Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nenda kasome huko huyo Russia mbona anaufyata kwa kukanusha kuwa siyo yeye? Kama ni mbabe kweli akae kimya kulikoni kukimbilia kujitetea?
Hiyo kitu haiihitaji kukanushwa adui Ni adui TU. Kikubwa ikigundulika Ni kweli Ni Russia ama sivyo mhusika ashughulikiwe.
Hata hivyo hats ikijulikana Ni Russia hutaskia yeyote akifanya chochote dhidi ya ba mkubwa Russia.
Nb.
Kombora la kirusi litajulikana TU hata warusi wakijitetea.
Na sisi NATO tutawashambulia kwa fire and furry

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unahamisha magoli?! We si ndo ulisema incident ya ndege inahusiana na clash iliyotokea Kati ya majeshi ya Russia na Uturuki?!!!!
Ndo maana ya kisasi.WARUSI walitambua convyoy ya Waturuki inasogea kutoka Uturuki kuingia Syria kwenye mji wa Idlib.wakatuma ndege aina ya SU-34 kwenda kupiga ule msafara. Kwa maelezo ya waziri wa ulinzi wa Uturuki alisema wanajeshi zaidi ya 90 walikufa pale pale na wengine zaidi ya 150 wakipata majeraha.ila vyanzo vya kuaminika vilisema kuwa zaidi ya wanajeshi 200 wa Uturuki walikufa pale pale.sasa hapo nani kamfanyiawenzake ubaya zaidi
 
Putin stayed in Tanzania where he was training freedom fighters for more than five years, precisely in the period between 1973 and 1977. Though the period is yet to be confirmed as others claim it was in the 80s An old photo to that effect was unveiled a few years ago by a Zimbabwean News Outlet.

Did Russian President, Vladimir Putin, Really Live and Work in Tanzania?​


tanzaniatimes.net/when-vladimir-putin-lived-in-tanzania/
 
Urusi mwenyewe kakana kakataa katu katu kwamba sio yeye
Suala la kukanusha limekaa kidipromasia kwa hiyo acha kujifariji.

Nyinyi vilaza kutoka nchi yenye mgao wa umeme na maji ndio mnaichukulia Urusi poa labda kwa sababu ya chuki zenu ,au ukilaza lakini mabwana zenu wana ujua mziki wake ndio maana Wana kwepesha.
 
kuna watu wana mashaka juu ya sisi Watanzania kuwa upande wa "mwenzetu" PUTIN........

Tunawaomba waondoe mashaka hayo kwa muda.....! Tutaota moto na yule tuliyekusanya naye kuni
 
Kumbuka hata Marekani iliwaonya Uturuki wasifanye operation Syria wakajifanya kichwa ngumu. Urusi ilikanusha kuhusika na hilo shambulizi,Turkey ilisema shambulizi limefanywa na vikosi vya Assad.

Na hiyo namba uliyoitaja sio halisi, wanajeshi waliokufa sidhani hata 50 wanafika.
 
Siniliwaambia kuwa ni razima itafanyika kila namna kuitoa Urusi kwenye hatia ili kuepusha vita na Urusi.
Kwani Urusi kasema ni yeye halafu NATO wanalazimisha sio yeye ili pasitokee vita?

Ushabiki ni kitu kibaya sana.
😆 😆

Kama Urusi kasema si yeye, na NATO kasema sio Urusi basi wewe ndo unayelazimisha kuwa urusi ana hatia ila anatolewa kinguvu ili pasitokee vita.
 

Kilaza ikiwemo na ww Shekhe. Hua napenda tubishane kwa hoja na sio matusi.
 
Yani analazimisha kabisa kwamba yeye anajua zaidi kuliko Shoigu na Biden![emoji134]
 
Shambulizi ni la wazi kabisa na SU-34 ndo ilifanya mashambulizi .sasa je Syria wana SU-34?.

Kwenye inshu ya waliokufa Uturuki awezi kusema idadi kamili ,ilo mbona lipo wazi
 
Shambulizi ni la wazi kabisa na SU-34 ndo ilifanya mashambulizi .sasa je Syria wana SU-34?.

Kwenye inshu ya waliokufa Uturuki awezi kusema idadi kamili ,ilo mbona lipo wazi
At least 33 Turkish soldiers have died in a Syrian government attack in opposition-held north-western Syria, in a major escalation of the conflict.

Turkey, which backs the opposition, says it hit 200 government targets in response, "neutralising" 309 soldiers.

Russia, Syria's key military ally, says Turkish troops were attacked in Idlib province by Syrian forces while operating alongside jihadist fighters.

The EU has warned the crisis could escalate further.

Syria war: Alarm after 33 Turkish soldiers killed in attack in Idlib
 
Baada ya tukio ilo kutokea Turkish Army 65th Mechanised Infantry Brigade ilivunjwa.sasa jiulize kama walikufa wanajeshi 33 ingevunjwa?
 
Hata kama ni yy hakuna kitu watamfanya kwani Iran alipo shambulia kambi za Marekani hadharani Marekani nn alifanya?

Kiufupi Urusi na mataifa ya magharibi wote wanaogopana kutokana na nguvu za maangamizi walizo nazo.

Ni mtu mwenye akili za ukilaza ndo anayeweza kuibeza Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…