Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo ndio mnayoyaweza kuvurumisha mavyuma kwenye makazi ya watu.

Daraja lilipigwa kwasababu ni miongoni mwa njia inayotumika kupeleka silaha wala hakuna raia aliyepata hasara yoyote ile.

Tatizo mnajiona hamwezi kupigwa hata kidogo lakni mnapata mkong'oto wa nguvu.

Kila kinachowatokea mnakanusha kwanini iwe hivyo?

Mitego vipi bado?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hata hizo sehem zinazopigwa zinapeleka taarifa kwa askari ndio maana zikanyooshwa

Mtego tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji298]️Foreign Ministry: Russia is not in position to dictate terms of negotiations.

Foreign Ministry spokesman Oleh Nikolenko made the statement in response to Russia’s claim that it wouldn’t meet Ukrainian demand to withdraw forces from Ukrainian territories to start negotiations.

“Ukraine’s peace formula remains unchanged: an immediate end to the war, the withdrawal of all Russian troops, the restoration of Ukrainian territorial integrity, compensation for the damages, and the provision of effective guarantees of non-repetition of aggression," he said.
 
Life goes on
Screenshot_20221115-165222_Chrome.jpg
 
Mnato wa Menarumango vipi upo poa? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji3] [emoji3] [emoji38] [emoji38]

[emoji635][emoji573][emoji1255]More arrivals in Kiev

Wanagongwa waUkraine wanaumia wanakijiji wa Mwanjerwa
Wewe dada naona tatizo lako bado tu ..., Sisi kazi yetu ni kuwapa kipondo front line [emoji2]..,nyie jipozeni maumivu kwa kulipua miundombinu miwili mitatu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Drone hunter ya Russia imelipuliwa na drone ya Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221115-165324_Chrome.jpg
 
Wewe dada naona tatizo lako bado tu ..., Sisi kazi yetu ni kuwapa kipondo front line [emoji2]..,nyie jipozeni maumivu kwa kulipua miundombinu miwili mitatu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Moto tunapeleke tukiona mnaleta vilio sisi tunaona rahaaa 🤣 🤣 🤣
Zamu ya Odessa sasa

A flight of several missiles over the Odessa region was observed
 
Back
Top Bottom