Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20221115_163654_593.jpg
IMG_20221115_163650_279.jpg


Putin awarded Melitopol and Mariupol the title of "City of Military Glory".
 
sasa hivi watu wanajipanga kwenda Crimea !! kayakanyaga mengine mabichi.
Hawa jamaa naona wanjisahaulisha kwamba zelensiky alishaweka wazi kwamba vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea..,huko kwingineko ni kujaribu kuficha aibu ya kichapo tu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa naona wanjisahaulisha kwamba zelensiky alishaweka wazi kwamba vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea..,huko kwingineko ni kujaribu kuficha aibu ya kichapo tu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnato wa Menarumango vipi upo poa? 🤣 🤣 🤣 😀 😀 😆 😆

🇷🇺🚀🇺🇦More arrivals in Kiev

Wanagongwa waUkraine wanaumia wanakijiji wa Mwanjerwa
 
Lakni tatizo lako/lenu mnakosea.

Mnapoona kama yeye anapiga uongo wewe uliyenaukweli huongei ili aumbuke na uongo wake. Sasa kama umemjua kama ni muongo na uaminike wewe mkweli lete habr zaidi za kumpinga.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Unafikikiria huyo cjawahi kumpinga uongo wake au watu hawajawahi kumpinga uongo wake, mpaka nimeandika hivyo jua unachokisema kilishajadiliwa still yet analeta uongo uleule kujifanya anajua siraha za majeshi ya mataifa mbali mbali hadi udhaifu wake as if yeye Ni deep state au proffesion military expertise afu unataka nany apoteze mda kupingana na uongo wake.
 
Maji ya shingo [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️Putin signs a decree allowing foreigners to serve in Russian army.

Russian President Vladimir Putin signed a decree that allows foreign citizens to serve in the ranks of Russia's Armed Forces, the state news agency TASS reported on Nov. 14.
 
Vita ni ya Russia na Ukraine. Kutaka NATO iingie ni kukosa akili, Ukraine sio mwanachama wa NATO.

Na NATO hailazimiki kuingilia vita hii, hapa wanatoa msaada. Russia iko ndondo ila wewe unaitaka iende ligi kuu, huwezi pigana na Ukraine kwa miezi tisa ukiambulia kutimuliwa maeneo uliyojipatia kisha ukasema unaiweza NATO.

Mnachokifanya wewe na wenzako uliowaita ni sawa na kuilalamikia Marekani kwanini Tanzania ni maskini wakati USAID hutoa misaada na serikali yao usaidia bajeti yetu. Kama Urusi inaitaka NATO si mipaka yake inaijua? Sasa wewe na uelewa wako unashindwa kutambua kwamba Russia haina guts za kuivamia NATO, kwanini unalazimisha NATO ndio ivamie Russia
Aloitaka NATO ivamie nani

Wewe na Elensky nani anajua zaidi kwani mie ndio niliomba No Fly Zone iekwe huko UKRAINE ama !!?

YUGOSLAVI ilikua mwanachama wa NATO au kule LIBYA kulikua namwanachama yupi wa NATO !!?

KUWAIT aliwahi lini kua mwanachama wa hao NATO

NATO kama wameweza kutoa mnaouita msaada wa silaha kuwapa UKRAINE wajilinde wangeweka na No Fly Zone ili kuwalinda raia kama walivyo fanya LIBYA dhidi ya mashambulizi ya RUSSIA

NATO wao hawaioni mipaka ya RUSSIA wakaiguse kule kwanza RUSSIA dhaifu

Hapo kwenye USAID hao wapuuzi wakitangaza kukata huo wizi wao ntaeka sherehe kubwa sana pale home najua tutateseka sana kwamuda sababu ya upuuzi wetu ila baadar tutakua bora sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnato wa Menarumango vipi upo poa? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38]

[emoji635][emoji573][emoji1255]More arrivals in Kiev

Wanagongwa waUkraine wanaumia wanakijiji wa Mwanjerwa
Mliacha kushambulia Kherson jana mwamba alikuwa pale mmesubiri kaondoka leo ndio mnarusha vikombora tena kwa woga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Zile drone za Iran vip
 
[emoji298]️Biden rules out peace talks on Russia’s war without Ukraine’s participation.

Biden congratulated Ukraine on the liberation of Kherson, saying it was “a significant, significant victory.” He stressed that negotiations toward a ceasefire are impossible without Ukraine.

“I’ve been very clear that we’re going to continue to provide the capability for the Ukrainian people to defend themselves – and we are not going to engage in any negotiation. There’s nothing about Ukraine without Ukraine,” Biden said, as quoted by CNN.
 
Yoda. Hakuna nchi zenye maslahi kiuchumi katika ushirikiano kama USA na Ulaya. Mfano sector ya utalii ukipata wateja 1000 kutoka kwao watakupa manufaa kuliko wateja 2000 kutoka China.

Sasa kama nchi mmeamua kufanya nao kazi inatakiwa muwe na watu wenye akili sana ya diplomacy maana hawakulazimishi kwa kutumia nguvu ya mtutu ila vile vipengele vinakulazimisha ujikute upo huko.

Alichokisema Putin ni kuwa West wasitake zile tamaduni ziwe na umuhimu kiasi cha kuwekwa kama kigezo kwenye vipengele vya ushirikiano baina ya nchi.

Hili huwa tunaliona hata katika mahojiano na maraisi wa Africa, huwa wana swali lao kuhusu ushoga, wanaliwekea umuhimu lakini ni wananchi wangapi wanataka kusikia raisi wao akiongelea mashoga? Sio jambo lenye umuhimu ila kwao lina umuhimu.

Msikilize tu na uweke mapenzi pembeni utamuelewa. Kumuelewa katika hilo haimaanishi utamuelewa katika mengine kama wizi wa ardhi na mambo mengine ambayo utaona ni ujinga.
Hongera lakini pole MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji298]️Biden, Xi say nuclear war should never be fought.

Biden and Xi met on Nov. 14. They agreed that “a nuclear war should never be fought and can never be won and underscored their opposition to the use or threat of use of nuclear weapons in Ukraine,” according to the White House.
 
Back
Top Bottom