Ndiyo mkuu tuko pamoja. 🤓 Tusubiri tu hadi "jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao" kutoka maeneo yote ya Ukraine. Halafu tuwapongeze kwa ushindi!!Jeshi la Ukraine halina uwezo wa kukomboa mji wowote hizo sehemu za khasoni ni jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao.Hata hivyo Urusi bado ana control karibu 75% ya eneo zima la kharson.