Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Umefungua heading tu, Soma habari yote basi: Nimebold sasa uniambie Hizo zinazoongelewa ni nzima au mbovu?

Western-made artillery pieces sent to Ukraine are constantly breaking down or being damaged in combat, and this has become a problem for the US Department of Defense, the New York Times reported on Friday, citing sources. To address the issue, the Pentagon, which has provided Kiev with hundreds of the weapons, has reportedly set up a repair facility across the border in Poland.

According to US officials and other people “familiar with Ukraine’s defense needs” interviewed by the outlet, one third of the 350 howitzers that the West has sent to Ukraine are out of action at any given time.

The weapons either burn out due to long periods of overuse or become damaged in combat and cannot be repaired in the field. The task of fixing the equipment has become a priority for the Pentagon’s European Command, which has reportedly deployed a repair facility in Poland.

Hata mimi niliona sana hilo -mbona taarifa ni crystal clear, sasa uongo unatoka wapi hapo!!
 
Zingekua ni silaha za Urusi ndio zinatajwa kwa kadhia hiyo.nadhani vyombo vya habari Dunia nzima vingeripoti,na robo tatu ya memba wa JF wangechangia Uzi huu.
Lkn kwa vile mambo hayo yametokea kwa nchi inayojua Kila kitu utaambiwa muongo.
 
Muanzisha thread una tatizo na kiingereza. Kiufupi taarifa yako umepotosha either kwa makusudi ukijua kuna watu utawapata esp pro Russians au umeshindwa kutafsiri kile haswa kilichoripotiwa na NYT.
 
Ila tukubali tu ni yeye pekee aliyekuwa anakubalika zaidi na Putin miongoni mwa viongozi wa EU mpaka kufanikisha minsk agreement nadhani hizo sera za kuikumbatia Urusi zilichangia pia
Hivi kuikumbatia Urusi ni dhambi?
Hili ndio tatizo.
Chiki chuki chuki.
Mbona EU wamekumbatiana, na pia. Wamekumbatiana na USA .
Ila kukumbatiana na Urusi ni haram.
Hapa ndipo penye tatizo.
 
Urussi anauza gesi bei chee tena si ujerumani bali alikuwa anauza almost ulaya yote.

kosa la mwrkel ni nini?
Nishati ya Urusi ni karata inayotumika na Urusi kukuza (promote) maslahi yake ikiwemo yale yanayohatarisha usalama wa bara la Ulaya mfano, uvamizi wa Ukraine. Haya ni maneno ya Wajerumani wenyewe, mimi nimenukuu tu!

Ukitaka kujua makosa ya Merkel ni yapi, fuatilia mahojiano yake yote aliyofanya na vyombo vya habari baada ya uvamizi wa Urusi mwaka huu.

Pia, fuatilia kauli za viongozi wenzake nchini Ujerumani wakiwemo wa sasa hivi na wale waliokuwa kwenye serikali yake.

Kosa kubwa zaidi la Angela Merkel linalojadiliwa sana ni mradi wa Nord Stream 2. Hata rais wa Ujerumani amewahi kukiri hadharani kuwa mradi wa nishati wa Nord Stream 2 umeiathiri vibaya Ujerumani kwa sababu haukufanyiwa tathmini ipasavyo.

Pia soma:
 
Ila tukubali tu ni yeye pekee aliyekuwa anakubalika zaidi na Putin miongoni mwa viongozi wa EU mpaka kufanikisha minsk agreement nadhani hizo sera za kuikumbatia Urusi zilichangia pia
Alikubalika zaidi na Putin kwasababu ya hizo sera zake za masuala ya kigeni kuhusu Urusi.

Merkel anafananishwa na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza, Neville Chamberlain, aliyehusika kwenye makubaliano [feki] ya amani ya Munich (Munich Agreement) yaliyokuwa na lengo la kumshawishi (appease) Hitler kumaliza vita dhidi ya Czechoslovakia.

Cha ajabu zaidi, utetezi walioutoa watetezi wa sera za Neville Chamberlain miaka ile ndiyo huu ambao anautoa Angela Merkel hivi sasa kuhusiana na Minsk agreements.
 
Umefungua heading tu, Soma habari yote basi: Nimebold sasa uniambie Hizo zinazoongelewa ni nzima au mbovu?

Western-made artillery pieces sent to Ukraine are constantly breaking down or being damaged in combat, and this has become a problem for the US Department of Defense, the New York Times reported on Friday, citing sources. To address the issue, the Pentagon, which has provided Kiev with hundreds of the weapons, has reportedly set up a repair facility across the border in Poland.

According to US officials and other people “familiar with Ukraine’s defense needs” interviewed by the outlet, one third of the 350 howitzers that the West has sent to Ukraine are out of action at any given time.

The weapons either burn out due to long periods of overuse or become damaged in combat and cannot be repaired in the field. The task of fixing the equipment has become a priority for the Pentagon’s European Command, which has reportedly deployed a repair facility in Poland.
Halafu bado Tu unabisha embu soma tena hayo maneno yako uliyoyabold

"The weapons either burn out due to long periods of overuse or become damaged in combat and cannot be repaired in the field. The task of fixing the equipment has..."


