Jamaa umekua waajab sana ujue
Tunaheshimu sana mawazo yako na wala hatutaki uamini tunachokiamini
Ila tukukumbushe tu sio
Bwana Utam wala
Jesus Mlokozi wala
Galip Vrl na wala sio pro PUT IN ama RUSSIA yeyote aloichukua RUSSIA akaieka hapo ilipoekwa
Nenda kwenye hizo MSM zenu mnazodai ndio reliable ama popote ambapo wameandika ama waliandika halaf waulize kwanini waliieka RUSSIA hapo nasio UK GER nk
Yaani licha ya hii SMO mnayosema eti imefeli na ponda ponda zenu huko kwenye MSM nahuku jf bado hakuna GER UK wala nchi yeyote ilioshika nafasi ya RUSSIA
Sasa unaposema sisi tulidanganywa na hao waloieka hapo RUSSIA hawakujua haya unayoyajua wewe yaani wewe unajua zaidi kuliko hao waloieka hapo RUSSIA
Mnatulaumu bure sisi tunafata data sio za RUSSIA bali zaulimwengu popote pale utakapoenda wanamrank RUSSO kama namba mbili ila bwana wewe sijui data zako unatoa wapi ambazo ziko very reliable
Jengine unamtetea huyo kichaa wa NATO au tulete twita za BIDEN hapa anaesema kama hawataki direct confront na RUSSIA wewe unajua kama RUSSIA dhaifu ila yule mpuuzi BIDEN hajui lolote
Tunaheshimu mawazo yako ila huu ujuaji wako kuliko wajuaji unatutia shaka
Haya RUSSIA kavamia nchi ya watu kapiga na anaendelea kupiga kaua na anaendelea kuua umeona msaada gani wamaana toka kwa hao unaowaita wababe dhidi ya mdhaifu kama RUSSIA !!?
NATO walitoka mamia ya miles wakaenda kuwahami raia wa LIBYA wakaeka No Fly zone wakatetea raia dhidi ya rais wao
Ila wanashindwa kukaa hapo boda wakaeka No Fly Zone wakatetea taifa la UKRAINE linaloangamizwa na RUSSIA kilaleo
RUSSIA kupitia hii SMO yake kaonesha ukuu wake dhidi ya NATO maana nje ya vikwazo hawana wanaloweza kumfanya na vikwazo vyenyewe havina impact yeyote maana kama SMO inaendelea kama ilivyoanza
Sent using
Jamii Forums mobile app