Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Aaaah mie nlikua naongelea SMO kwaujumla wake dadaLakini si tulikuwa tunaongelea Kherson hizo habari za KIEV umezipachika hapa wewe sasa hivi.Haya turudi sasa kule Kherson na ujibu swali,Je mji umekombolewa ama la?
Ila kuhusiana na kherson ipo wazi hii kuna sehem imekombolewa nanimpuuzi tu anaekataa hili ama nikujifanya kujua sana
Ila KHERSON kama kherson nikubwa kuliko hako kaeneo ambako kamekombolewa
Yaani hio kherson ilokombolewa ni ndogo sana ukilinganisha na kherson yenyewe kwahio kitaalam hii tunasema licha yakua kuna sehem imekombolewa ila bado haijakua full liberated
Kama ilivyo kwa RUSSIA kule DPR ZAPORINHE kuna sehem bado hazijakombolewa kama sijakosea ni LPR pekee ambayo ndio ipo full liberated
Sent using Jamii Forums mobile app