kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hii itakuwa Mara ya 10 warusi wa buza wanatuaminisha kwamba Ukraine wako gizan, kesho wakipiga Tena baluti zao watakuja Tena kwa mbwembe kutuaminisha kwamba Ukraine amebaki gizan, kesho kutwa wakipiga Tena baluti watakuja na ngonjera ileile kwamba Ukraine wamebaki gizan, sijui hiyo miundombinu haiishi tu [emoji848]Urusi yashambulia jiji la Kyiv kwa makombora 31,Kati ya hayo makombora 21 yamedunguliwa na mifumo ya ulinzi wa Anga ya Ukraine [emoji848]
.....
Today russia launched 31 (!!!) missiles at Kyiv, 21 were shot down - Mayor Віталій Кличко
View attachment 2425248
Wanaosema Ukraine wapo gizani ni waukraine wenyewe.Hii itakuwa Mara ya 10 warusi wa buza wanatuaminisha kwamba Ukraine wako gizan, kesho wakipiga Tena baluti zao watakuja Tena kwa mbwembe kutuaminisha kwamba Ukraine amebaki gizan, kesho kutwa wakipiga Tena baluti watakuja na ngonjera ileile kwamba Ukraine wamebaki gizan, sijui hiyo miundombinu haiishi tu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nonsense kawasikilize waukraine wenyeweWarusi wa mlioko humu tuelezeni..,hiyo miundombinu ya umeme inatakiwa ishambuliwe mara ngapi Ili umeme ukatike kabisa.., maana hii ni mara ya kumi tunaimbiwa ngonjera ileile kwamba Kyiv Haina umeme [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa hali ya Wanadamu ilivyo,I do not see any possibilities.Sidhani kama there are that many "real humans" with "real human genome" left. No wonder they now plan to "patent" humans.Mkuu muda utaongea hawa hapo baadae watalipia waliyoyafanya kama si wao basi wajukuu zao watawajibika
Uzuri hawasemi warusi, ila wavaa pampers watajitokeza tu kutia huruma, waongezewe misaada.......mrusi anasemaga tu target zote alizozitaka kafanikiwa kutandika baaaasHii itakuwa Mara ya 10 warusi wa buza wanatuaminisha kwamba Ukraine wako gizan, kesho wakipiga Tena baluti zao watakuja Tena kwa mbwembe kutuaminisha kwamba Ukraine amebaki gizan, kesho kutwa wakipiga Tena baluti watakuja na ngonjera ileile kwamba Ukraine wamebaki gizan, sijui hiyo miundombinu haiishi tu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
PropagandaHuo ndio ukweli kwamba air defense systems za Ukraine zikimiss target zinasababisha maafaView attachment 2425151
Hizo ni toys Tu.Hivi mifumo ya ulinzi inayo pelekwa Ukraine kila siku inafanya kazi gani?
Ukraine S300 missile ilivyokosa target na kwenda kuangukia mashambani Poland nayo ni propaganda?Propaganda
NATO hawana air defence system za kuzuia missiles za urusi.
UKRAINE wajue tu kwamba wakija kwenye meza yamazungumzo watakutana na mapendekezo mapya
Sababu niuhakika lazima waje mezani mwaka huu mwishoni ama mwakani mwanzoni ila lazima watakuja
Ila kipigo anachotoa RUSSIA saf sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Russia Wana air defenses za kuzuia missiles za NATO?!NATO hawana air defence system za kuzuia missiles za urusi.
Si zimepelekwa Ukraine zinasaidia nini?Says who?
Hiyo mifumo haikutengenezwa kwa ajili ya Makombora ya Russia,au nchi ya Russia.Hivi mifumo ya ulinzi inayo pelekwa Ukraine kila siku inafanya kazi gani?
Ndiyo hakuna nchi yenye advance air defence system kama Russia.Ila Russia Wana air defenses za kuzuia missiles za NATO?!
Ile walitoa ushahidi Ila yako umeokota tu habari toka kwenye chanzo kisichoeleweka. Ni mara ngapi S300 za Urusi zinatua kwenye apartments Ukraine na kuua watu?! Russia anashambulia mpaka chekechea,anapiga mabomu mabembea hlf unataka tuamini kwamba Sam's za Ukraine bado zimetua kwenye hizo apartments?!Ukraine S300 missile ilivyokosa target na kwenda kuangukia mashambani Poland nayo ni propaganda?
Sent using Jamii Forums mobile app