilikua ni kuvunja nguvu ya ushawishi wa kisoviet na kuweka ushawishi wao, na hilo walifanikiwa, wakaivunja soviet, sasa hivi soviet wao kwa wao wanapigana, sasa hivi nchi za ulaya mashariki karibu zote zinaitaka Nato
Uko vizuri kichwani. Safi kwa jibu zuri

Watu wanasahau kwamba tayali mpaka sasa NATO kafanikiwa.
 
Back
Top Bottom