Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi baada ya kupewa kichapo kikali na kuamua kukimbia huko kheson,aliacha ameharibu kila aina ya miundombinu ya umeme na maji.., hivyo inachofanya Ukraine Kwa Sasa ni kuhamisha raia kutoka kheson na kuwapeleka sehemu nyingine zenye huduma..,kazi hiyo inafanyika kwa hiari ,sio lazima,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mizinga hiyo(howitzers) ambayo hazifanyi kazi zinahamishiwa Poland kwa ajili ya ukarabati, ripoti inasema

F09DEA8F-E5EB-4B46-914C-A1496DBD8741.jpeg


Mizinga ya kivita iliyotengenezwa na nchi za Magharibi iliyotumwa Ukraini kila mara inaharibuka au kuharibiwa katika mapigano, na hili limekuwa tatizo kwa Idara ya Ulinzi ya Marekani, gazeti la New York Times liliripoti Ijumaa, likinukuu vyanzo. Ili kushughulikia suala hilo, Pentagon, ambayo imeipatia Kyiv mamia ya silaha, imeripotiwa kuweka kituo cha ukarabati katika mpaka wa Poland.

Kulingana na maafisa wa Marekani na watu wengine "wanaofahamu mahitaji ya ulinzi ya Ukraine" waliohojiwa na chombo hicho, thuluthi moja ya mizinga 350 ambayo nchi za Magharibi zimetuma Ukraine hazifanyiki kazi wakati wowote.

Silaha hizo ama huteketea kwa sababu ya muda mrefu wa kutumiwa kupita kiasi au kuharibika katika mapigano na haziwezi kurekebishwa kwenye uwanja wa vita. Kazi ya kurekebisha vifaa imekuwa kipaumbele kwa Kamandi ya Pentagon ya Ulaya, ambayo imeripotiwa kupeleka kituo cha ukarabati nchini Poland.

Juhudi za ukarabati zilianza katika miezi ya hivi karibuni. Hata hivyo, hali ya silaha za Ukraine ni suala linaloshikiliwa kwa karibu na maafisa wa Marekani, ripoti hiyo inasema, na kuongeza kuwa vyanzo vyake vilikataa kutoa maelezo zaidi kuhusu mpango huo.

Matengenezo nchini Poland kwa kawaida yanahusisha kubadilisha "howitzers barrels" kati ya matengenezo mengine, kulingana na NYT. Maafisa wa Ukraine, wakati huo huo, wanaripotiwa kusema kwamba wanataka karakana hizo ziwekwe karibu na mstari wa mbele ili silaha zirudi kupigana mapema.
 
Ndo hivyo, dikiteta Putin asidhani kwamba kushambulia miundombinu ya umeme itawarudisha nyuma vijana wakakamavu wa rais zelensiky..,ni lazima aendelee kupigishwa danadana mpaka akili imkae sawa..,iwe mwanzo na mwisho kuparamia nchi huru,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hujaelew.. Hizo kauli inaonesha hali ni mbaya.

Fuatilia latest evelopment , ukipunguza mahaba lakin
 
Haifanyi kazi lakini imewatembezea kichapo majeshi ya fashisti Putin mpaka wamekimbia kama mbwa mwizi huko

Kyiv

Khakivu

Izium

Kheson city

Lyman

Kupyansk

Snake island

Miezi 4 Sasa majeshi ya super pawer yanapigana kuchukua kamji kadoogo tu ka bakhumut.., lakini wamegonga mwamba,wanaishia kuchinjwa kama kuku [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wapi kaitaja Russia, tumia facts! siyo mawazo yako!...

Soma:
“It did not come as a surprise,” Merkel told the outlet. By then, “the Minsk Agreements were eroded,” the former chancellor stated, referring to the 2014 ceasefire deal brokered by Germany and France, which were designed to give the eastern regions special status within Ukraine.

