Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Sasa mnalialia Nini?Ikilipuliwa miundombinu ya Russian mnashangilia,mkuki ukigeuka mnalialia!Hiyo haipunguzi maumivu ya kushindwa kwake Kherson,yeye aendelee kuvurumisha tu ovyo hayo makombora lakini akitulia Jeshi Shupavu la Ukraine litakuwa lishasonga mbele zaidi kule frontline.
Tulieni dawa iingie!
NB:Ikiwa target mojawapo ni Kambi ya kijeshi ya Ukraine na ikalipuliwa,haiwezi kuona habari hizo kwenye media,watareport tu maeneo ya kiraia!