Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi yashambulia jiji la Kyiv kwa makombora 31,Kati ya hayo makombora 21 yamedunguliwa na mifumo ya ulinzi wa Anga ya Ukraine [emoji848]
.....
Today russia launched 31 (!!!) missiles at Kyiv, 21 were shot down - Mayor Віталій Кличко
View attachment 2425248
Hii itakuwa Mara ya 10 warusi wa buza wanatuaminisha kwamba Ukraine wako gizan, kesho wakipiga Tena baluti zao watakuja Tena kwa mbwembe kutuaminisha kwamba Ukraine amebaki gizan, kesho kutwa wakipiga Tena baluti watakuja na ngonjera ileile kwamba Ukraine wamebaki gizan, sijui hiyo miundombinu haiishi tu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Warusi wa mlioko humu tuelezeni..,hiyo miundombinu ya umeme inatakiwa ishambuliwe mara ngapi Ili umeme ukatike kabisa.., maana hii ni mara ya kumi tunaimbiwa ngonjera ileile kwamba Kyiv Haina umeme [emoji23][emoji23]

Wanaosema Ukraine wapo gizani ni waukraine wenyewe.
 
Warusi wa mlioko humu tuelezeni..,hiyo miundombinu ya umeme inatakiwa ishambuliwe mara ngapi Ili umeme ukatike kabisa.., maana hii ni mara ya kumi tunaimbiwa ngonjera ileile kwamba Kyiv Haina umeme [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nonsense kawasikilize waukraine wenyewe
 
Hii itakuwa Mara ya 10 warusi wa buza wanatuaminisha kwamba Ukraine wako gizan, kesho wakipiga Tena baluti zao watakuja Tena kwa mbwembe kutuaminisha kwamba Ukraine amebaki gizan, kesho kutwa wakipiga Tena baluti watakuja na ngonjera ileile kwamba Ukraine wamebaki gizan, sijui hiyo miundombinu haiishi tu [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Uzuri hawasemi warusi, ila wavaa pampers watajitokeza tu kutia huruma, waongezewe misaada.......mrusi anasemaga tu target zote alizozitaka kafanikiwa kutandika baaaas
 
UKRAINE wajue tu kwamba wakija kwenye meza yamazungumzo watakutana na mapendekezo mapya

Sababu niuhakika lazima waje mezani mwaka huu mwishoni ama mwakani mwanzoni ila lazima watakuja

Ila kipigo anachotoa RUSSIA saf sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado Tu Una ndoto za Ukraine kuja kuongea na Putin!!!! Ukraine Kwa sasa imefikia sehemu tunaita Point of no return maana watu wamekufa,wanajeshi wamekufa,nchi imeharibiwa na kibaya zaidi Raia bado wanaisapoti serikali Yao iendelee kupambana na Russia hivyo kwa kiongozi wa Ukraine kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwasasa ni ndoto za abuu nuasi.

Russia kwasasa Yuko kwenye defense ndio maana juzi alikua anataka short truce ili ajipange kipindi hiki cha winter halafu aanzishe tena mashambulizi kipindi cha spring lakini Ukraine haitaki kumpa nafasi ya kupumua ndio maana bado inaendelea na mapambano. Kabla winter haijaisha huo upande wa pili wa MTO Nusu utakua umerudi Ukraine.
 
All nuclear power plants and most thermal and hydroelectric power plants in Ukraine were de-energized on Wednesday, the vast majority of consumers are without electricity"- Ministry of Energy of Ukraine
 
Hivi mifumo ya ulinzi inayo pelekwa Ukraine kila siku inafanya kazi gani?
Hiyo mifumo haikutengenezwa kwa ajili ya Makombora ya Russia,au nchi ya Russia.
Hiyo mifumo IPO kwa ajili ya nchi zenye silaha nyepesinyepesi.
Hata waasi wa kihouth huko Yemen Huwa wanazipenya.
 
Kiev jioni hii
1669221945395.png
 
Ukraine S300 missile ilivyokosa target na kwenda kuangukia mashambani Poland nayo ni propaganda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile walitoa ushahidi Ila yako umeokota tu habari toka kwenye chanzo kisichoeleweka. Ni mara ngapi S300 za Urusi zinatua kwenye apartments Ukraine na kuua watu?! Russia anashambulia mpaka chekechea,anapiga mabomu mabembea hlf unataka tuamini kwamba Sam's za Ukraine bado zimetua kwenye hizo apartments?!
 
The power units of the Khmelnitsky NPP are disconnected from the power system South Ukrainian NPP-shutdown of power units is due to the destruction of power grids Rovenskaya NPP was transferred to emergency operation mode-Energoatom
 
Back
Top Bottom