Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia mikoa iliyochukua ni minne ,yaani Kherson,zaporizhia,luhasky na Donesky.kherson Tu karudisha 30%lakini 70% ipo bado russia.kwahiyo tunapozungumza asilimia 22% tunamaanisha hayo mikoa iliyochukuliwa na warusi.kama hujui kitu uliza.
Tatizo lako umezoea kulishwa propaganda za RT, Zaporizhzhia Russia kakamata Nusu,Donbass kakamata Nusu,Kherson nayo Kwasasa theluthi moja imerudi. Muulizege.
 
Wajibizana na mahaba nitie maji.

Unafikiri kwahuyo urusi anabayaa kwa alivyojiseti akilini.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Umethibitishaje kama mabomu yote hayo ambayo umeambiwa na Ukraine ni kutoka Russia?Kwanini serikali ya Zelensky ilikimbilia kusema kuwa bomu lililotua Poland lilipigwa na Urusi?Kama walidanganya Hilo,mangapi wamedanganya kuwa ni Russia,kumbe ni failure za air defense systems zao?
Maana haiwezekani tokea vita imeanza kwamba hizo air defense systems zimefeli mara Moja na kwenda kutua Poland!!!Ni Kwa sababu zimetua Poland na Ukraine kumsingizia Russia ndio maana tumejua ukweli!
 
Nikusahihishe au nikuongezee maarifa kidogo!
Mifumo ya ulinzi ya anga kama S 300,S 400,S 500 ni Kwa ajili ya kufanya interception dhidi ya makombora,fighter jets NK ambazo zinakuwa kwenye range!
Sasa hizo drones si rahisi kuwa intercepted na hiyo mifumo Kwa sababu
1.Zinasafiri katika low altitude,hapa ni sawa na mtu mzima stake kumpiga mtoto mdogo ngumu huku akiwa amesimama, haiwezekani
2.Gharama,hii ni kama kutumia nyundo kuua nzi!
 
Kuna wengine huku
 
Kaburi la vifaa Imara vya jeshi la wavamizi wa Urusi 🤔
.....
A graveyard of various destroyed Russian heavy equipment in the village of Biryuch, Belgorod oblast.
 

Attachments

  • FB_IMG_1669266457959.jpg
    29.8 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1669266466558.jpg
    39.8 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1669266477116.jpg
    28.3 KB · Views: 11
Hizo helcopter ziliingia katika low altitude,yaani level ya majengo marefu!Sasa mifumo ya ulinzi wa anga ni Kwa ajili ya incoming missiles!
So hizi helcopter katika level hiyo haziwezi hata kuwa detected na radar systems!
Hizi Huwa zinatunguliwa na manpads!
Ukitaka kusoma zaidi,pitia hapa

Man-portable air-defense systems (MANPADS or MPADS) are portable surface-to-air missiles. They are guided weapons and are a threat to low-flying aircraft, especially helicopters.
 
Ambacho hawajui ni kuwa wanawaweka wenzao watakaokamatwa na Russia hatarini!
Wajeda wa Russia wakiona haya,halafu wakatia Nguvuni wa Ukraine basi sijui watawafanya Nini?
Hii execution halafu unachukua video,halafu Bado uko front line,damn stupid!
 
🇰🇵🇰🇷The sister of Kim Jong-un lashed out at the President of South Korea and his government and called them idiots. "If they think they can get out of the current crisis by talking about some kind of sanctions, then they really are complete idiots. Fools who do not know how to live in safety and comfort," said Kim Yo-Jong, who is the deputy head of the department. Central Committee of the Workers' Party of the DPRK.
 
Ambacho hawajui ni kuwa wanawaweka wenzao watakaokamatwa na Russia hatarini!
Wajeda wa Russia wakiona haya,halafu wakatia Nguvuni wa Ukraine basi sijui watawafanya Nini?
Hii execution halafu unachukua video,halafu Bado uko front line,damn stupid!
Hawa ni cocaine maniacs mkuu,logic na rationale kwao ni zero,so usishangae sana,they see only today.Kesho itajishuhukikia yenyewe.I believe the Azov Battalion has turned them into Zombies,kama ilivyo kwa manajeshi mengi hasa ya nchi za magharibi especially the United States.
 
Anapigana na nchi zote ulaya na NATO na bado kachukua maeneo
Vladimir Kalashnikov Putin anaakili ya mwaka 1962 ya kuvamia na kuiba maeneo na wakati Karne hiii watu wanaangàlia demokrasia ya kuamua kuishi kwa usalama na Uhuru. Maaskari wake wengi wamejeruiwa sana uko Ukraine. Wamekausha tuuu kumuogopa mpuuzi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…