Maneno uliyoyabold na taarifa yako ni vitu viwili tofauti,Wewe kwenye taarifa yako umesema mizinga iliyopelekwa Ukraine ni mibovu haifanyi kazi...huku NYT wanatuambia shida sio mibovu Ila ni kutokana na kutumika Sana.

Labda Mimi sijui kiingereza.
 
Haifanyi kazi lakini imewatembezea kichapo majeshi ya fashisti Putin mpaka wamekimbia kama mbwa mwizi huko

Kyiv

Khakivu

Izium

Kheson city

Lyman

Kupyansk

Snake island

Miezi 4 Sasa majeshi ya super pawer yanapigana kuchukua kamji kadoogo tu ka bakhumut.., lakini wamegonga mwamba,wanaishia kuchinjwa kama kuku [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbe bado wapo ukraine, mi nilijua wapo Urusi maana unaongea mpaka mishipa ya shingo inakusimama[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Cheki wanaume hao washamaliza mafunzo wanaenda front
20221127_071714.jpg
20221127_071721.jpg
20221127_071728.jpg
 
Warusi wako kwao wanapiga long range missiles ambapo sio lengo lao, lengo lao ilikuwa ni kuchukua maeneo ya ardhi Ukraine na kuyapeleka urusi, sasa miezi 9 hata hilo la 2014 wanaenda kulipoteza, big loss for Putin and his allies
We kweli hauna akili.Ebu cheki ramani ya vita alafu urudi tena[emoji1787][emoji1787]
 
Ukraine anajilinda dhidi ya uporaji wa ardhi unaofanywa na Urusi wala Ukraine hapigani na Urusi , ingekuwa hivyo wangekuwa washarusha makombora mengi tu ndani ya Urusi , HAWASHINDWI ILA WAO HAWANA UGOMV NA RAIA WA URUSI BALI WANAPIGANA NA MAJESHI YA URUSI YALIYO NDANI YA UKRAINE
Acha ujinga mara ngapi wanarusha mabomu.
 
hivi Ukrine bado kuna watu wamengangania kuishi?!! Urusi ilisimamisha vita kupisha raia waondoke, sasa hao walio baki ni nani?!
vita haina macho.
 
Yani Venezuela ana njaa anatafuta dollars usiku na mchana aambiwe apeleke mafuta kwa world market akatae?! Hujawahi sikia msemo unasema adui yako muombee njaa?!!!!

Ukiacha Belarus hakuna tena allies wa maana alionao Urusi,sema ana partners. Hata China sio Russia's ally Ila ni partner.
Acha kuongea kwa mihimko usidhani ni rahisi kiasi hicho.

Kwanza Marekani amesha fanya majaribio mara kadhaa kurudisha mahusiano na Venezuela lakini wamefeli.

Kingine ambacho hukijui Venezuela ni mwana chama wa OPEC na OPEC wamesha weka ukomo wa kuzalisha mafuta.
 
Demand and Supply.


Halafu unaweka data za June Leo tupo November.
Hakuna mafuta ya Urusi yaliyo acha kuingia Ulaya, ndio maana wana haha kuweka ukomo wa bei dhidi ya mafuta hayo kitu ambacho kitashindwa vibaya sana.

Kingine unacho takiwa kukijua ni kuwa vikwazo vingi vya magharibi walivyo weka dhidi ya Urusi vingi ni vya kwenye makaratasi lakini hawavitekelezi na ndio maana unaona uchumi wa Urusi bado uko imara.
 
Sasa hapo huruma itoke wapi wakati ni winter na mvua zinanyesha humo Kwa trench matope yamejaa.

Ukitaka huruma nenda Telegram group linaitwa Horrors of war uone warusi wanavyokufa kama sisimizi,kajionee mwenyewe maana zile picha hata kuzileta humu haifai. Soon ukisikia second mobilization inatangazwa usishangae.

Hizi ni baadhi
Hizo picha zote ulizo ziweka hapo nimeanza kuziona Ni zaidi ya miezi sita sasa.
 
Bado frostbite inawasubiri[emoji23][emoji23][emoji23].

West wanashusha mizigo ya winter gears tu huko Ukraine ndio maana Ukraine inataka kuendelea na counter offensive kipindi chote cha winter Licha ya Urusi kutaka short truce.
Na ndio maana urusi anafanya majaribio mengi Ili kumforce zelensiky kwenye meza ya mazungumzo maana ameshajua wazi kwamba kipindi hiki kitakua kigumu sana kwake

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uingereza wanamaslahi gani kwenyehiivita. Naona wakobize hasa makachero wake kulikohata US. Au anabifu na warusi.
Anachotaka Uingereza na US ni kuidhoofisha EU na kusahau agenda ya Brexit. Baada ya Uingereza kujitoa EU hali yake ilikuwa mbaya sana, lakini sana EU karibia inasambaratika na kubakia NATO TU ambayo na UK imo.
 
Back
Top Bottom