Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa hii mifumo kazi yake ni nini.ebu mnijuze wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
images%20(11).jpg
images%20(10).jpg
 
Wasipomuomba PUTIN msamaha basi hii Nchi itabaki maghofu.

Mi uwa siamini kabisa hii mifumo ya kutunguwa makombola.Ukraine wamepelekewa kila aina ya mifumo mipya ya kutungua makombola ila cha kushangaza bado adui anawapiga kwa juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila Aina zipi hizo Shekhe?! Ukraine wamepewa IRIS-T na NASAMS ambazo zote ni short to medium range air defenses ambazo zinalinda maeneo madogo ndo maana Zelenksy kila siku analalama kwa washirika wampe air defense zaidi maana hata hizo NASAMS kapewa mbili tu,na IRIS T kapewa moja ambazo kiuhalisia hazitoshi hata kuilinda Kiev Peke yake dhidi ya Makombora.

Na Urusi anachokifanya sasa hua anarusha Cruise missiles pamoja na MLRS ili kuziconfuse defenses za Ukraine
 
Mzee naona unachanganya madesa. Orodha uliyoiweka ni ya patents kitu unachokiongelea hapa ni technology.
Nadhani jaribu kuongelea kitu kimoja baada ya kingine.
Patent is a government authority or licence conferring a right or title for a set period, especially the sole right to exclude others from making, using, or selling an invention.

HAPA TUNAONGELEA TECHNOLOGY YA VIFAA VYA VITA. Kwakuwa umechokoza mada. Nataka sasa tuoneshe Technology hiyo na siyo patent kama ulivyo weka.
Mkuu sina uhakika kama mimi nachanganya mambo au kama wewe umechangayikiwa kidogo. Je unaweza kunitajia tekinolojia moja ya kisasa ya vifaa vya vita ambayo haimilikiwi na hataza??? (tuache Kalashnikov - hii si kisasa, tuko pamoja?)
Ilikuepukana na ni vikazo vya sheria ya hataza unaweza kuvipuuza ukijaribu kukopi tu na kutumia tekinolojia bila kibali (Urusi imeandaa hatua hii kwenye Machi mwaka huu kwa sheria namba 299 au kama hujui Kirusi soma hapa) - ila njia hiyo ina matata yake maana hakuna uhakika kama utafaulu au kama utafikia ubora wa original...
Nimeleta takwimu ya hataza kwa sababu inaonyesha tofauti kubwa kati ya nchi zinazoendelea zaidi kiteknolojia na Urusi. Yaani katika orodha hii (inaonyesha patent applications, si hataza zilizokubaliwa) Urusi ina nafasi ya 12 kwa mwaka 2020, ambayo ni bora kabisa kuliko Kenya (424), Tanzania (0) au Burundi (3); ila tofauti kutoka nchi na. 5 katika orodha hiyo yenye faili 160,000 hadi Urusi ni zaidi ya mara TANO kuliko kutoka Urusi (30,000) hadi Burundi na Tanzania.....

Nilivyosema: nionyeshe tekinolojia fulani ya silaha ambayo haina msingi katika hataza fulani . . . .
 
Putin ni chizi pamoja na kamanda wake, kuna haja gani ya kupiga makazi ya watu badala ya kupiga sehemu vita inapiganwa, its a shame, kama ameshindwa kupigana na wanajeshi ni bora arudishe askari wake na maisha mengine yaendelee.

Kosa kafanya Baba so why upige watoto?

Ndio kitu anachofanya dikteta Putin, tupigane kwenye uwanja wa vita na sio kupiga wananchi ambao wamelala kwenye nyumba zao bila sababu za msingi.

Kuwa na viongozi kama hawa kwenye Dunia hii iliyostaarabika ni kero sana
 
Back
Top Bottom