Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanasiasa hufanana sana duniani

Yeye anapata huduma zote muhimu hajui balaa la joto kali wala baridi kali na anaona ni kawaida hata hiyo hali ikiendelea.
 
Chakusikitisha au kufurahisha ni kwamba Taarifa yako uliyoleta hapa na iliyopo New York Times ni tofauti,yako ni UONGO MTUPU sijui kwaajili ya Nani!!!!!

New York Times hakuna sehemu wameandika kwamba mizinga waliyopewa Ukraine ni mibovu na haifanyi kazi,Ila Ukraine wanaover use hizo artilleries sababu wanazo chache (hizi M777 walizopewa na Marekani hazifiki hata 300 Ila Urusi ana maelfu ya howitzers) huwezi fananisha na idadi aliyonayo Russia.

Howitzer mfano hizi M777 zina idadi ya mizinga ambayo hutakiwa kurusha kwa siku kisha uzifanyie service,lkn Ukraine inapitiliza hiyo idadi na services inakua mtihani sababu muda wa kufanya services unakuta wameshambuliwa hivyo wanataka wajibu mashambulizi. Hii ndo imefanya Pentagon kuweka hicho kituo maalum ili kufanya services Howitzer za Ukraine hapo Poland kisha zinarudishwa Ukraine,hata Latvia wanafanya hii kazi kuna Howitzers waliwapa Ukraine hua wanazifanyia services kisha zinarudishwa tena Ukraine.

Taarifa ya New York Times hii hapa

Currently, Ukrainian forces are firing 2,000 to 4,000 artillery shells a day, a number frequently outmatched by the Russians. Over time, that pace has caused problems for Ukrainian soldiers using M777 howitzers, such as shells not traveling as far or as accurately.

Artillery Is Breaking in Ukraine. It’s Becoming a Problem for the Pentagon.
 
Angela Merkel analaumiwa na Wajerumani kwa sera zake "dhaifu" kuihusu Urusi pamoja na suala la Ukraine.

Pia, analaumiwa kwa kuiingiza Ujerumani katika utegemezi wa nishati kutoka Urusi hivyo kuathiri masuala ya kiusalama ya Ujerumani na Umoja wa Ulaya (EU).

Mmoja wa watu waliozikosoa vikali sera za Merkel wakati akiwa kansela wa Ujerumani, ni Olaf Scholz ambaye ndiye kansela wa sasa wa Ujerumani.

Mpaka sasa Angela Merkel hajataka kuwaomba radhi wakosoaji ila naye amekiri hadharani kuwa sera zake za kidiplomasia na Urusi kuhusiana na suala la Ukraine hazikuwa na mafanikio.
 
Unafiki mtupu,hivi tuamini kwamba EU hawajui kwamba Uncle Sam ndiye aliye sabotage Nord Stream 2,tena with their collaboration!!!Yaani EU mazezeta kweli kweli,dah!
 
Angalia takwimu kiasi wanachonunua sasa ukifananisha na kabla ya Vita na Hali itakuaje miaka mitano ijayo.

Kwa mwaka Urusi alikua akipata karibu $400 BN kwa kuuza mafuta,Gas na bidhaa nyingine za hydrocarbons Europe.

Kuanzia December 5 mafuta ya Urusi hayataruhusiwa kuingia Ulaya,wanataka kuweka price cap mafuta ya Russia, bidhaa nyingi za Urusi kwenda Ulaya zimepigwa pin,Gas ya Russia iingiayo Ulaya si nyingi ukifananisha na kabla ya Vita kuanza, Europe wana project kibao za Gas ili kuachana kabisa na Gas ya Urusi....kuna Ile pipeline kule Nigeria, Ujerumani inajenga Terminals za LNG na Ulaya nzima wanajenga terminals, Kazakhstan kuna pipeline ya Mafuta ambayo haitapita Russia kwenda Ulaya.

Marekani Kwasasa ndo muuzaji mkubwa wa LNG Ulaya wakati kabla ya hapo market share yake ilikua haifiki hata 5%.

Kulipuliwa Kwa mabomba ya Nord Stream imepunguza kabisa influence ya Putin kwenye Gas Ile mara Leo afungulie kidogo,kesho afunge keshokutwa afungue...wenzake wakaona bora wayalipue ijulikane moja.

Tukija kwenye silaha ndo usiseme,kampuni za silaha za Marekani mpaka zinadouble uzalishaji baada ya kuzidiwa Kwa tenda za silaha, Ujerumani mwanzoni ilikua haitaki kununua F-35 lkn baada ya uvamizi huu imeagiza F-35,Poland ana order ya masilaha kibao ikiwemo HIMARS 500, Uingereza, Ufaransa,Baltic States,nk.
 

This is why Russia evacuated from the Ukranian city of Kherson.It is stepping up missile barrage of the city.​

A salvo of missiles has struck the recently liberated city of Kherson in a marked escalation of attacks since Russia withdrew two weeks ago

November 25, 2022,



Natalia Kristenko’s dead body lay covered in a blanket in the doorway of her apartment building for hours overnight. City workers were at first too overwhelmed to retrieve her as they responded to a deadly barrage of attacks that shook

Ukraine’s southern city of Kherson.
The 62-year-old had walked outside her home with her husband Thursday evening after drinking tea when the building was struck. Kristenko was killed instantly from a wound to the head. Her husband died hours later in the hospital from internal bleeding.
β€œRussians took the two most precious people from me,” their bereft daughter, Lilia Kristenko, 38, said, clutching her cat inside her coat as she watched on in horror Friday as responders finally arrived to transport her mother to the morgue.

