NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
A member of the Ukrainian delegation said that consultations with Russia would continue on the issues of ceasefire and hostilities, but there were no significant results to date.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana jeshi kufa vitani jukumu lake tena la razima.Watoto wa wanyonge wanashughulikiwa kwenye vita isiyo na manufaa kwa Nchi yao.
Picha kama hizi Putin hataki watu wake waone ndio maana kazuia social network za binafsi na za Kimataifa.
Bila shaka kwao wanaonyesha walivyowaua Ukrainians ila wanashangaa siku zinaenda hakuna wanachoambulia cha maana.
Norway sio NeutralUkweli bwana Vlodomyry Zelensky atakumbukwa kama mmoja kati ya idiot wakubwa duniani.
Kuna Mataifa kama Finland, Norway, Sweden ambayo ni neutral na Yana maisha mazuri kushinda Magharibi.
Kuuingiza nchi kwenye Vita na kugoma kufanya mazungumzo mapema na Urusi ndilo tatizo lake kubwa.
Walimwambia tuko pamoja ila kimenuka wamemwacha peke yake.
Leo hii amefanya nchi nzima kuwa mahame na bado anakubali kwenda kukaa kwenye meza ya mazungumzo.
Hapo tayari kashavamiwa na kupigwa hivyo card zake za kuplay ni chache mno.
Vyovyote itakavyo kuwa hawezi Tena kuipata DONBAS na mhatari inaongezeka zaidi maana DONBAS inazidi kuchukua eneo kubwa la Mashariki mwa Ukraine.
Ukiangalia nani anayepoteza majibu ni rahisi Ukraine.
View attachment 2142518
The American PMC is looking for people who are ready to go to Ukraine for $1-2 thousand.
The application says, for the protection / evacuation of individuals or entire families in urban and rural areas. Only highly qualified candidates with at least five years of military experience in Europe are considered. You need to get started "immediately".
Earlier, Zelensky said that 16,000 foreign mercenaries should arrive in the country. The media claims that people have already begun to arrive in the country.View attachment 2142535
Ndio wanachokitaka.Wajeda wa NATO hawatakosa humo
Huna akili pathetic!! Tumia akili yako kufanya reasoning na sio kufanyia master,,,,,,,,bation!!Maadaui wapo ndani ya Taifa lao, halafu unauliza na kusema Ukraine ndio mshindi?
Kumbe,ghost of Russia 😄😄😄Unafikiri kwa nini ghost of kiev alitunguliwa ?
Alitunguliwa na siraha Gani?
Kwa nini Ukraine hayupo comfortable kurusha ndege zake.
S series sio ya mchezo surface to Air missiles za Russia si mchezo.
Nakuhakikishia watanzania ni wajinga sana wajinga kupitiliza hatuna akili kabisa yaani kwa hili swala ata viongozi wa nchi nimewashangaa yaani wameweza vip kuwaza na kufikiri kuwa Russia angewasaidia kuondoa hawa wanafunzi wetu uchwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo! Yaani wamechagua tu upande wanaoushabikia kwenye vita wakajua basi upande huo unajitwala kiasi cha kufanya lolote watakalo na kupenya corrodor zote wasijue hata hao russia wanastruggle[emoji23][emoji23] nimecheka sana, na hapo ni wasomi wa viwango vya juu kabisa ndo wameumiza vichwa! Angekuwa Musukuma si ndo angebeba mabasi yake full tank na kuingia kama kwake akiwaita kwa majina, njooni tuamshe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maswali kamuulize babu yako Putin, muulize kwanini leo ni siku ya 13 tangia ameanzisha vita na msafara wake wa magari km64 bado umekwama pale mpakani mpaka leo haujaweza kupenga angalau kusonga japo kwa km moja tuKama ukraine wana uwakika wa kuwarudisha nyuma warusi sasa kwa nini wanavunja madaraja yao wenyewe waliyoyajenga kwa ela ndefu