Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bro Himars ni offensive weapon...antimissile ni kama NASAMS ila Himars ni Kwa ajili ya kushambulia.

Ukweli ni kwamba Russia walikimbia Kherson baada ya Ukraine kukata supply lines zao zote hivyo ikawa ngumu kusupply wanajeshi wake hili hata Yule kamanda mpya mwenye mashavu alieleza kwamba ilibidi waondoke la sivyo wangezungukwa na majeshi ya Ukraine
Good
 
Bro Himars ni offensive weapon...antimissile ni kama NASAMS ila Himars ni Kwa ajili ya kushambulia.

Ukweli ni kwamba Russia walikimbia Kherson baada ya Ukraine kukata supply lines zao zote hivyo ikawa ngumu kusupply wanajeshi wake hili hata Yule kamanda mpya mwenye mashavu alieleza kwamba ilibidi waondoke la sivyo wangezungukwa na majeshi ya Ukraine
Lakin tufahamu kuwa Himars ni "Rocker Launchers"

Sasa in Ukrain zimeungwa na diffense syatem
 
Winter is coming na Nishati inahitajika kwa heri ama kwa shari!!. Kumbe Zelensky walitaka kupunguza maumivu ya mgao wa umeme na maji, Sasa amestukiwa asubiri meli ya US .

Soma:
Kampuni hiyo imeshutumu Kyiv kwa kunyakua Gesi iliyokuwa inapelekwa Moldova

Kampuni kubwa ya nishati ya Urusi, Gazprom, ilisema Jumanne kwamba Ukraine ilikuwa ikiingilia usambazaji na kuiba gesi asilia kuelekea Moldova, na kampuni hiyo imetishia kupunguza au kusimamisha upelekaaji wa gesi hiyo kupitia bomba muhimu kama majibu ya vitendo hivyo.

"Kiasi cha gesi inayotolewa na Gazprom kwa kituo cha kupimia gesi cha 'Sudzha' (GMS) kwa ili isafiri kwenda Moldova kupitia Ukraine kinazidi kiwango halisi kinachopitishwa kwenye mpaka wa Ukraine na Moldova," taarifa ya Gazprom ilisoma.

Moldova ililipia usambazaji wa gesi ya Novemba Jumatatu, kulingana na Gazprom, ambayo ilisema kwamba Kyiv imeiba na imehifadhi mita za ujazo milioni 52.52 za gesi iliyokusudiwa Moldova kwenye eneo lake.

Kampuni ya nishati ya Urusi ilionya zaidi kwamba ikiwa hali hiyo itaendelea basi itaanza kupunguza usambazaji wa gesi tokea Sudzha GMS kupitia Ukrainia kuanzia saa 10 asubuhi (saa 7am GMT) mnamo Novemba 28, "katika kiasi cha utoaji wa kila siku."

Njia ya usafiri ya Sudzha kupitia Ukraine inasalia kuwa njia pekee ya kusambaza gesi ya Urusi kwa nchi za Ulaya magharibi na kati baada ya mtandao wa Nord Stream kuharibiwa na mlipuko wa kutiliwa shaka mwezi Septemba.

Baadaye siku ya Jumanne, Kyiv alishutumu Gazprom kwa kudanganya ukweli. Opereta wa mfumo wa usambazaji wa gesi nchini alisema kuwa kiasi kizima cha gesi iliyokubaliwa na Ukraine kwenye mpaka na Urusi ilihamishiwa Moldova. Hata hivyo, sehemu ya gesi hiyo inarejeshwa Ukrainia kwa njia ya "reverse virtual," opereta alidai.

Wakati huo huo, Moldova isiyo na ufukwe wa bahari, ambayo imekuwa ikikabiliwa na kukatika kwa umeme hivi karibuni, imetoa wito wa usaidizi wa kimataifa huku gharama za nishati zinazoongezeka na kupanda kwa mfumuko wa bei kutaleta matatizo makubwa kwa watumiaji katika mojawapo ya nchi maskini zaidi za Ulaya.

Kulingana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, msaada ndio muhimu zaidi kwani Moldova inakabiliwa na mdororo wa nishati ambao haujawahi kutokea wakati msimu wa baridi unakaribia.
Watajuana wenyewe, ss weusi tuliumbwa vizuri!! na nchi zetu zinapata Jua la kutosha! Asante Mungu kuniumba mweusi!
 
Timu dictatorship watajifanya Putin yeye ndiye anastahili kupeleka nchi yake vitani,akili za ki ibilisi hizi!

Si kweli .

Mi nachojaribu kuimplicate The Russia inayosemwa na nyie wa Pugu kajiungeni vs The real one.

Mimi hata Iran akiwage War na US au Nato nitakuwa cler kuwa Iran hawez mshinda US

Taiwan na china ni clear Taiwan hatoboinao ni bora kuwithdraw.

Nasisitiza kujiingiza vitani na Superpowers ni mbaya sana.

Ukraine aliamini Nato wangetia miguu wamsaidie, in the end ni kama wamemsusa anaharibu nchi na uchimi wake... Wanamkopesha na watamdai daima..Anapigana na mfumo wa YATIMA HADEKI.

Russia anapigana huku amerelax . Ndo wasichotaka kina Poland
 
Vita ni gharama sana. Kuna wakat kiongozi unapaswa kujiuzulu kuepuka vita. Hasa vita na Opponents wenye miguvu Kukuzidi.

Angalia maslagi ya taifa lako ktk hiyo vita kama hakuna jaribu kuiepuka!!
oKuna wale jamaa wa comoro walipoona JWTz tumezMa pale wakasepa.

we all know ni kwa nini?

Walipiga hesabu ya possibility ya kushinda wakaona ni ndogo wakasepa
 
[emoji298]️Senators from both parties called on the Biden administration to provide Gray Eagle drones to Ukraine, — The Wall Street Journal.

"The long-term benefit of providing Ukraine with the MQ-1C is significant and has the potential to change the strategic course of the war in Ukraine's favor," — US lawmakers said.

[emoji117]Follow
@Flash_news_ua

 
Kherson
Wananchi wa ukraine wakipata huduma ya chaji kwenye kituo cha treni
1669176702838.png
 
"Because we’re open for business.”


[emoji298]️WSJ: US looking to recruit spies 'disgusted' with Russia's war.

David Marlowe, CIA deputy director of operations, told an audience at George Mason University's Hayden Center that Putin squandered his influence around the world when Russia invaded Ukraine, the WSJ reports.

“We’re looking around the world for Russians who are as disgusted with (Putin's actions) as we are,” Marlowe said. “Because we’re open for business.”
 
Back
Top Bottom