Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa wale wazee wa location.hapa ni mkoa gani nchini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20221115_195908.jpg
 
BREAKING: Ukraine wavuka upande wa pili wa Kherson ambako kuna majeshi ya Russia

Waliosema Ukraine hawezi kuvuka mto habari yenu hiyo,wanajeshi wa Ukraine wameingia upande wa pili wa mji wa Kherson kupitia Kinburn Peninsula na sasa wapo Heroiske wanapambana na wanajeshi wa Urusi.

Russia asiangalia hata huo upande wa pili wa Kherson atatolewa muda si mrefu maana hawa jamaa wa Ukraine wana morale sio ya nchi hii
 
Urusi imerusha zaidi ya Makombora Mia ikishambulia makazi ya watu pamoja na miundombinu ya nishati.

Mpk sasa ni Mtu mmoja ambae amefariki.
Leo sio kuua raia lengo ni kuvunja maficho ya magaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji854][emoji1787][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Huko anacontroll Russia ni vijijini, city center Ukraine kaichukua, ni kama Arusha kwa mjin na pa maana tuirudishe Tanzania, uko vijijin na machakani wachukue Wakenya, ko kiufupi Kerson ipo kwa Ukraine
 
Putin ni chizi pamoja na kamanda wake, kuna haja gani ya kupiga makazi ya watu badala ya kupiga sehemu vita inapiganwa, its a shame, kama ameshindwa kupigana na wanajeshi ni bora arudishe askari wake na maisha mengine yaendelee.

Kosa kafanya Baba so why upige watoto?

Ndio kitu anachofanya dikteta Putin, tupigane kwenye uwanja wa vita na sio kupiga wananchi ambao wamelala kwenye nyumba zao bila sababu za msingi.

Kuwa na viongozi kama hawa kwenye Dunia hii iliyostaarabika ni kero sana
Umewahi kujiuliza hizo air defence systems zikimiss target Huwa zinaenda kutua wapi?Madhara yake??
 
Back
Top Bottom