kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Sema zipo lakini HIMARS imezilambisha mchanga..,Kwa Sasa urusi Hana air defense yoyote ile hapo Ukraine..,zote ni kama zimechakazwaKwa sababu hazipo Ukraine.
Vituo gani hivyo?!Nonsense kila siku warusi wanaharibu silaha na vituo vya kijeshi mbona.
Hamna sehemu Russia kakosea target iwe kupiga apartment au shule au hospital, ukiona zimepigwa ujue kuna sababu.Ile walitoa ushahidi Ila yako umeokota tu habari toka kwenye chanzo kisichoeleweka. Ni mara ngapi S300 za Urusi zinatua kwenye apartments Ukraine na kuua watu?! Russia anashambulia mpaka chekechea,anapiga mabomu mabembea hlf unataka tuamini kwamba Sam's za Ukraine bado zimetua kwenye hizo apartments?!
Nonsense[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakutag. Week haiishi utasikia kombora zimeshuka huko.
Air defenses za Russia ubora wake upo kwenye yale magwaride tu bhas Ila vitani hamna kitu.
Russia imeweka kambi kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia,wanarusha Makombora toka kwenye ZNPP wakijua kwamba Ukraine haiwezi kujibu kwa ufasaha sababu italeta masafa,then baadae wanakuja kwenye media kulalama.Hamna sehemu Russia kakosea target iwe kupiga apartment au shule au hospital, ukiona zimepigwa ujue kuna sababu.
Kapitie ripoti ya Amnesty intl, kaangalie jinsi Ukraine wanavyoweka base zao kwenye mashule na Residential areas alaf zikipigwa mnaanza kusema anashambulia shule. View attachment 2425343View attachment 2425345
Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense was just chilling then boom[emoji95][emoji95][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Nonsense
Umeisoma ripoti ya Amnesty? Umeshapata jibu kwa nini Russia anapiga Residential areas including schools & hospitals?Russia imeweka kambi kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia,wanarusha Makombora toka kwenye ZNPP wakijua kwamba Ukraine haiwezi kujibu sababu italeta masafa,then baadae wanakuja kwenye media kulalama.
Russia kaharibu vituo vingi vya kijeshi.Vituo gani hivyo?!
Juzi hapa Ukraine imebutua base ya Russia kule Novorossiysk mpaka Russia inataka kuhamisha submarines zake[emoji23]
Ukraine’s Maritime Drone Strikes Again: Reports Indicate Attack On Novorossiysk
It appears that a Ukrainian maritime drone, similar to those using in an attack on Sevastopol, has struck Novorossiysk. This would be strategically important, showing that more of the Russian Navy is under threat. Efforts may be underway to suppress this story in Russian media.
H I Sutton 18 Nov 2022
Ukraine’s maritime drones can now reach a Russian Navy base until now regarded as safe. When the drones (USVs) were used to attack Sevastopol on October 29 they resulted in a major shift in Russian Navy operations. The threat is regarded as so serious that new defenses were added in Sevastopol. And the Russian Navy, which early in the war dominated the Black Sea, barely leaves port. Now this threat has reached another major Russian Navy base at Novorossiysk.
Local Russian sources have reported that a Ukrainian ‘naval drone’ has struck the Sheskharis oil terminal in Novorossiysk at night. This is strategically important.
Ukraine's Maritime Drone Strikes Again: Reports Indicate Attack On Novorossiysk - Naval News
Kama ambavyo alisema kaharibu Himars 44 Kati ya 20 ambazo Ukraine imepewa!!![emoji23][emoji23]Russia kaharibu vituo vingi vya kijeshi.View attachment 2425355
Unaelewa anayeshambuliwa ni nani?Kwani Ile s300 s400 s500 ya urusi Huwa inafanya kazi gani mpaka inashindwa na viloket vidogo vya HIMARS [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Report ya Amnesty ilikua ni August wakati Ukraine ipo kwenye defensive,sasa inashambulia kwanini afiche vifaru kwenye mashule?!Umeisoma ripoti ya Amnesty? Umeshapata jibu kwa nini Russia anapiga Residential areas including schools & hospitals?View attachment 2425353
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamishwa na western media Russia wala hajasema kitu 👇🏻👇🏻👇🏻Hii itakuwa Mara ya 10 warusi wa buza wanatuaminisha kwamba Ukraine wako gizan, kesho wakipiga Tena baluti zao watakuja Tena kwa mbwembe kutuaminisha kwamba Ukraine amebaki gizan, kesho kutwa wakipiga Tena baluti watakuja na ngonjera ileile kwamba Ukraine wamebaki gizan, sijui hiyo miundombinu haiishi tu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤭🤭🤭🤭Hiyo mifumo haikutengenezwa kwa ajili ya Makombora ya Russia,au nchi ya Russia.
Hiyo mifumo IPO kwa ajili ya nchi zenye silaha nyepesinyepesi.
Hata waasi wa kihouth huko Yemen Huwa wanazipenya.
Hivi unawaelewa lakini🤭🤭🤭Wanakwambia 21 out of 31 intercepted[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ipo mipakani japao sio much advanced kaa hiyoHivi na sisi Tanzania tuna mifumo ya ulinzi huko angani?
Wengi naona mnarukaruka tu , hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu[emoji848]Warusi wa mlioko humu tuelezeni..,hiyo miundombinu ya umeme inatakiwa ishambuliwe mara ngapi Ili umeme ukatike kabisa.., maana hii ni mara ya kumi tunaimbiwa ngonjera ileile kwamba Kyiv Haina umeme [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe unajua idadi za himars Ukraine alizopewa?Kama ambavyo alisema kaharibu Himars 44 Kati ya 20 ambazo Ukraine imepewa!!![emoji23][emoji23]
Duh,us anazidi kuweka mzigo tu hiki ni kifurushi kipya Cha silaha kilichotangazwa Leo, [emoji848]View attachment 2425381
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
WaYukireni wa Kimara Bonyokwa mnasemaje!?Duh,us anazidi kuweka mzigo tu hiki ni kifurushi kipya Cha silaha kilichotangazwa Leo, [emoji848]View attachment 2425381
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app