-Umeelewa red line?...
Zele hakutaka kutoa hiyo special status na alikuwa akiwatembezea kichapo
Minsk agreement ilivunjwa pale Russia alipochukua Crimea kimabavu
 
Kwa iyo kwa sasa Warusi wapo wapi.Urusi au Ukraine
Warusi wako kwao wanapiga long range missiles ambapo sio lengo lao, lengo lao ilikuwa ni kuchukua maeneo ya ardhi Ukraine na kuyapeleka urusi, sasa miezi 9 hata hilo la 2014 wanaenda kulipoteza, big loss for Putin and his allies
 
PREAMBLE:UKISOMA TAARIFA IFUATAYO, YOU SEE CLEARLY THE LEVEL OF STUPIDITY OF EUROPEAN LEADERS,IT IS LAUGHABLE.YOU WONDER,DIDN'T THE EU REALY KNOW THE INTENTIONS OF THE US IN THIS CONFLICT,BECAUSE IT WAS CLEAR RIGHT FROM THE ONSET OF THE WAR THAT AMERICAS'GOAL WAS TO DESTROY EUROPES' ECONOMY AND RELATIONSHIP WITH MOSCOW AND ESPECIALLY THE RELATIONSHIP BETWEEN RUSSIA AND GERMANY,SO THAT IT CAN REPLACE MOSCOW IN EUROPEAN TRADE.

IT'S FUNNY THAT THE EU HAS FALLEN INTO THE TRAP OF THE US.UNBELIEVABLY STUPID. OFCOURSE THE SALE OF WEAPONRY WAS ALSO ANOTHER IMPORTANT REASON WHY THE US INITIATED THIS WAR.ALL IN ALL,THE UKRAINE-RUSSIA CONFLICT IS AN ECONOMIC AND STRUGGLE FOR POWER.

EU believes US is profiting from Ukraine conflict – Politico
America is cashing in on the fighting while the bloc is left out in the cold, senior officials have reportedly said
EU believes US is profiting from Ukraine conflict – Politico

A general view of the European Parliament building, in Strasbourg, eastern France, on May 9, 2022. © Ludovic MARIN / AFP / POOL
Senior EU officials are angry at the administration of US President Joe Biden, arguing that Washington is capitalizing on the Ukraine conflict and the bloc’s economic problems, Politico reported on Thursday, citing sources.

One senior official who was interviewed by the outlet said that the US is profiting from the conflict the most because “they are selling more gas and at higher prices, and because they are selling more weapons.”
The growing transatlantic rift is based on several factors. The Western sanctions imposed on Moscow over its military campaign in Ukraine have caused major disruptions in gas deliveries from Russia to Europe, and the EU now relies on American gas, which comes at a price four times higher than it costs in the US.

French President Emmanuel Macron described this practice as “not friendly.” However, a Politico source indicated that when confronted by EU leaders at the G20 summit over the problem, Biden “simply seemed unaware.”
Germany and Poland at loggerheads over Ukraine – media
[URL='https://www.rt.com/news/566543-germany-poland-ukraine-mission/'

Another thorny issue is the US Inflation Reduction Act, an incentive scheme which offers huge subsidies and tax breaks to green businesses. Brussels is worried that it may potentially be ruinous for the bloc’s economy, as it could give American electric vehicle manufacturers an advantage over their EU counterparts in the lucrative US market.
“We are really at a historic juncture,” one EU official told Politico, arguing that these disagreements may undermine Western efforts to support Ukraine and the transatlantic alliance itself. “America needs to realize that public opinion is shifting in many EU countries,” he added.

Europeans are also reportedly growing irritated about the money flowing to the US defense industry due to the campaign to support Ukraine with weapons. According to one senior official, it may take the EU years to replenish its supply of weapons, which has fueled fears that the US will profit from the conflict even more.

The report comes after Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova claimed last week that by trying to isolate Moscow over the Ukraine conflict, the EU only “imposes costs on EU countries and their citizens, who are forced to pay out of their own pockets for the strategic blunders of their politicians.”
 
Back
Top Bottom