β€œThey lived so well, they lived differently," she told The Associated Press. "But they died in one day.” A salvo of missiles struck the recently liberated city of Kherson for the second day Friday in a marked escalation of attacks since Russia withdrew from the city two weeks ago following an eight-month occupation. It comes as Russia has stepped up bombardment of Ukraine's power grid and other critical civilian infrastructure in a bid to tighten the screw on Kyiv. Officials estimate that around 50% of Ukraine’s energy facilities have been damaged in the recent strikes.

The Ukrainian governor of Kherson, Yaroslav Yanushevych, said Friday that Russian shelling attacks killed 10 civilians and wounded 54 others the previous day, with two neighborhoods in the city of Kherson coming β€œunder massive artillery fire.”
The Russian shelling of parts of the Kherson region recently recaptured by Kyiv compelled authorities to transfer hospital patients to other areas, Yanushevych said.
Some children were taken to the southern city of Mykolayiv, and some psychiatric patients went to the Black Sea port of Odesa, which is also under Ukrainian control, Yanushevych wrote on Telegram.

β€œI remind you that all residents of Kherson who wish to evacuate to safer regions of Ukraine can contact the regional authorities,” he said.
Soldiers in the region had warned that Kherson would face intensified strikes as Russian troops dig in across the Dnieper River.

Scores of people were injured in the strikes that hit residential and commercial buildings, lighting some on fire, blowing ash into the air and littering the streets with shattered glass. The attacks wrought destruction on some residential neighborhoods not previously hit in the war that has just entered its tenth month.

After Kristenko’s parents were hit, she tried to call an ambulance but there was no phone network, she said. Her 66-year-old father was clutching his abdominal wound and screaming β€œit hurts so much I’m doing to die,” she said. He eventually was taken by ambulance to the hospital but died during surgery.

On Friday morning people sifted through what little remained of their destroyed houses and shops. Containers of food lined the floor of a shattered meat store, while across the street customers lined up at a coffee shop where residents said four people died the night before.

β€œI don’t even know what to say, it was unexpected,” said Diana Samsonova, who works at the coffee shop, which remained open throughout Russia’s occupation and has no plans to close despite the attacks.

Later in the day, a woman was killed, likely from a rocket that hit a grassy patch nearby. Her motionless body lay on the side of the road. The violence is compounding what’s become a dire humanitarian crisis. As Russians retreated, they destroyed key infrastructure, leaving people with little water and electricity.

People have become so desperate they’re finding some salvation amid the wreckage. Outside an apartment building that was badly damaged, residents filled buckets with water that pooled on the ground. Workers at the morgue used puddles to clean their bloody hands.
Valerii Parkhomenko had just parked his car and gone into a coffee shop when a rocket destroyed his vehicle.

β€œWe were all crouching on the floor inside,” he said, showing the ash on his hands. β€œI feel awful, my car is destroyed, I need this car for work to feed my family,” he said.
Outside shelled apartment buildings residents picked up debris and frantically searched for relatives while paramedics helped the injured.
β€œI think it’s so bad and I think all countries need to do something about this because it’s not normal,” said Ivan Mashkarynets, a man in his early 20s who was at home with his mother when the apartment block next to him was struck.
Recent Stories from ABC News

β€œThere’s no army, there’s no soldiers. There are just people living here and they’re (still) firing,” he said.
Kherson’s population has dwindled to around 80,000 from its prewar level near 300,000. The government has said it will help people evacuate if they want to, but many say they have no place to go.
β€œThere is no work (elsewhere), there is no work here,” said Ihor Novak as he stood on a street examining the aftermath of the shelling. β€œFor now, the Ukrainian army is here and with them we hope it will be safer."
 
Wekea price cap mafuta ya Urusi halafu Ruhusu Venezuela aingize mafuta kwa world market...[emoji1258] Muhuni Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#BREAKING US allows oil company Chevron to resume some activity in Venezuela: official
 
Wekea price cap mafuta ya Urusi halafu Ruhusu Venezuela aingize mafuta kwa world market...[emoji1258] Muhuni Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#BREAKING US allows oil company Chevron to resume some activity in Venezuela: official
Hao wote wanaiunga mkono Russia tena hao venezuela huwaambii kitu kuhusu urusi.alafu nchi zenye mafuta zimeshamkataa marekani.
 
Hao wote wanaiunga mkono Russia tena hao venezuela huwaambii kitu kuhusu urusi.alafu nchi zenye mafuta zimeshamkataa marekani.
Yani Venezuela ana njaa anatafuta dollars usiku na mchana aambiwe apeleke mafuta kwa world market akatae?! Hujawahi sikia msemo unasema adui yako muombee njaa?!!!!

Ukiacha Belarus hakuna tena allies wa maana alionao Urusi,sema ana partners. Hata China sio Russia's ally Ila ni partner.
 
Umeweka maelezo mengi, twende taratibu hebu fafanua kwa nini Russia imepata energy revenue kubwa baada ya vita ikilinganishwa na kabla ya vita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baridi linaua warusi huko.
Hadi wengine wanapigwa bomu ila hawashtuki
 
Unafiki mtupu,hivi tuamini kwamba EU hawajui kwamba Uncle Sam ndiye aliye sabotage Nord Stream 2,tena with their collaboration!!!Yaani EU mazezeta kweli kweli,dah!
Wanajua ila wanaogopa ndiyo maana wanalinda wakiwa na maana wanalinda ili marekani asifanye hujuma tena ukizingatia EU wameanza kulalamika kuhusu marekani kuwauzia nishati Kwa bei ya juu
 
... pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…