President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Yoda. Hakuna nchi zenye maslahi kiuchumi katika ushirikiano kama USA na Ulaya. Mfano sector ya utalii ukipata wateja 1000 kutoka kwao watakupa manufaa kuliko wateja 2000 kutoka China.Kwani lazimia ufuate masharti yao? Kwa nini msiachane nao muende huko kwa Warusi na Wachina ambako hakuna masharti yoyote?
Halafu kuwekewa masharti ambayo ni lazima uyatimize ili uwe rafiki , upewe msaada au mikopo ndio unasema kulazimishwa? Kivipi huko ni kulazimishwa?
Umesha sema baadhi hata hiyo Ujerumani bidhaa zake mfano magari yanatengenezwa kwa kutumia teknolojia kutoka nchi tofauti.
Kwa hiyo punguza ushamba.
Mkuu ni kawaida kabisa kutumia vipuli vinavyotengenezwa katika nchi nyingine; hasa China na Asia kusini-mashariki. Swali muhimu zaidi: nani anamiliki uzalishaji huo? Ukijiuliza kwa nini China haiuzi tekinolojia ya kisasa kwa Urusi - kwa sababu haimiliki bidhaa nyingi zinazotengenezwa nchini. Umiliki hutegemea haki miliki yaani HATAZA. Ukitazama nchi gani zinaongoza katika hataza utaona China, Marekani, JApani, Ulaya, Korea. Huoni Urusi inayofuata baadaye kabisa. Nafasi ya China ni ya juzi tu . Hataza za tekinolojia nyingi zinazotumiwa leo bado kutoka Marekani, Japani na Ulaya. Ona takwimu (kumbuka mwaka 2020 Uingereza ilikuwa bado EU ya Ulaya):
Katika takwimu hii utaona siri kwa nini silaha chache kama HIMARS zimeweza kubadilisha mweleko wa vita hadi kukimbia Kherson - kwa sababu kiteknolojia Urusi iko nyuma sana. (Jinsi wanavyosema wengie hapa: Urusi si Zimbabwe - lakini pia si Korea Kusini...)
View attachment 2417551
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kirusi tenaWarusi weusi walikimbiza sana huu uzi wakati Vita vipo mwanzoni..[emoji2][emoji2][emoji2]
Japo wengine waliingiza lugha chafu ili kuua ukosoaji dhidi yao...ila walioweka kirusi walifanya vyema mno ili kuunogesha.
MK254 Nyamizi Jackal kp kipanya44
Bado wapo ma-comrade wachache kama kina 1954 lee van cliff mohamedidrisa789 wa kupuliza bado wanakomaa kibabe..
Ndio mkuu...namaanisha lugha ya kirusi sio 'Virus'...😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kirusi tena
You cant beat them, if your inlove with themHuu ni uhuru binafsi wa manunuzi. Sioni tatizo hata Putin akipendelea bidhaa za Apple iwapo zinakidhi matakwa yake.
Tuna ushindani usio na maana watanganyika.
Hayo ndio mnayoyaweza kuvurumisha mavyuma kwenye makazi ya watu.Kama utahira ziacheni ziendelee kupigwa halaf mtajua faida na hasara yake
Kwani daraja la KERCH lilikua na kikosi gani cha kijeshi cha RUSSIA pale
Acheni kulalamika mmepewa dozi kulingana na mlivyokua mwaugua
Waacheni RUSSIA na utahira wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi nyuklia hamkupiga?Asilimia 70% ya Kherson IPO Chini ya warusi.View attachment 2416874
Kila kitu mtakikataa.Jeshi la Ukraine halina uwezo wa kukomboa mji wowote hizo sehemu za khasoni ni jeshi LA Urusi limeondoka lenyewe kwa malengo yao.Hata hivyo Urusi bado ana control karibu 75% ya eneo zima la kharson.
Lakni tatizo lako/lenu mnakosea.Unavyozungumzia masuala ya kijeshi kwa mtu asiyegundua haraka uongo wako anaweza kufikiria wew ni proffesion military expertise, lakin kwa ambao wameshakujua tayari kuwa wew ni kituko basi hata vituko vyako unavyoandika haviwasumbui akili.
Hahaaaaa punguza hasira kama umeshindwa ni kumjibu kwa hoja zako za kweli. Au pita kimyakimya kama wanavofanya wenzako.Usinifokee na kunikulupukia kaa umshauri mwenzio aache punyeto, na usidhanie kuwa hii Ni Mara ya kwanza mie kusoma uongo wake. Sasa nikulize wew boya wapi nimeweka mipasho peleka huko unajisi wako wa nyeto ndio maana akili zenu zinakuwa na ukungu na uwezo mdogo wa kufikiria na kuishia kuandika uongo.
Maelezo Yako yote kiufupi unakubali kuwa Russia na NATO wanaogopana!Vita ni ya Russia na Ukraine. Kutaka NATO iingie ni kukosa akili, Ukraine sio mwanachama wa NATO.
Na NATO hailazimiki kuingilia vita hii, hapa wanatoa msaada. Russia iko ndondo ila wewe unaitaka iende ligi kuu, huwezi pigana na Ukraine kwa miezi tisa ukiambulia kutimuliwa maeneo uliyojipatia kisha ukasema unaiweza NATO.
Mnachokifanya wewe na wenzako uliowaita ni sawa na kuilalamikia Marekani kwanini Tanzania ni maskini wakati USAID hutoa misaada na serikali yao usaidia bajeti yetu. Kama Urusi inaitaka NATO si mipaka yake inaijua? Sasa wewe na uelewa wako unashindwa kutambua kwamba Russia haina guts za kuivamia NATO, kwanini unalazimisha NATO ndio ivamie Russia